Ukweli ni Upi? Imani ya Kidini ya Mwalimu Nyerere

Ukweli ni Upi? Imani ya Kidini ya Mwalimu Nyerere

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
5,221
Reaction score
13,069
Wakuu mpo?

Hili ni swali kwa wadau wote, Nyerere alileta ujamaa ili wa Tanzania waishi pamoja walime pamoja wale pamoja na kufanya shughuli zao kwa ushirikiano

Yeyote aliyeonekana kuwa na ukwasi alionekana ni shetani

Nyerere hakupenda sifa kama maraisi wengine kwa sababubsifa na utajiri vipo ndani yake, hakuwa muoga ktk jambo lolote, alipenda kutumia njia za amani kutatua changamoto za Watanganyika
Alionekana na watu wa dini zote.


Alipinga udini, ukabila na umasikini.

Alienda china na kuwa na urafiki nao wa milele


Mpaka anafariki hakuwa Tajiri.
Akiongea kitu alikuwa anajua anachokiongea.
Hakuwahi kuonekana akiwa kakasirika hata pale alipochokozwa na nchi jirani.

Hakuwa na rafiki alikaa yeye kama yeye


Je Nyerere alikuwa Budha?
 
Back
Top Bottom