noti

NotI is a restriction enzyme isolated from the bacterium Nocardia otitidis.

View More On Wikipedia.org
  1. Meneja Wa Makampuni

    Napendekeza Serikali ya Tanzania ichapishe Noti za Shilingi Elfu (50,000) na Laki moja (100,000)

    Napenda kutoa mapendekezo muhimu kwa Serikali ya Tanzania (GOT) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhusu umuhimu wa kuchapisha noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000. Pendekezo hili lina lengo la kuongeza hadhi ya fedha nchini na kuleta faida za kiuchumi na kifedha kwa taifa letu. 1. Pendekezo...
  2. KING MIDAS

    DOKEZO Dola zimeadimika, bei ya black market ni Tzs 3000-3200 kwa noti za $.50 & 100

    Kwa zaidi ya siku 10 nimekuwa nikitafuta dola 12,000 kwa ajili ya kuweza kuagiza vitu fulani China. Nimezunguka kwenye mabenki yote makubwa, jibu lao hatuna USD. Nimeenda bureau de change, nako nimezunguka sana. Jana jioni nikafika kwenye duka moja la kubadilishia fedha, nilipoingia ndani...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    Wafahamu Wavuvi hawa Mashuhuri waliokuwepo kwe Noti ya Shilingi Mia Mbili

    Mwishoni mwa miaka ya 1980, Benki Kuu ya Tanzania ilitoa noti ya Shilingi Mia Mbili. Noti hii maarufu upande wake mmoja ulikuwa na picha ya wavuvi wawili wakiwa wamebeba samaki mkubwa wakiwa wanaelekea nchi kavu. Najua wengi wetu hatufahamu kwanini iliwekwa picha ya wavuvi wale? Basi jua...
  4. Roving Journalist

    Polisi Mbeya wamkamata Joseph Ngoya akiwa na noti bandia za Tsh. 10,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia JOSEPH NGOYA mwenye umri wa miaka 34, Mkazi wa Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma za kupatikana na Noti bandia za shilingi elfu kumi. Ni kwamba mnamo tarehe 23.02.2023 huko maeneo ya Kituo cha Mafuta (Sheli) ya Kazibure iliyopo barabara Kuu (Tunduma...
  5. Kwitogelo

    Kwanini noti ya elfu moja au maarufu kama "buku" inatamba sana mtaani siku hizi?

    Habari za leo wana JF? Ni kama miezi mitatu hivi nimeanza kuona hizi noti za elfu moja zikitamba sana mtaani, yaani zimekuwa nyingi unaeza kudhani kuna mahali ziliwekwa sasa zimeachiwa. Wataalam wa masuala ya uchumi tunaomba ufafanuzi hapa.
  6. Area 56

    Hayati Magufuli aliwahi kutishia kuchapisha noti mpya! Aliishia wapi?

    Enzi zile za utawala wa awamu ya 5 mambo yalinoga sana. Kila uchwao tungeweza kupigwa biti zito na jipya, kwa kifupi nchi ilikuwa ya moto kila siku, matamko ya kila namna. Siku moja katika majukumu yake ya kawaida, hayati Magufuli akautangazia umma kupitia kwenye hotuba yake kuwa asingeshindwa...
  7. Brain Kingdom

    Mlima Kilimanjaro haujaheshimika kutowekwa kama nembo kwenye noti ya elfu10

    Hello hello, Mlima(Mt.)Kilimanjaro the pride of Tanzania. Ebu ifike pahala kama taifa tuwe serious kwenye fikra na dhamira mbali mbali katika uendeshaji na mipango ya nchi, tutafakari tu, hivi upekee wa Tanzania katika utambulisho wa nembo za rasilimali kuu za taifa kwenye pesa zetu hasa noti...
  8. Mshuza2

    Asilimia 82.5 ya pesa taslimu iliyopo katika mzunguko ni noti ya shilingi 10000

    Pic credit.The chanzo
  9. M

    Miujiza ya jero ya zamani (mia tano ya noti)

    - Wakuu leo katika pita pita zangu nimepita sehem mmoja hivi kariako mtaa wa sikukuu ! hapo Nilikutana na wanaa basi tukapiga piga stori mbili tatu na nisemee wazii nimepataa vituu adimu sana. - Kwanza nimegundua kuwa ule msemo wa Adui mkubwa wa umasikini ni Elimu ni kweli kabisaa na hii ni...
  10. JanguKamaJangu

