nyaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kigoma: M/kiti wa Kitongoji hatiani kwa kughushi nyaraka ili kuuza eneo la uwekezaji

    Paul Simon Singi, Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kisanda amehukumiwa kwenda jela Miaka 3 au kulipa faini ya Tsh. 750,000 kwa makosa ya kuomba rushwa ya Tsh. 800,000 na kughushi nyaraka kinyume cha Sheria. Alifanya uhalifu huo Mei 22, 2023 kwa lengo la kumhalalishia Fabiano Daudi umiliki wa Ardhi...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani: Yaelezwa kuwa Donald Trump alificha nyaraka za siri bafuni

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump anashtakiwa kwa makosa ya kumiliki nyaraka za siri za Serikalii zikiwemo za nyuklia na zinazohusu mipango ya kijeshi ya Taifa lake. Imeelezwa katika mashtaka 37 yanayomkabili ya kuficha nyaraka hizo katika mjengo wake uliopo Florida, baadhi ya nyaraka...
  3. JamiiForums Tanzania Naombeni tafsiri ya Ndoto inayohusu uzinzi na kukutwa nyumbani na nyaraka za ofisini

    Nimeota nimeenda kupanga nyumba, ila chumba changu sikukipanga, vitu nikawa nimeviweka tu shaghala bagala. Kwenye hiyo nyumba niliyopanga, kulikuwa na wasichana wawili warefu, mmoja mnene kidogo, basi nikawa mgeni wao, yaani nawalala wote kwa pamoja, hata sebuleni na popote nawalala tu. Sasa...
  4. JamiiForums Tanzania Mahakama Yaungua na Nyaraka Zote Katavi

    Mahakama ya Mwanzo Shanwe iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi imeungua moto na nyaraka zote zilizokuwemo ndani yake kuteketea baada ya moto kuwaka Mahakamani hapo usiku wa kuamkia leo. Akitoa taarifa kwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa...
  5. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara afikishwa Mahakamani kwa kughushi na kuwasilisha nyaraka za uongo TRA

    Mei 8, 2023, katikati Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe, limefunguliwa Shauri la Jinai Na. 16/2023 Jamhuri dhidi ya Bw. Jackson W. Mahali ambaye ni Mfanyabiashara. Mshtakiwa anashtakiwa kwa makosa ya kughushi na kuwasilisha nyaraka za uongo TRA ili kuhamisha umiliki wa magari kwenda kwake...
  6. JamiiForums Tanzania Nyaraka za Lawi Nangwanda Sijaona (1928 - 2005)

    NYARAKA ZA LAWI NANGWANDA SIJAONA (1928 - 2005) Katika utafiti wangu wa historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika nimebahatika kuona nyaraka kadhaa za wazalendo wenyewe na waasisi wa vuguvugu la kudai uhuru. Nimeona Nyaraka za Sykes hizi sasa ni maarufu sana hazihitaji maelezo mengi kwani ndizo...
  7. JamiiForums Tanzania Nyaraka za siri za US zimevuja : Russia jammed US Smart bombs

    Nyaraka hizo za siri za pentagon zilizovuja zimeonyesha hali ya vita Ukraine hasa kwa upande wa maendeleo ya silaha za marekani zilizokuwa uwanja wa vita. Nyaraka hizo zimeeleza kuwa Russia ime-jammed mabom yanayo ongozwa na GPS (Smart bombs) pamoja na guided rockets zinazotumia mfumo wa GPS ...
  8. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Silinde awataka Makatibu Tawala, Wakuu wa Idara na Mamlaka Serikali za Mtaa kudhibiti uvujishaji wa Nyaraka za Serikali

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia elimu, David Silinde amewataka Makatibu Tawala, Wakuu wa Idara katika Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kudhibiti uvujishaji wa siri na nyaraka za Serikali kwakuwa suala hilo bado ni changamoto. Mhe. Silinde...
  9. JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka, Jeshi la Polisi lipeleke huduma za 'forensic' mikoani

    Kuna wimbi kubwa sana la kughushi nyaraka. Mikoa kama Morogoro, Dar es salaam na kwingine imekithiri, cha kushangaza. Huduma ya wataalamu wa forensic, kama uchunguzi wa miandiko Jeshi la Polisi limewaweka Dar es Salaam tu. Kama nyaraka imeghushiwa Tarime, Tandahimba, Kilimanjaro, Kagera...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani: Nyaraka nyingine 6 za siri zakutwa nyumbani kwa Rais Joe Biden

    Wachunguzi wa Idara ya Haki ya Marekani (DoJ) wamesema wamezipata nyaraka hizo wakati wa upekuzi wa saa 13 katika nyumba iliyopo Delaware. Baadhi ya nyaraka hizo ni za wakati Biden akiwa Seneta, nyingine akiwa Makamu wa Rais chini ya Barack Obama, ambapo Wakili wa Biden, Bob Bauer amesema...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Rais Samia na Serikali yake Kudhibiti uvujaji wa siri na Nyaraka za Serikali

