Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, Julai 28, 2025 amewasimamisha viongozi wa chama cha wafanyabiashara wa nyama mkoani Katavi kwa tuhuma za ukiukwaji wa sheria, taratibu na miongozo ya uendeshaji wa biashara, ikiwa ni pamoja na kupandisha bei ya nyama bila kushirikisha mamlaka husika...