nyerere

  1. Napendekeza ujenzi wa Bwawa lingine kilomita kadhaa mbele ya bwawa la Nyerere

    Kwa wanaolewa topography nzima ya eneo la Rufiji basin, hii inawezekana? Kwamba pana tofauti ya kutosha ya alltitude na reservoir area nyingine mbele ya bwawa la rufiji? Inabidi tuwaze miaka 30 toka sasa tusije kurudi kwenye limgao la umeme, maana watu kama akina JPM ni nadra sana kuwapata...
  2. Lissu na Muungano wa mchongo, aeleza kutekwa kwa Jumbe

    Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo. Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake. Sikilizeni hapa cheche zake.
  3. R

    Kwa dhambi hii ya kuiacha katiba mbovu inayomfanya Rais kuwa "Mungu Mtu", Nyerere hapaswi kuwa Mtakatifu

    Dhambi kubwa aliyofanya Nyererew ni kuiacha katiba ambayo mwenyewe kwa kinywa chake alisema katiba hii akiipata dictator, ataumiza sana watu/ WATANZANIA/WATANGANYIKA. Kwa vile ilikuwa inampa mamlaka ya kidikiteita akaiacha hivyo hivyo. Sasa wamekuja madikiteita marais waliopita na kuitumia...
  4. Yericko Nyerere aonyesha uzalendo kwa kupongeza mambo makubwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya 6

    Kina Erythrocyte na Mdude wana jambo la kujifunza. Yericko kaandika hivi huko Facebook; Kuna juhudi flani za kiuchumi katika ukanda zinazofanywa na Tanzania zinanifanya nipongeze mfumo kwa kiasi chake, katika hili nasema hongera sana Tanzania! Sasa tupambane miundombinu kama SGR ifike Kongo na...
  5. Tujikumbushe...Mohamed Shebe Mpiga Picha Aliyehifadhi Historia ya TANU na ya Mwalimu Nyerere na Mengineyo Yaliyokuwapo 1950s

    https://youtu.be/5Ien7R24MA0?si=GN5lEs68WWX1OLq6
  6. Kwa hili la Muungano Hayati Karume alimzidi ujanja Hayati Mwalimu Nyerere

    Huu ni ukweli ambao hausemwi, mwalimu Nyerere alizidiwa akili na Karume wakati wa kuwekwa makubaliano juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Karume alimzidi parefu sana mwalimu, na nadhani hakutafakari kwa kina kabla ya kuweka makubaliano, unaua nchi yako ila ya mwenzako inabaki palepale...
  7. Maafa ya mvua Julius Nyerere hydropower electric dam

    Ni takriban wiki 2 sasa tangu nilipoiona habari ya mafuriko ya Rufiji dam. Habari ilieleza kuwa sio chini ya kaya 1000 zimeathiriwa na maji ya mafuriko yaliyotokana na maji kujaa kwenye dam kutokana na mvua nyingi. Frankly nilitamani kujua mengi zaidi kwenye hili. Kwa waliopo karibu na eneo la...
  8. Dkt. Biteko: Bwawa la Mwalimu Nyerere lipo Salama. Limepunguza athari za mafuriko

    DKT. BITEKO ASEMA BWAWA LA UMEME JULIUS NYERERE LIKO SALAMA 📌 Asema limepunguza athari za mafuriko 📌 Atoa pole kwa waathirika wa mafuriko Rufiji 📌 Aeleza jitihada za Serikali kwa waathirika 📌 Azungumzia umuhimu wa Nishati Safi ya Kupikia, Bei ya Gesi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati...
  9. M

    Dubai wakumbwa na mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha

    Mzuka wanajamvi! Mji wa kisasa wa kitajiri unasifiwa kwa miundombinu bora duniani sasa hivi iko underwater mafuriko ya hatarii hadi shughuli zote kusimama. Hii ni baada ya mvua kubwa na dhoruba na radi. Tulikuwa tunalalamika bure mafuriko Arusha na rufiji. ==== --- Torrential rain and...
  10. Mafuriko yaliyotokea Dubai na tehran juzi na Jana yamesababishwa na bwawa la mwalimu Nyerere! viongozi wetu wamekosa umakini !