    Ndugu zangu watanzania, Kuna kipindi kulikuwa Kuna washangaza wazalendo wengi Sana juu ya Uvujaji na usambaaji wa Siri na Nyaraka za Siri za serikali, watu walikuwa wanaona fahari kuvujisha Siri za serikali na Nyaraka za serikali, ilikuwa Ni kawaida kukuta na kuona mitandaoni habari nyeti za...
  12. JamiiForums Tanzania PM aache kutafuta 'Cheap Popularity' kwa ishu ndogo tu ya kuungua nyaraka huko Rukwa

    PM siyo chombo cha kiuchunguzi, hakupaswa kufanya aliyoyafanya kuikuza ishu yenyewe ndogo sana. Ameongea asiyopaswa kuyaongea na kujifanya ana huruma sana na watanzania, akaenda mbali na kumuonea huruma Mama eti 'anahangaika kutafuta fedha kwa ajili yetu'. Hii ni kutafuta umaarufu wa kisiasa...
  13. JamiiForums Tanzania Shukran kwa wote mnaotupenyezea nyaraka na taarifa za siri za ubadhilifu na zimefanyiwa kazi

    Habari za Majukumu wapendwa! Ninafarijika kuona Watanzania wanaoipenda nchi yao bado wapo na wanaendelea kuwapo, hawajali hcama wala kabila au dini! Nimepokea zaidi ya PM za siri ambazo sitakuja kuziainisha popote kwa kulinda siri za watoa habari, uzuri hizo nyaraka na kumbe za siri...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watunza kumbukumbu mnapaswa kutunza siri za Serikali

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Kumi wa Chama cha Taaluma ya Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) katika Ukumbi wa AICC, ARUSHA leo tarehe 27 Novemba, 2022 Akifungua mkutano huu, Rais amewashauri wanataaluma wa kada hii...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Delivery note, invoice, receipt voucher, local purchase order , issue voucher, form namba 2 na fomu ya uhakiki wa vifaa; mwenye uelewa wa hizi nyaraka

    Elimu niiombayo ni ya tafsiri (maana), muda na namna ya kutumia na sababu ya kuwepo kwao. Nauliza kwa sababu sielewi tu, nilikuwa katika taasisi fulani hv karibuni na kulikuwa na miradi mikubwa na ya haraka. Sasa unaenda kwa mkaguzi wa ndani (preauditor) anagoma kupitisha ikiwa moja ya nyaraka...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Abbasi awataka Idara ya Michezo Kukamilisha Nyaraka za Miradi haraka

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, ametoa siku 7 kwa watendaji wa Idara ya Michezo kukamilisha nyaraka za miradi yote iliyoko chini ya Idara hiyo la sivyo kila mhusika atabeba mzigo wake. Dkt. Abbasi ametoa agizo hilo leo hii alipokutana na watendaji wote...
  17. JamiiForums Tanzania Malkia Elizabeth (1926 - 2022) Katika Nyaraka za Sykes

    MALKIA ELIZABETH (1926 - 2022) KATIKA NYARAKA ZA SYKES 1953 Katika nyaraka za Sykes kuna nakala ya barua ya tarehe 2 June, 1953 kutoka TAA kwenda kwa Malkia Elizabeth iliyotiwa saini na viongozi wote wa TAA 1953: Rais: Julius Nyerere Makamu wa Rais: Abdulwahid Sykes Katibu Mkuu: Dome Okochi...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Tume ya Uchaguzi IEBC yamshutumu Raila Odinga kughushi nyaraka za ushahidi

    Wakili wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Mahat Somane, amesema kiongozi wa Azimio, Raila Odinga ameghushi nyaraka za ushahidi alizowasilisha mbele ya Mahakama Kuu katika ombi lake la Kupinga Matokeo ya Urais Katika mawasilisho yake leo Septemba 1,2022 Wakili Somane aliitaka Mahakama Kuu...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani: Wizara ya Sheria yathibitisha Donald Trump aliondoka na Nyaraka za Siri za White House

    Kupitia nyaraka 184 zilizowekwa wazi mbele ya Mahakama inayosikiliza kesi dhidi ya Rais huyo wa zamani, Wziara hiyo imethibitisha kuwa Trump aliondoka Ikulu akiwa na nyaraka za siri ikiwemo za Idara za Usalama wa Taifa. Katika Hati hiyo ya Kiapo, Afisa wa siri wa FBI amesema walipitia na...
  20. JamiiForums Tanzania Hizi ndio adhabu kama Donald Trump akikutwa na hatia ya kuhifadhi nyaraka za hisi

    Mara baada ya Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump kupekuliwa na maofisa wa FBI katika nyumba yake ya Florida na kudaiwa kukutwa na nyaraka za siri za Serikali kama akikutwa na hatia anaweza kuhukumiwa kwenda jela. Kuna sheria tatu kuhusu makosa ya aina hiyo; Sheria ya 793 iliyopo ndani ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…