noti

NotI is a restriction enzyme isolated from the bacterium Nocardia otitidis.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    Noti za Tanzania zibadilihswe, tumezichoka

    Tunahitaji kubadilisha muonekano wa fedha zetu sasa, hizi zimesha chakaa na zimeshatuchosha. Kwa miaka zaidi ya kumi tumekuwa na muonekano huo huo hii ni aibu ya taifa.zania Zinahitajika kubadilishwa
  2. B

    Tusiangalie uchezeaji na matumizi mabaya ya noti kwa jicho la kuvunja sheria peke yake

    Hivi karibuni Waziri wetu wa sheria pamoja na Gavana wa benki kuu wamejitokeza na kutukumbusha kuwa ni kuvunja sheria kuchezea au kuziharibu Noti zetu pamoja na sarafu. Ni vizuri kwao kutuelimisha juu ya kuwepo sheria hizo ili wananchi wasije kutwa na hatia mara watakapo tiwa mbaroni kwa...
  3. Zingzingzing

    Nina sarafu za sh 100, 200 na 500; natafuta wa kubadilisha na fedha za noti, au kwa anayejua utaratibu

    Habari wana JF, kutokana na shughuli nazofanya inanilazimu kupata pesa kama hzo, msaada mwenye kujua wapi naweza badilisha. NIPO SONGEA, 0623 306 403
  4. Ngengemkenilomolomo

    Kuna jambo gani katika noti za Tsh 500? Mbona watu wapo radhi kuzinunua kwa gharama kubwa?

    Wakuu habari za muda na wakati huu, Kwa sasa kumekua na wimbi la watu wanaotafuta noti za shilingi 500 zile za zaman mpk wanadiriki kutoa dau nono kwa yeyote aliyenazo, unakuta mtu anatoa mpk 30,000 kwa ajili ya noti moja ya 500. Je, kuna kitu gan cha special kias kwamba mpaka mtu anatoa kias...
  5. mirindimo

    Hivi kuchoma moto noti (Pesa) kama hivi inaruhusiwa??

    Naomba kuuliza naweza kua mshamba hivi kuchoma hela hadharani au bendera ni sahihi ??
  6. J

    Tumpe heshima Samia Suluhu Hasani, tuchape noti zenye sura yake

    Wadau napendekeza Mheshimiwa wetu mpendwa Rais Samia Suluhu Hassan, Tuchape noti zenye sura yake kwasabab;- Ndiyo Rais wa kwanza Mwanamke. Utendaji wake ni wa kutukuka. Ana kazi kubwa ya kulikomboa taifa kutoka katika giza nene la chuki, unyanganyi, kupotezana kupigana risasi na ubabe...
  7. Fatma-Zehra

    Kubadilisha noti kutamsaidia sana Magufuli kwa sasa katika vita dhidi ya ufisadi

    Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana. I advise him to do the same wakati...
Back
Top Bottom