    Sio tu Dubai na nchi nyingine huko falme za kiarabu hata mmomonyoko wa udongo mbeya pamoja na mafuriko ya Arusha na hata bwawa la monduli kupasuka chanzo ni bwawa la mwalimu Nyerere! Kwa Hali hii lazima serikali iwajibike ipasavyo ! Mawaziri wa nishati lazima wajiuzuru hata waziri mkuu ajiuzuru...
  11. L

    Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

    Ndugu zangu Watanzania, Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi na kilichopatikana kwa uchawi na makafara hulindwa kwa uchawi na makafara yakiambatana na matambiko yasiyo kwisha. Kwa kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda amekuwa akipata vyeo na nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya serikali na...
  12. Yericko: Makonda Aitwe Bungeni,Tuhuma za Kesi ya Uhaini ya mawaziri, Na Generali Mobeyo Aitwe kueleza Bunge ukweli wa Kesi ya uhaini Uliofanyika 2021

    Anaandika Yericko Nyerere Wengi mmeomba nitoe maoni yangu kuhusu kauli za mtu anayejiita Paulo Makonda kwamba kuna mawazi wanawalipa watu ili kumtuna Rais na kwamba mawaziri hao wana wawatu nyuma ambao ni watu wa kuheshimika katika nchi. Kabla sijazungumzia kauli hiyo naomba niwarejeshe...
  13. Nyerere day 13-4- na siyo 14-10-? Je, ikumbuke siku ya kufa au kuzaliwa?

    Happy birthday Mwalimu Nyerere #Tanzania We will appreciate your contribution to the building of the Nation and Africa Miaka 102 iliyopita alizaliwa Julius Kambarage Nyerere! Leo ndo ilitakiwa iwe #NyerereDay Archive: Siku ya leo ndio ingefaa kuwa Nyerere Day au ile ya Mwezi wa kumi? Je, siku...
  14. Heri ya siku ya kuzaliwa ukiwa mbinguni Mwl Julius Kambarage Nyerere, angetimiza miaka 102 leo

    Leo ni mfanano wa siku ya kuzaliwa kwa aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania, Julius Kambarage Nyerere. Kama angelikuwa hai basi leo angekuwa anatimiza miaka 102 yankuzaliwa kwake. Heri ya kuzaliwa kwako Mwl. Julius Kambarage Nyerere
  15. F

    Bwawa la kufua umeme la Nyerere ni dogo mno kulinganisha na uwezo wa maji katika bonde la mto Kilombero na Rufiji. Tulipaswa kutengeneza walau 6000MW!

    Kuanzia muonekano wa bwawa la Nyerere hadi kiasi cha umeme unaotengenezwa katika bwawa hilo ambao ni megawatt 2115 tu, kila kitu kimekuwa underplanned and underestimated (finyu). Tumepoteza nafasi adimu ya kutengeneza umeme wa kutosha kwa Taifa letu kwa miaka mingi ijayo kwa kutumia ka-sehemu...
  16. Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere umekamilika hakuna propaganda ya kuuzuia tena

    Hongera kwako Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusimama kidete na hatimaye mradi huu mkubwa wa kimkakati na uliopigwa vita na Wakoloni, Wakoloni mamboleo,vibaraka wa wakoloni na wasiojitambua ...hatimaye umekamilika na umeanza kutoa huduma. Mradi huu ni mkombozi wa nchi na kamwe kama mzalendo...
  17. Nani anafuatilia Machozi ya wanyamapori katika mbuga ya Selous ambayo JNHPP imejengwa katikati yake?

    Nadhani tusiangalie binadamu tu, bwawa la Mwalimu Nyerere limejengwa katikati ya Mbuga ya Wanyama, haya mafuriko yanawaathiri kiasi gani? Hii ni hifadhi ambayo iko katika orodha ya hifadhi zenye maliasili adhimu. Wizara ya maliasili, mnasemaje? Pia hifadhi hii ina madini ya urani (uranium)...
  18. Nyerere akieleza kwanini ujamaa ulifeli

    https://youtu.be/JGzC8AhERU8?si=Jen_Ou1-W6qGL51S
  19. Hayati Magufuli kukataa kufanya tathmini ya mazingira bwawa la Nyerere, sasa Rufiji inazama, serikali ifanye tathmini ya mazingira sasa

    Wakati watu wenye akili wakishauri mradi wa umeme wa bwawa la mwalimu Nyerere ufanyiwe tathmini ya mazingira, genge la JPM lilikuwa linabeza huku likijivisha uzalendo mapepe kwamba mradi utachelewa. Sasa Rufiji iko hatarini kumezwa na maji. Maji hayo yanatokana na bwawa kujaa na mto kujaa, na...
  20. Sasa nimeelewa ni kwanini mbunge wa Liwale alisema Bwawa la umeme Nyerere liko Liwale

    Mlango wa bwawa upo kati ya Mkoa wa Pwani na Morogoro, Lakini mawanda ya bwawa Kwa asilimia kubwa yatakuwa kwenye Jimbo la Liwale. Kwani serikali ikisema hivyo watapungukiwa nini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…