INAUZWA Tunauza mashine ya kufyekea nyasi #brush cutter mashine

MRBIASHARA

Member
Sep 17, 2022
5
5
PORTABLE GRASS CUTTER MACHINE/BRUSH CUTTER MACHINE.

■Hii ni mashine ya kisasa ya kukatia ama kufyekea majani au nyasi.

■ Inauwezo wa kukata nyasi fupi na ndefu pia hata matawi ya miti

■Mashine hiii hutumia petrol kidogo mno na hukata eneo kubwa sana.

■Wakati wa Kukata nyasi unaivaa begani sio nzito hata kidogo.

■licha ya kutumika kulevel bustani pia unaweza kuiseti na kuanza kupalilia mashambani.

■ zimeundwa na material imara na hudumu kwa muda mrefu sana.

■ Mashine hizi tunazo za aina tofauti two stroke na four stroke.

■ Mashine hii huokoa gharama na muda kwa kiwango kikubwa huna haja ya kuwalipa watu wengi kufyeka eneo kubwa.

■ Grass cutter hizi za Mifugo Plus Group tumesha zoea kuziona hata kwenye maeneo ya barabarani huwa watu wanazitumia kufyekea lakini pia hata maeneo ya jeshini,hospital,sokoni,kanisani,mashulen,na hata mashambani.

■BEI 500,000/=TSH TWO STROKE.

■BEI 600,000/=TSH FOUR STROKE.

■ Bei zetu ni nafuu mno.
Tunapatika Dar es salaam Tegeta kwa ndevu opposite na ukumbi wa the one Hall

Pia tunamawakala mikoani kote wasiliana nasi kwa simu namba.

0656446991
0747608608

KARIBU SANA

#brusscutter#grasscuttermachine#

images - 2024-03-25T170927.606.jpeg
images - 2024-03-25T170933.271.jpeg
4293ceb7-2740-4e3d-98fb-316f3bb50b29.__CR0,0,970,600_PT0_SX970_V1___.jpg
images - 2024-03-25T170840.893.jpeg
Hbe4085e4283f428db8fbbe6a59625ebaZ.jpg_350x350.jpg
 
PORTABLE GRASS CUTTER MACHINE/BRUSH CUTTER MACHINE.

■Hii ni mashine ya kisasa ya kukatia ama kufyekea majani au nyasi.

■ Inauwezo wa kukata nyasi fupi na ndefu pia hata matawi ya miti

■Mashine hiii hutumia petrol kidogo mno na hukata eneo kubwa sana.

■Wakati wa Kukata nyasi unaivaa begani sio nzito hata kidogo.

■licha ya kutumika kulevel bustani pia unaweza kuiseti na kuanza kupalilia mashambani.

■ zimeundwa na material imara na hudumu kwa muda mrefu sana.

■ Mashine hizi tunazo za aina tofauti two stroke na four stroke.

■ Mashine hii huokoa gharama na muda kwa kiwango kikubwa huna haja ya kuwalipa watu wengi kufyeka eneo kubwa.

■ Grass cutter hizi za Mifugo Plus Group tumesha zoea kuziona hata kwenye maeneo ya barabarani huwa watu wanazitumia kufyekea lakini pia hata maeneo ya jeshini,hospital,sokoni,kanisani,mashulen,na hata mashambani.

■BEI 500,000/=TSH TWO STROKE.

■BEI 600,000/=TSH FOUR STROKE.

■ Bei zetu ni nafuu mno.
Tunapatika Dar es salaam Tegeta kwa ndevu opposite na ukumbi wa the one Hall

Pia tunamawakala mikoani kote wasiliana nasi kwa simu namba.

0656446991
0747608608

KARIBU SANA

#brusscutter#grasscuttermachine#

View attachment 2944420View attachment 2944421View attachment 2944422View attachment 2944423View attachment 2944424
Nikampuni gani hizi
 
Back
Top Bottom