nssf

NSSF
The National Social Security Fund (NSSF) is the government agency of Tanzania responsible for the collection, safekeeping, responsible investment, and distribution of retirement funds of all employees in all sectors of the Tanzania economy that do not fall under the governmental pension schemes.

The NSSF was founded in 1997 as the successor to the defunct National Provident Fund (NPF).
  1. I

    JamiiForums Tanzania Makato yapi ambayo ni lazima kwa mfanyakazi wa sekta binafsi (NGO) kukatwa? NSSF, NHIF au PAYE?

    Makato yapi ambayo ni lazima kwa mfanyakazi wa sekta binafsi (NGO) kukatwa? NSSF, NHIF au PAYE? Naam naombeni jibu hapo
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Mradi wa Dege Eco village uliotelekezwa Kigamboni

    21 April 2022 Kigamboni, Dar es Salaam Tanzania MRADI MKUBWA WA MAKAZI ULIOGEUKA MAGOFU WATEMBELEWA ILI KUONA UKUBWA WAKE Mradi huu mkubwa wa mfuko wa Jamii wa NSSF ulianza ujenzi mwaka 2014 ulikuwa ukamilike 2018 lakini mwaka 2016 ukasimama una nyumba 7460 68 executive, twin villas 148...
  3. A

    JamiiForums Tanzania NSSF haina msaada kwa waajiriwa wa sekta binafsi

    Najiuliza lengo la serikali kufuta mifuko mingine na kubakisha miwili tu yaan kwa ajili ya wafanyakazi secta binafsi na serikali sioni sababu Ndugu Wana jamvi mfuko huu wa NSSF una mapungufu yafuatayo 1. Ni taasisi ambayo haifuatilii michango ya wanachama yaani mwajiri apeleke asipeleke kwao...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri maoni juu ya malipo ya NSSF

    Hbr na poleni na swaum wana JF:- Niende kwenye point kuu ya mada hii nina mzee wangu anakaribia kustaafu serikalini kama mtumishi wa umma kwenye kada ya afya, tumezaliwa watoto 4 Mungu ni mwema wote tulibahatika kwenda na sasa tumebahatika kwa uwezo wa Mungu tupo kwenye ajira nini pointi yangu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunakuomba uondoe hii sheria kandamizi ya fao la kukosa ajira NSSF na urejeshe fao la kujitoa

    Kwako Muheshimiwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunakuomba uondoe hii sheria kandamizi ya fao la kukosa ajira na uterejeshe fao la kujitoa ambapo mwanachama wa NSSF atakua na uwezo wa kuchukua pesa zake zote bila kujali kwamba ameacha kazi mwenyewe au ameachishwa. Sheria hii ya...
  6. JamiiForums Tanzania Tofauti ya mafao kati ya PSSSF na NSSF

    Naomba kujua
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia toa tamko kuhusu NSSF kujiamulia Sheria iliyozuiliwa na Hayati Magufuli mpaka 2023

    Kuna ile sheria ya kikokoto kipya kilichoibua vurugu mpaka bosi wa nssf alitenguliwa madaraka kwa sasa NSSF wamejiamulia wenyewe kutumia hiyo sheria pasipo kauli ya Rais je huu siyo ubabe Watu wa sekta binafsi wanaumizwa na kikokotoo hicho au mnataka watu waingie barabarani na mapanga Tumieni...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa G4S tuliohamishiwa Zanzibar tunaomba ofisi ihamishie michango yetu ya Hifadhi ya Jamii NSSF kutoka ZSSF

    Sisi ni wa wafanyakazi tuliohamishiwa Zanzibar toka Bara kwa ajili ya kufanya kazi za ulinzi kwa miaka na siku tofauti. Tulipohamishiwa hapa visiwani kampuni yetu ya G4S ilitupatia mishahara yetu na kutuma michango yetu ya mifuko ya hifadhi ya jamii kama ada katika mifuko yetu ya hifadhi za...
  9. JamiiForums Tanzania Daraja la Kigamboni lilijengwa kutokana na uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkopo utamalizika lini?

