The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.
Wakuu Hii ni sehemu ya hotuba ya baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere aliyoitoa siku ya wafanyakazi Duniani Mei1, 1995 Mjini Mbeya. Pengine angekuwepo leo angesema 'No reforms No election'
===
Hoja ya kuruhusu wagombea binafsi
Nataka kusema kauli ya mwisho kuhusu sheria ya uchaguzi ilivyo sasa...
Wadau kuna baadhi ya machawa huwa wanadhani kusifia viongozi kwa manufaa yao binafsi hawawezi kupata madhara.
Sasa machawa wa club ya Simba akina kisugu, mzaramo, mwijaku na wengine wanapaswa kuona kama taifa tumeshindwa kukarabati uwanja wa mkapa unakataaje ajenda ya no reforms no election...
Akisisitiza kuwa hakuna kutetereka wala kuogopa, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche akiambatana na Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika, ameeleza kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mhe. Tundu Lissu, amefurahia sana wingi wa wananchi waliojitokeza leo Mei 19...
John Heche aendesha Tone Tone nje ya Mahakama akiagana na Mamia ya Wanchadema waliojitokeza kwenye kesi ya Tundu Lissu adai "Tunaendelea na ziara yetu ya No Reforms NoElection"
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuwa mwalimu wa vyama vingine ili waendelee kujifunza kwao.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, CPA Amos Makalla, ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Bukoba Mjini, mkoani Kagera, katika ziara...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob amesema tuhuma zilizotolewa na miongoni mwa wanachama wa chama hicho aliyesema ametolewa kwenye group la kamati kuu(Devotha Minja) kuwa ni kwa sababu anatengwa sio za kweli.
Boniface ameeleza hayo leo Mei 18, na kueleza kuwa mtu huyo alituma...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya Pwani Boniface Jacob(Boni Yai) amekanusha kauli zilizokuwa zikisemwa na baadhi ya watu wanaojivua uanachama wa chama hicho akiwemo John Mrema kuwa ajenda ya 'no reform no election' sio halali na haikua na nia ya kuzuia uchaguzi bali...
Huu upepo wa No reform No election ni mkubwa na una nguvu umeshika kasi kwa wananchi. Hii ni "ideology" na ni ajenda ambayo wananchi wanaielewa kwa urahisi kutokana na yaliyoonekana kwenye chaguzi zilizopita na hususani uchaguzi wa 2024. Ninashauri Serikal8 yangu tukufu ifanye marekebisho ya...
Katika Bandika bandua inayoendelea chini ya Kiongozi Mahiei Mh John Heche ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa huko Kahama.
Zaidi ya Wananchi 5000 ktk mkutano mmoja wamekubali kwa kauli moja na kuitaka serikali ijali maoni na matakwa yao.
Wamesema wanaiomba mamlaka kusikiliza...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna...
Wakuu, Uchaguzi mkuu utagharimu mabilioni ya walipa kodi katika nyakati ambazo wananchi wanakosa dawa hospitalini na watoto kukalia dawati shuleni ni utajiri.
Kwahiyo maigizo ya 4R (cosmetics reforms) yanayotangazwa huko CCM hayafai na wa Tanzania wote wapaze sauti kuyakataa..
Hoja ya uchaguzi...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uchaguzi hauwezi kusogezwa mbele kwani wamejipanga kushiriki uchaguzi na hawawezi kuwa sehemu ya kuvunja katiba, hivyo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wajipange 2030.
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha...
Salaam!
Sasa naanza kupata picha ya kwanini nguvu kubwa ilitumika kuzuia CHADEMA kufanya mikutano yao kuwashawishi wananchi kuunga hoja ya no Reforms no Election,
Siasa ni mchezo wa wazi majukwaani na mabarabarani, saaa umati mkubwa tuliouona wa watanzania kujitokeza kuunga mkono hoja ya No...
Wakuu,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi kimetoa msimamo wao wa kuendelea kusimamia ajenda ya chama hicho ya kuzuia uchaguzi endapo hakutakuwa na mabadiliko ya kisheria wanayoamini yatawezesha uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba kuwa huru na haki.
Wakuu,
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, George Katabazi, amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu na vya kati kuepuka kushiriki katika vurugu kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu, ili kulinda amani na utulivu wa nchi.
"Sasa hivi ni kipindi kabla ya Uchaguzi, wakati ya Uchaguzi na baada...
Mbunge wa jimbo la Mvumi Livingstone Lusinde wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi Bajeti Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026 leo Mei 15, 2025 Bungeni jijini Dodoma;
"Mtu akisema 'No Reform, No Election', wewe badilisha kidogo tu, mwambie 'No Election, No Reform'. Maana...
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Mheshimiwa Miraji Mtaturu, amesema kuwa wapo baadhi ya watu wanaojaribu kuonesha tofauti na kutoshirikiana kisiasa, lakini ukweli ni kwamba wengi wao wanafanana kwa kauli na matendo.
Akichangia Bajeti ya Wizara ya Ujenzi, Mtaturu alisema:
"Mheshimiwa...
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa suala la chama kutoshiriki Uchaguzi ni suala binafsi ndani ya Chama husika haipaswi kulazimisha umma kutoshiriki Uchaguzi.
Ndumbaro amesema hayo mbele ya watendaji wa Serikali za Mitaa, Wenyeviti na Wajumbe wa Serikali za Mitaa kutoka...
Wakuu,
Hawa watu bana mi niliona toka mwanzoni walikuwa project tu ya mtu kuwatoa raia kwenye reli wajadili mambo mengine na kuacha jambo pressing lililokuwa mbele yetu.
Mei 13, 2025 viongozi na baadhi ya wanachama wa NETO walifanya press, wanakushukuru 4R za Samia na Simbachewene kuwapokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.