nyekundu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Penati, mchezaji akipewa Kadi Nyekundu, wapinzani nao wanatakiwa kupunguza mchezaji mmoja

    Mchezaji wa Timu A akioneshwa Kadi Nyekundu ya moja kwa moja wakati wa upigaji wa penati kwenye mechi ya kutafuta mshindi, utaratibu unatakiwa kufuatwa baada ya hapo ni mchezaji wa Timu B mmoja naye anatakiwa kutoka. Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) linaweka wazi kuwa Mchezaji wa Timu B...
  2. Evelyn Salt

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya hoho nyekundu na njano kuuzwa ghali kuliko za kijani?

    Wakulima hizi hoho nyekundu na njano zina nini special ukiachana na rangi za kuvutia, kwanini zenyewe bei iko juu kuliko za kawaida? Soko la ilala mara ya mwisho nlinunua hoho za kijani kilo moja ni elf 3....lakini hoho nyekundu na njano moja inauzwa elf moja. kwanini ni ghali, au kilimo chake...
  3. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania KWELI Nyama nyekundu ni hatari kwa Mgonjwa mwenye kisukari

    Hivi ni kweli kuwa nyama nyekundu ya mifugo kama ng'ombe, mbuzi na kondoo humletea matatizo mgonjwa wa kisukari?
  4. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Njano, Nyekundu na Kijani Kwenye Bendera

    Inawezekan baadhi yetu hatujawahi kutambua kwamba kuna nchi nyingi sana za kiafrika hutumia rangi hizi za nyano, nyekundu na kijani kwenye bendera zao. Nimeweza kuweka mifano michache hapa. Ironically rangi hizo pia ndizo zinaztumiwa na wafuasi wa Reggae. Je, kuna aliyewahi kujiuliza kwanini...
  5. the_diplomat

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo cha Pilipili Kichaa (Dhahabu nyekundu) kinavyonipa pesa bila kutarajia

    Baada ya kuhitimu Shahada ya Sanaa (BA)2011 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), nilitafuta kazi bila mafanikio. Nikaona nisome Stashahada ya Uzamili katika Elimu nikamaliza 2014 ili nipate ajira ya ualimu, sikufanikiwa kuipata. Mwaka 2016 nikaanza kusoma Shahada ya Sheria kutoka Chuo Kikuu Huria...
  6. Diversity

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kuvaa nguo nyekundu kunasababisha kupigwa na radi

    Madai: Yapo madai kutoka katika jamii mbalimbali yakihusisha rangi nyekundu na radi. Baadhi ya jamii zinaamini kwamba kuvaa mavazi yenye rangi nyekundu wakati wa mvua ni hatari kwa sababu yanaweza kusababisha ukapigwa na radi. Sambamba na hilo jamii nyingine zinaamini Mjusi kafiri na Kondoo wana...
  7. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa kocha wa Yanga kubeba rangi nyekundu na nyeupe hadharani

    Wakati wa shamrashamra za kubeba ubingwa, kocha wa Yanga, Nasredine Nabi alionekana akipiga picha huku akishikilia bendera ya nchi yake yenye rangi nyekundu na nyeupe. Rangi hizo zilikwishapigwa marufuku kuonekana katika hadhira ya Yanga, na msimamo huo umeshatolewa mara kadhaa na uongozi wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Huu sasa ni ushenzi: Balozi wa Urusi nchini Poland amwagiwa kimiminika cha rangi nyekundu

    Hii imevuka mipaka!! Balozi wa Urusi nchini Poland alimwagiwa kimiminika cha rangi nyekundu wakati akiwa katika harakati za kuadhimisha ushindi wa Jeshi la Urusi dhidi ya majeshi ya kinazi ya Hitler. Alimwagiwa na waandamanaji wa kike wanaopinga vita nchini ukraine. Hili tukio lilitukia jana...
  9. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Bumbuli: Tutaisapoti Simba na tutavaa Nyekundu wote

    UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umesema leo Jumapili utakuwepo kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kwa ajili ya kuisapoti Simba itakapokuwa inacheza dhidi ya Orlando Pirates. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga, Hassan Bumbuli wakati Simba leo wakitarajiwa kuwa wenyeji wa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Manara ifanyiwe kazi; kwanini Yanga & Simba hawezi shinda bila kubebwa kwa penati na kadi nyekundu kwa wapinzani wao?

    Nilikuwa naangalia mechi baina ya Yanga na Ruvu na mpira ulikuwa umebalance huku Ruvu wakimiliki mchezo vyema hadi pale referee kwa mapenzi binafsi alipoamua kuharibu mpira kwa kuwazawadia Yanga penati ya bure bila kufuata kanuni 17 za mpira wa miguu achilia mbali kumtoa nje mchezaji wa Ruvu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna timu bila mchezaji wa upande mwingine kutolewa kwa kadi nyekundu akuna ushindi

    Hizi kadi nyekundu zimewanufaisha Sana mikia na kuvuna point 3 muhimu, mechi ya Dodoma jiji, mechi ya leo na polisi, pia mechi ya fainali kombe la shirikisho kigoma dhidi ya yanga, bila hizo kadi awa mabwana wangeondoka patupu kwenye izo mechi, kadi nyekundu zimekuwa mkombozi wao kwa sasa!
  12. demigod

    JamiiForums Tanzania NBC Wamemtoa Wapi Twiga Mwenye Rangi Nyekundu

    Tangu lini twiga anakuwa na rangi nyekundu, Sisi kama Wanajangwani Tutamrudishia Rangi Yake ya Khaki. Twiga wetu sisi ni huyu hapa Chini.
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Yanga na rangi Nyekundu kwenye Logo ya NBC Bank

    Mapema leo, NBC Bank na TFF zimeingia ubia wa udhamini wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, NBC wakiweka mezani bilioni 7.5 kwa kipindi cha miaka 3. Moja kati ya faida anazotarajiwa kupata NBC Bank kama mdhamini ni uwepo wa nembo/chapa yake (Logo Placement), katika jezi za timu shiriki katika Ligi...
  14. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Baada ya matumizi ya superblack nywele zangu zimeharibika

    Wakuu habari za weekend? Niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Mwanzo nilikuwa na nywele nzuri kiasi (kipilipili)baadae nikaona niwe napaka super black. Cha kushangaza nisipopaka super black nywele zinakuwa nyekundu (imagination). Hii ilipelekea kuwa mtumwa wa super black, hali hii inaniboa...
Back
Top Bottom