Nigeria yazindua noti mpya kupunguza nguvu ya vikundi vya watekaji

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari akiwa na Gavana wa Benki Kuu, Godwin Emefiele wamezindua noti hizo lengo likiwa ni kuzuia uingizaji wa bidhaa za magendo na kupunguza nguvu ya ufadhili katgika vikundi vya waasi vinavyotumika kuteka watu.

Noti hizo mpya za Naira 200, 500 na 1,000 zinatarajiwa kutasaidia kumaliza sarafu zilizozidi katika mzunguko na kupunguza mfumuko wa bei uliopo mitaani.

Pamoja na hivyo, tayari kundi moja la watekaji limewateka watu wazima wawili na watoto wawili katika Jimbo la Zamfara na wakasema wanahitaji noti mpya ili kuwaachia mateka hao.

===========

Nigeria launches new banknotes to mop up counterfeits

Nigeria's President Muhammadu Buhari unveils new naira notes with Central Bank Governor, Godwin Emefiele

New banknotes are being launched in Nigeria today in an effort to fight counterfeiting and the financing of Islamist groups and hostage takers.

It's hoped the introduction of the new 200, 500 and 1,000 naira notes will help mop up the excess currency in circulation and reduce inflation.

One kidnapping gang has already responded to the launch of the new currency.

They have halved their ransom demand for two adults and two children seized in Zamfara state, insisting it's paid in the brand new notes.

BBC World

=============

Nigerian President Introduces Newly-designed Bank Notes

Nigerian President Muhammadu Buhari has introduced a new design for the naira currency notes, aiming to curb the use of excess amounts of cash and combat crime.

President Buhari and top Cabinet members, including officials of the central bank and the anti-graft agency, attended the official launch of the redesigned 200-, 500- and 1,000-naira bills at the State House Wednesday morning.

The move comes earlier than expected.

The release of the new notes was originally scheduled for mid-December, but Central Bank of Nigeria Governor Godwin Emefiele said Tuesday Buhari had "graciously accepted" the invitation to unveil them sooner.

The CBN says the measure was necessary to mop up excess cash from circulation - over 85% of total money available for public use, according to the bank.

Authorities said they will also cut off access to the money used by kidnap-for-ransom gangs.

Emefiele told journalists that authorities would intensify monitoring of the new bills and put a restriction on the volume of cash that can be withdrawn over the counter.

Public finance analyst Isaac Botti says that is the only way to address the problem.

"If the CBN has a policy that limits the amount of naira withdrawal particularly the new currencies, if people begin to have access to currencies in large sums we're going back to the same circle,” said Botti. “These same people will collect the money and go and stash again."

The new bills will be in circulation along with the old ones until January 31, 2023, when the old notes cease to be legal tender.

Emefiele says the CBN could redesign the notes every eight years.

But for now, many citizens will be trying to beat the CBN's deadline on the old bills.

Source: VOA
 
Pamoja na hivyo, tayari kundi moja la watekaji limewateka watu wazima wawili na watoto wawili katika Jimbo la Zamfara na wakasema wanahitaji noti mpya ili kuwaachia mateka hao.
 
Wanadhamini kutafuta nini?
Ni wito kwa kila muislam kokote alipo kuhakikisha Jihadi inafanikiwa iwe kwa propaganda ama vita. Jonathan in his tenure alileta masenali kutoka SOUTH AFRICA kupambana na boko haram na waliekea Kufanikiwa M Buhari alipoingia madarakani akawatoa.
Mgombea mwenza wa Tibunu wa chama tawala(Shetima) ni miongoni mwa masiponsa na founder wakubwa wa boko haram na akiwa kama gavana aliwai mficha Kabiru(moja ya kiongozi boko haram ) ndani ya nyumba yake asikamatwe na Polisi.
Buhari huyu huyu (rais) aliwai sema" any attack of boko haram is attack on the North".
Watu wanatafuta thawabu kwa Allah
 
Attachments

  • 20221124_235356.jpg
    20221124_235356.jpg
    86.6 KB · Views: 4
  • 20221124_235302.jpg
    20221124_235302.jpg
    103.8 KB · Views: 4
Ni wito kwa kila muislam kokote alipo kuhakikisha Jihadi inafanikiwa iwe kwa propaganda ama vita. Jonathan in his tenure alileta masenali kutoka SOUTH AFRICA kupambana na boko haram na waliekea Kufanikiwa M Buhari alipoingia madarakani akawatoa.
Mgombea mwenza wa Tibunu wa chama tawala(Shetima) ni miongoni mwa masiponsa na founder wakubwa wa boko haram na akiwa kama gavana aliwai mficha Kabiru(moja ya kiongozi boko haram ) ndani ya nyumba yake asikamatwe na Polisi.
Buhari huyu huyu (rais) aliwai sema" any attack of boko haram is attack on the North".
Watu wanatafuta thawabu kwa Allah
Hiyo dini ya hovyo sana.
 
Back
Top Bottom