    Nigeria yazindua noti mpya kupunguza nguvu ya vikundi vya watekaji

    Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari akiwa na Gavana wa Benki Kuu, Godwin Emefiele wamezindua noti hizo lengo likiwa ni kuzuia uingizaji wa bidhaa za magendo na kupunguza nguvu ya ufadhili katgika vikundi vya waasi vinavyotumika kuteka watu. Noti hizo mpya za Naira 200, 500 na 1,000 zinatarajiwa...
  11. BARD AI

    Jalada la wanaodaiwa kuchana Tsh. Bil 4.6 za BoT lasubiri uamuzi wa DPP

    Jalada la kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili washtakiwa 13, wakiwemo waliyokuwa watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), lipo mezani kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kwa ajili ya kupitiwa na kutolewa maamuzi. Kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka matano, likiwemo la kuharibu noti 4.6...
  12. FRANCIS DA DON

    Napendekeza noti ya elfu kumi iwekewe QR code

    Je, nini yatakuwa manufaa / hasara za kuweka QR code kwenye noti za BOT? ========================= https://www.jamiiforums.com/threads/je-nchi-kuchapisha-pesa-zake-nje-ya-nchi-ni-sahihi.1877297/ =========================== ==========================
  13. BARD AI

    Wafanyakazi wa BoT waliochana noti za Tsh. Bilioni 4.6 hali tete

    Upelelezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabiliwa washtakiwa 13, wakiwemo waliyokuwa watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), bado haujakamilika. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashitaka matano, likiwemo kuharibu noti 4.6 milioni kwa kuzichanachana na hivyo kuisababishia benki hiyo hasara...
  14. ESCORT 1

    Noti yako ya kwanza kutumia ilikuwa na saini ya Gavana yupi?

    Wakati unaanza kupata ufahamu wa kujua noti za Tanzania na kuzitumia, zilikuwa na saini ya gavana yupi?
  15. wa stendi

    Serikali itabadilisha lini saini ya Waziri wa Fedha kwenye noti?

    Kama mnavyojua aliekuwa Waziri wa Fedha kipindi hicho ni Dkt. Mpango na kwa sasa ni Makamu wa Rais hivyo noti za fedha zilikuwa na saini yake akiwa kama Waziri, kwa sasa Waziri Ni mwingine je! Kwanini saini ya Waziri husika isiwekwe kwenye noti? Mpaka sasa akija mgeni asiyejua au mtoto anaenza...
  16. Nuraty J

    Msaada: Utaratibu kubadili noti chakavu upoje BOT?

    As/aleikum wapendwa, Jamani Kuna ndugu yangu mfanyabiashara,ana noti chakavu za Kama shilling laki sita, Utaratibu upoje akitaka kwenda kuzibadili pale bank kuu? Asante
  17. chiembe

    Marais wa kiume picha zao ziko kwenye noti na kwenye sarafu, hebu tuwape wanawake sarafu moja ya Mama Samia, hii ni historia ya taifa

    Kila taifa huwa Lina historia na tunu zake, tuna Rais wa kwanza mwanamama. Tumpe kumbukumbu moja mujarabu ya hata sarafu yenye picha yake! Ni sisi tu afrika mashariki na kati
  18. init

    Uchakavu wa noti uliokithiri katika mkoa wa Iringa na Njombe, je Benki kuu inaweza kuwa na mchango kulikabili hili?

    Awali ya yote nipende kumshukuru yeyote atakaye nusa au kuuweka machoni uzi huu. Nime kuwapo katika mikoa tajwa apo juu kwa vipindi tofauti tofauti. Katika vipindi hivyo vyote nimekuwa shuhuda wa tatizo hilo, noti zinazotumika katika mikoa tajwa zina hali mbaya. Kwa tizama yangu sabubu kuu ya...
  19. Lycaon pictus

    Badala ya Noti kwanini Serikali isitengeneze Mpesa yake?

    Kwanini serikali isiunde mpesa yake ambayo watu watakuwa wanatumiana pesa na kufanya biashara bila makato yoyote. Yaani kama hivi wanavyofanya kwa noti. Si litakuwa jambo la kimapinduzi sana ikifanya hivyo halafu baada ya muda noti zikaondolewa kwenye mzunguko.
Back
Top Bottom