nyerere

  1. M

    Jicho la tatu la mwl Nyerere kuhusu sifa za nchi corrupt na viongozi wake

    Sifa ya Serikali corrupt, sio maneno yangu nimecopy and paste kwa mwl mzee wetu Julius Nyerere Enzi za uhai wake but still Bado anaishi hata sas 1: haikusanyi Kodi 2: inamzigo wa madeni (i.e deni la taifa) 3: inatumwa na wenye mali 4: inawafanyia kazi wenye mali 5: inafukuzana na vijitu...
  2. K

    Mwalimu Nyerere: CCM inatumia sheria kwasasa haikubaliki

    Hali ya Tanzania ya sasa ni hii hapa Nyerere quoted 😰😰😰🤝 https://www.facebook.com/share/v/17PEnm9VsA/
  3. Nyerere: Ungekuwa hai, ungeshashitakiwa kwa uhaini.

    https://vm.tiktok.com/ZMAYcHd7T/
  4. Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican? Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo? Ni udini ?
  5. Nyerere: Tunapoongea kuhusu Tanzania na uhuru wake

    Inavyoonekana ni kwamba washirika wakubwa wa Mwalimu Nyerere katika harakati za kudai uhuru wa nchi hii walikuwa watu waliovaa balaghashia. Huenda hii ndiyo sababu ya Mwalimu Nyerere kuzoea kuvaa kofia aina hiyo muda mwingi. Pia haishangazi kuona Mwalimu Nyerere kuamua Kiswahili kiwe lugha ya...
  6. S

    Nyerere aliona mbali, alimsisitizia sana Mkapa ili JK asiwe Rais wa Tanzania, na Mkapa alipokumbushwa akajibu kila mtu ana makosa

    Ninapoongelea nguvu ya Mtandao, au wengine wakiuongelea, watu wengi wanachukulia kama mzaha. Sasa ngoja niwape habari za ndani kidogo. NI kwamba, kabla hajafa, Nyerere aliweka msimamo thabiti kwamba Kikwete hakuwa kiongozi aliefaa kuwa raisi wa Tanzania. Ilionekana wazi kwa Kikwete na kundi...
  7. Nyerere Road (Barabara ya mjini -Airport ) usiku huu imechangamka. Gari heavy za polisi zinafanya movement isiyo kawaida

    Haya wazee wa CC timu mtueleze kuna nini leo. Wazee wa CCM mikataba ya Kimataifa imewashinda na hii convoy ya Nyerere road iwashinde? Kunani leo? Maana hizi gari za heavy duty mara nyingi tunaziona moja moja tu lakini leo nne tano zimeongozana.
  8. R

    Nyerere: Chama kinacholindwa/kukubalika kwake kunategemea sheria/dola, si kukubalika na Wananchi. Kijitazame sana

    Kutoka X: Wenye njaa Sasa pale Lumumba wanavyo kasirika sasa.wanajisahaulisha kuwa hii NCHi ni ya vyama vingi Sasa hawataki. Mwl. Nyerere alionaga mbali Sana alijua hawa MaCCM HOFU NDANI YAO watasumbua waTanganyika Naiona CCM ikipasuka kama KANU. Na mpasuko huo utaleta tumaini jipya kwa...
  9. K

    Inawezakana kuurudisha upendo wa miaka ya Nyerere?

    Miaka ya 1970 - 1990. Enzi za utawala wa Nyerere hadi alipoachia 1985 hadi awamu ya kwanza ya utawala wa awamu ya pili, wa Rais Mwinyi, Tanzania ilikuwa, moja imara, na yenye upendo mkubwa. Kila mtu alijivunia utanzania, uzalendo, na kuona fahari kuitwa Mtanzania. Nitatoa mifano miwili ya...
  10. Vigezo na masharti ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu vyawekwa hadharani

    Mwenyekit wa kamati ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, Prof. Penina Mlama, ametangaza vigezo vya kushiriki katika duru ya nne ya tuzo hiyo ya ya mwaka 2025/2026 yenye lengo la kukuza lugha ya Kiswahili na kuthamini mchango wa Mwalimu Nyerere. Ameeleza hayo kwenye kikao na...
  11. J

