nyama choma

The nyama choma is a specialty of grilled goat meat, very popular in Kenya where it is considered the national dish.., also in Tanzania. The expression nyama choma mean « barbecue meat » in kiswahili.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    GE2025 Hii Media coverage anayofanyiwa Makonda, nyama choma, kubandika mabango na hizi kofia kabla hata ya kampeni ni gharama ya nani? na return ni ipi?

    Wakuu kuanzia jana naona vyombo vingi vya habari vilianza kurusha kuwa Paul Makonda atachukua fomu kesho (ambayo ndiyo leo) ikatangazwa uwepo wa nyama choma nk. Leo siku ya tukio 26 Aug, 2025) ameenda kuchukua fomu akifuatana na nyomi ya watu ikiwa na ngu za chama lakini kubwa zaidi zikiwa na...
  2. Nyama choma festival (uzi wa lawama)

    TAHADHARI KUU Kama una njaa na uko mbali na maeneo au mfuko hauko njema kaa mbali na huu uzi.. 😂 sitaki lawama
  3. Mara ya kwanza nilienda kwa Morombo wanakochoma nyama nilikuwa disappointed sana ni pabaya

    Kwa Morombo jina kubwa ila ni sehemu mbaya sana kuna mda najiuliza inamaana sisi tuna allergy na mambo mazuri Mambo niliyokutana nayo kwa morombo Vumbi Kuchafu mazingira kwa ujumla Mazingira ya kupikia machafu Vyoo vichafu Pako disorganized Mbuzi zinazochomwa hazina standard Nikiwa Rais wa...
  4. Ombi la ushauri: Biashara ya nyama choma – nje ya baa

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba ushauri kutoka kwa wenye uzoefu na biashara ya nyama choma hapa jijini Dar es Salaam. Nina mpango wa kuanzisha biashara ya nyama choma, lakini sitaki kabisa kuifanya sehemu ya baa. Nia yangu ni kuifikisha huduma hii kwa watu wa kawaida – wale wanaotafuta...
  5. Tusaidiane recipe nzuri ya nyama choma, viungo na namna ya kuichoma iwe tamu na laini

    Karibu wakuu wangu! Wakurya, waarusha, wamasai, wagogo na experts wengine wa 🥩🥩🥩
  6. Hapa mbeya ugali nyama choma unaupata kuanzia saa 11 alfajiri.

    Aisee Leo nimeamka na hangover sio poa,mwenyeji wangu akaniambia usiwaze twende tukapige diko somewhere, nikamuuliza saa 11 ile msosi tunatoa wapi. Jamaa akaniambia Acha wenge nifuate,tukaingia huko uyole ndani ndani tukaibuka kwa jamaa anaitwa j4,tukakuta nyomi ya raia ya kutosha,tukapiga nguna...
  7. PreGE2025 Makonda anapata wapi pesa za matamasha na shughuli kama za kulisha watu wote wa Arusha Nyama Choma?

    Wasalaam Bila shaka kama kusingekuwa na makandokando yanayosemwa au kutuhumiwa,pamoja na kauli yetu ya kukiri udhaifu.."binadamu hajakamilika"...lakini basi lau tukachukua katika mizania mtu kama mhe.Antony Mtaka angekuwa anafanya kazi hizi za Makonda...basi Mhe.Paul Makonda ni kiongozi bora...
  8. Mshikaki wa serikali vs nyama choma ya wananchi unavyo watofautisha kwenye mipango yao swala ubaya .

    Mshikaki unabeba viungo ambavyo vinafanya mda mfupi kuiva haraka. Kwa mtazamo unaona kabisa serikali inaweza kuwa mshikaki sababu ina viungo vyote. Ukija upande wa nyama choma kwa wananchi hawa watu mpaka kuwa nyama choma wamechukua mda mrefu kuwa nyama choma. Maswala mengi ambayo yanafanywa...
  9. K

    Mwanza: Uzinduzi wa Nyama Choma Festival kwenye Viwanja vya Nyamhongolo

    Mkuu wa Mkoa alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi huu. Sisi wananchi wa Jiji la Mwanza tumefurahia sana uzinduzi huu ila ninaomba tuletewe pia nyama pori katika festival hii ya nyama choma. === Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amezindua tamasha la Ilemela nyama choma litakalokuwa...
  10. Jana nilikuwa maeneo ya Black and White pale Moro Town. Kuna hii bar ina nyama choma nzuri sana

    Jana nilikuwa maeneo fulani pale black and white (Moro Town) hii bar ina nyama choma nzuri sana. Napenda kukaa konani sana Mara pah wakaja wadada wawili wakaka pale mezani, simu yangu ikaita kuna mtu alinipigia simu alikuwa na changamoto yake ila huwa sipendi kuongea na mtu mazingira yasiyo...
  11. S

