Dawasco na Tanesco kwenye ushindani mkubwa, zinazoumia ni sisi nyasi

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,537
4,517
Baada Tanesco kukiki kwa takribani wiki 2 mtawalia.

Dawasco ameona naye asisahaulike.

Kuna kipindi cha Mzee Magufuli kulikuwa na ukame wa muda mrefu sana, ila umeme wala maji vilipatikana muda wote.

Yale mambo ya kuna marekebisho hatukuyaexperience kabisa.

Tulichokigundua kuwa umeme mnakata makusudi na maji mnakata makusudi kwa roho mbaya zenu. Malengo mnayajua wenyewe.

Rais yuko kama picha ila tunajua kuna kakikundi kanaongoza hii nchi.

Na kakikundi hako ndicho kinachomhakikishia Mama 2025.

Kakikundi hako ndicho kinachowalipa akina Mwijaku.
 
Nchi inavyo kwenda kwa sasa ni kama ngurue alie katwa kichwa alafu akaachwa atembee, yule bibi anajipitisha huko sijamsikia anaongelea huu mgao mkuu wa umeme Wala ukosefu wa maji ya uhakika, wanacho waza wao ni uchaguzi tuu, tumepigwa za kichwa nyingi sana safari hii🤦🤦
 
Fedha wanawekeza kuwalipa machawa na washangiliaji feki...kujidanganya wananchi wanawapenda.
 
Back
Top Bottom