    Yeriko Nyerere nadi sera za CHAUMMA achana CHADEMA

    Yeriko Nyerere mwanachama wa zamani wa CHADEMA aliyejiunga CHAUMMA hivi karibuni, amepewa kazi maalum. Kazi hiyo maalum ni kuhakikisha anawadhoofisha kimkakati baadhi ya viongozi wa CHADEMA na Chama chao kwa ujumla. Katika kazi yake hiyo mpya ndani ya CHAUMMA, Yeriko ameelekeza Moja kwa moja...
  12. Yericko Nyerere: Godbless Lema ametoweka na password za akaunti ya fedha ya tonetone

    Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone. Yericko Nyerere aliyekua kada wa CHADEMA kabla ya kuhamia CHAUMMA, kupitia ukurasa wake wa X-Twitter ameandika haya...
  13. Walaka kwa Yericko Nyerere

    Salute,,, Niende kwenye hoja moja moja Kwa moja binafsi mimi Huwa napenda sana ukifuatiria siasa ndani na nje ya Africa Kwa ujumla. Leo nilikuwa napitia kitabu Cha mwandishi wetu mashuhuri mwenye mituzo kedekede nakiri kusema kama kweli hivi vitabu yeye ndio mwandishi halisi basi...
  14. Yericko Nyerere Hufanani na vitabu unavyo sema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka

    Usifute kichwa cha habari JF:Yericko Nyerere Hufanani na vitabu unavyo sema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka yani wewe ni Mr pimbi wa gazeti la sani. Ukisoma vitabu vyake unaweza kujua huyu jamaa ni jasusi hatari ila ukirudi nyuma ni mr pimbi wa gazeti la sani. Mimi naogopa sana watu...
  15. GE2025 Yericko Nyerere: Siku Lissu akiondoka CHADEMA tutarudi upya, tatizo ni Lissu siyo mtu mwingine

    Wakuu Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa chama cha ukombozi wa Umma (CHAUMMA), ameweka wazi kuwa siku Mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu akiondoka basi yeye atarejea CHADEMA.
  16. Yericko Nyerere ahoji, ulishawahi kumuona mke wa Lissu Mahakamani? ushawahi kuona mtoto wa Lissu? kuna kizuizi gani kinawazuia?

    Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa kweli wa CHAUMMA, anahoji kwa nini Mke wa Mheshimiwa Lissu haonekani Mahakamani lakini bado tunalazimisha Mheshimiwa Mbowe aonekane Mahakamani.
  17. Nyerere " Ikulu ni mahali patakatifu, Sikuchaguliwa nipageuze kuwa pango la walanguzi"

    Hii kauli ya Mwalimu Nyerere inatafakarisha sana kwa yanayoendelea nchini kwenye huu utawala wa sasa.
  18. Hata kama ni kazi maalumu, hawa Wagombea wanaaibisha mahala patakatifu kama alivyosema Hayati Julius Nyerere

    Ikulu ni mahala patakatifu alisema hayati Julius. Panahitaji kukaliwa na mtu mwenye sifa zinanazofaa. Eti Kunje Ngombale Mwilu!. Luhaga Mpina na Salumu Mwalimu Hata kama ni kazi maalumu. Sio kihivyo.
  19. Watanzania Kama KARNE hii tupo hivi nasadiki kusema Mwalimu Nyerere(Baba wa Taifa) alipambana Sana

    Ukitazama ujinga tulionao Watanzania wengi katika karne hii utagundua kuwa Mwalimu Nyerere alipambana sana. Hakika Baba wataifa alipata tabu sana kusugua kutu na Msasa kwenye vichwa vya Watanzania. Imagine ujinga wakipindi chake ulikuwaje kama hivi sasa ni 2025 Watanzania karibia wote...
  20. GE2025 Yericko Nyerere: Lissu amepotosha 'No Reforms No Election', hakumwelewa Mbowe

    "Watu wengi wamekuwa wakipotosha No Reforms No Election ya Freeman Mbowe ilikuwaje na No Reforms No Election ya Tundu Lissu ikoje. Wanatumia udhaifu wa wanachama kwamba haya yote yalikuwa yameanzishwa na Mbowe na ndiyo hayahaya, si kweli" Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…