nyanya

On 1 May 2014, a car bomb exploded in New Nyanya, a town in Nasarawa State, Nigeria. The explosion killed at least 19 people and injured at least 60.

View More On Wikipedia.org
  1. Mashima Elias

    JamiiForums Tanzania Mnyauko Fusari kwenye zao la nyanya

    Mnyauko Fusari kwenye zao la nyanya. Mnyauko Fusari (Fusarium Wilt) ni ugonjwa kwenye zao la nyanya, ugonjwa huu pia unaweza kushambulia mazao mengine kama viazi, pilipili, mbilingani, kunde, ndizi n.k, Dalili zake zinaweza kuwa sawia ama tofauti kidogo kwenye kila zao, jambo moja la kuelewa ni...
  2. The Master pizo

    JamiiForums Tanzania Uhawahi tishiwa na nyanya wewe?

  3. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye biashara ya nyanya

    Habari wana Jf, Nilikuwa nahitaji kufanya biashara ya nyanya ninunue kwa wakulima mashambani alafu nije kuuza kwenye masoko Dar. Nilikuwa naomba. 1. Ushauri au muongozo kwa mwenye uzoefu na biashara hii inakuwaje na inafanywajwe. 2. Connection za wakulima wa zao hili. 3. Connection za masoko...
  4. King Loto

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo maoni kuhusu kilimo cha nyanya

    Wakuu kwema nimejaribu kufanya kilimo cha nyanya kwa hii season mkoa wa Kilimanjaro nyanda za juu kimsingi huku wengi sio wakulima wa nyanya kama ilivyo kwa ukanda wa kusini wa Kilimanjaro. Nimejaribu kupanda quater acre ya F1 aina ya VICTORY f1 na Jarrah F1, nusu nusu acre ntapanda mbegu ya...
  5. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nimekutuma nyanya kwanini ulete kitunguu?

    Mimi sikukutuma hilo, Alisikika akisema
  6. Planett

    JamiiForums Tanzania Korosho Vs Nyanya

    Nyanya ringa tuu ona mwenzio aliringa sana leo ana bandage kichwani.
  7. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Tanzania wakifaidika na bei za nyanya waganda wamebarikiwa na nzige )kitoweo)..hio inaitwa Eac blsn

    neema.ya Bwana yatosha
  8. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Nyanya inapofikia bei ya apple mateso yanaanzia hivi

  9. Ona Sasa

    JamiiForums Tanzania Usindikaji na uhifadhi wa nyanya kwa matumizi ya baadae

    Kumekuwepo na utaratibu wa wakulima wetu kulima zao hili kwa pamoja, hii inatokana na hali ya hewa ya mahali husika pamoja na utaratibu wa watu kufanya kama wengine. Hali hii husababisha zao la nyanya kushuka ghafla bei sokoni kutokana na wingi wa nyanya. Tumeshuhudia watu wakipata hasara kubwa...
  10. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    Utangulizi: Nyanya ni zao la mboga ambalo hulimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara. Inahisiwa kuwa asili ya nyanya ni nchi ya Peru/Equador huko Amerika ya Kusini. Mmea huu ulianza kuzalishwa kama zao katika nchi ya Mexico na baadaye kusambaa...
Back
Top Bottom