    Anahitajika mpishi mzoefu wa kupika kwenye Mgahawa

    Mpishi mzoefu anahitajika, Kupika kwenye Mgahawa, mahali, Kivule Bomba mbili, Dar es salaam. 1. Ambaye atakuwepo masaa 24, 2. Ajisimamie mwenyewe. 3. Atafute mwenyewe, wafanyakazi atakaofanya nao. 4. Afanye aina zote za vyakula, vinywaji. Chips na aina zote za vyakula mchana, Asubuhi aina zote...
  12. Business idea: kufungua nyama choma center

    Igweeeee Nimekaa nimewaza na kuwazua nifingue biashara gani ili maisha yasonge mbele hapa jijini Wazo pekee ambalo naona linaweza kuwa tofauti kidogo na zile biashara za kuigana mwishowe kuanza kurogana ni kuanzisha NYAMA CENTER NYAMA CENTER itakuwa inauza nyama za aina mbalimbali kama vile...
  13. PreGE2025 RC Makonda aandaa hafla ya Wakuu wa Taasisi za Umma na Wafanyabiashara Arusha

    Arusha leo katika hafla ya kufahamiana kwa sekta binafafsi. --- Maandalizi ya hafla fupi iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Christian Makonda kwa ajili ya kuwakutanisha Wakuu wa Taasisi na Mashirika yote ya Umma nchini Tanzania na wawekezaji na wafanyabiashara wa Mkoa wa Arusha. Wakuu hao...
  14. Hivi Peponi kutakuwa na Nyama Choma?

    Miongoni mwa mambo ninayo yangoja kwa hamu ni kuingia mojakwamoja peponi. Naomba kuuliza wataalamu wa maandiko endapo peponi kuna nyama choma yenye pilipili kwambaali na limao. Imeandikwa tutakula vinono, naomba kujua kama kuna mwenye menu tafadhali. Lamomy wewe paradiso isahau, kwasababu...
  15. Mbarali: CHADEMA Digital yaambatana na nyama choma

    Katika oparesheni kabambe inayoendelea ya kutokomeza CCM Mbarali , kikundi cha Diaspora kikiongozwa na TL Marandu kimenunua Zizi la Mbuzi kwa ajili ya nyama choma ya Watenda kazi hiyo ya kuteketeza ccm , kazi inayoongozwa kikamilifu na Liberatus Mwang'ombe. Wakati CCM wakilogana kugombea nafasi...
  16. Sehemu Gani nzuri Morogoro ya kula supu, bia na nyama choma

    Wazee kibunda kipo na nishafika Moro,ntalala hapa Ili kesho mchana niondoke kuja dar sasa nawaza hiki kibunda changu nikitumie wapi? Nipo na girlfriend wangu.
  17. Ni sahihi kwenda kula nyama choma, huku familia ikishindia mboga za majani?

    Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana. Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako...
  18. A

    SoC02 Jinsi walaji wa kitimoto walivyo hatarini kupata magonjwa

    Walaji wa nyama ya nguruwe nchini wako hatarini kupata magonjwa mbalimbali kikiwamo kifafa kutokana na maandalizi duni ya kitoweo hicho maeneo ya baa na nyama hiyo kutokaguliwa na wataalamu. Pia, kukosekana kwa machinjio za nguruwe za kutosha ni changamoto nyingine inayosababisha watu kuchinja...
  19. Manispaa ya Kigamboni mnaonaje mkaanzisha mnada wa Mbuzi/ Nyama Choma hata Kila Jumamosi

    Wakati serikali ikiwa haina akili tena ya kupata vyanzo vya mapato na kuishia kwenye kuweka Tozo mpk za Ndoa, ni wakati mwafaka sasa Manispaa kupitia think tank wao wakabuni vyanzo ambavyo havimuumizi mwananchi. Serikali ilipochukua vyanzo vyote vya Manispaa walibuni uwepo wa Stendi za magari...
  20. Kamusi ya Kiingereza ya Oxford (OED) yaongeza maneno 200 ya Afrika Mashariki

    Kamusi ya Kiingereza ya Oxford (OED) ambayo ni kamusi kubwa zaidi ya lugha ya Kiingereza imeongeza maingizo 200 mapya na yaliyosahihishwa kutoka Kiingereza cha Afrika Mashariki, ambayo kimsingi yanatumiwa nchini Kenya, Tanzania, na Uganda. Katika taarifa yake, OED ilisema kuwa lugha ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…