    Daraja la Kigambo lilijengwa kutokana na uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkopo huo utamalizika lini Ili daraja hilo Watanzania waweze kulitumia bila kulipa tozo kama daraja la Tanzanite?
  10. JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana leo baada ya kufika Dege Kigamboni

    Nilikuwa Dege Kigamboni siku ya leo. Nimeshangaa sana baada ya kuona majumba makubwa sana ya ghorofa, majumba kama utitiri. Baada ya kuuliza nikaambiwa ni mradi unaitwa Dege Eco Village. Kwa haraka haraka tunaweza kusema ni kama Kariakoo au hata zaidi. Nakosa hata ya kuandika maana bado...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye uelewa kuhusu fomu za mapunjo za NSSF

    Heshima kwenu waungwana Naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu Hivi mtu anapojaza fomu ya mapunjo kwaajili ya kuchukua michango yake ambayo awali ilikuwa haijawekwa na mwajiri wake je kunakuwa na mzunguko sana katika kujaza hiyo fomu au Kuna unafuu wa ujazaji tofauti na mtu anaenza kujaza fomu za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde wastaafu wenzangu, NSSF, PSSSF, nk.

    Tafadhali sana tujuzane tarehe za kuhakiki, ni January hii. Tusije tukafutwa kwenye vipension vyetu!!
  13. JamiiForums Tanzania Msaada kwa waliowahi kujaza fomu ya mapunjo NSSF

    Habari zenu, Nimesikia kwamba inapotokea mwajiri wako hajamaliza kuweka michango yako yote lakini kutokana na shida zako ukaamua kuchukua kwanza michango iliyopo halafu muajiri wako akimaliza kupeleka michango iliyobaki kuna fomu unatakiwa ujaze inayoutwa "fomu ya mapunjo" ili uweze kulipwa...
  14. JamiiForums Tanzania Hospitali za bima ya NSSF kwa hapa Dar

    Habari zenu ndugu zanguni watanzania, Napenda kuuliza mie nina kadi ya NSSF kwa ajili ya matibabu, wife ni mjamzito sasa je napenda kuuliza ni hospital gani nzuri kwa hapa Dar kwa ajili ya uzazi kwa kadi za NSSF.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu NSSF kwa waliowahi kulipwa fao la kukosa ajira

    Naomba kuuliza kwa wale ambao wameshawahi kulipwa fao la kukosa ajira. Inapotokea kwenye akanti yangu ya NSSF kwenye status inaonyesha Approved na salio linasoma 0.00 huwa inachukua siku ngapi mpaka pesa kuingia kwenye akaunti ya benki ya mwanachama ? Asanteni kwa mtakaonijibu...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NSSF

    Habari zenu Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu Hivi account ya NSSF status kwenye salio ikishasoma 0.00 Tshs huwa inachukua siku ngapi mpaka kulipwa?
  17. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa wenye uzoefu mikopo ya Azania bank kwa wanachama wa NSSF

    Wakuu nawasalimu. Naomba kama Kuna mtu ana uelewa na Hili anisaidie. Azania bank wanatoa mikopo kwa wanachama wa NSSF. Kama mtu aliachishwa kazi kipindi cha janga la Corona kwa sababu kampuni iliamua kupunguza wafanyakazi na hakutoa mafao yake NSSF na ameamua kutokuajiriwa tena anaweza kupata...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada kwa waliochukua malipo ya NSSF hivi karibuni

    Habari zenu wakubwa kwa wadogo Naomba kuuliza, wiki iliyopita nilirudisha fomu yangu ya madai NSSF na baada ya kufanya uhakiki wao wakanambia kwamba siku flani niangalie kwenye akaunti yangu ya benki nitakuta hela imeingia. Kwakua mpaka natoka pale na akili nayo ilikua imechoka kiasi kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania Unaweza kuangalia kama hela yako inawekwa NSSF kwa njia ya mtandao?

    Habari wakuu Hivi ni namna gani unaweza kuangalia kama mwajiri wako anaweka hela NSSF kila mwezi online ,yaani Kama Kuna app ,au kwenye ya website ya nssf hio huduma ipo ?. Naomba kujua na ni kwa namna gani
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa taratibu za kukomboa mafao NSSF

    Habari wakuu? Natumaini wote ni wazima. Wakuu naomba kwa mwenye kufahamu taratibu za kukomboa (to claim) mafao ya NSSF iwapo mtu ulikuwa unafanya kazi na mwajiri alikuwa akipeleka michango. Mwaka 2017 hadi 2019 nilipata fursa ya kufanya kazi kwenye sekta ya masuala ya hospitality. Mwajiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…