no reforms no election

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Suzan Kiwanga: Sisi tulisema No reforms No election kama kutishia tu hatukumaanisha, akosoa ajenda ya kugomea uchaguzi

    Jumla ya wananchama 50 wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutoka Mkoani Morogoro wamejivua uanachama wa chama hicho huku baadhi yao wakijivua nyadhifa mbalimbali za uongozi wa ndani ya chama hicho. Hatua hiyo inakuja baada ya wanachama hao kudai kuwa hawaridhishwi na Maendeleo ya...
  2. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Picha ikionesha nyomi ya watu kwenye Operesheni ya 'No reforms No election' Mei 14, 2025

    Wakuu hizi picha ni za mwaka huu?
  3. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Huyu mtu aliyebuni slogani ya "No reforms No election" ndani ya CHADEMA ana akili sana, tumpe maua yake!

    Serikali ya CCM ,inalala na viatu, inahaha, kila mbinu chafu wakileta unashindwa kuuzima moto wa No reforms No election. Hapa kila Mtanzania anaimba , huu wimbo, "CCM wanaimbia kimoyoyo" , mpaka viongozi wa dini mashekhe, mapadirii,wachungaji, maskofu, yaani kila kona ya nchi ni No reforms No...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Hatubadili chochote msajili akitaka akifute CHADEMA

    John Heche Jaji Mutungi aione hii kwenye faili. Vita ni vita Mura. Hatutishwi, hatutishiki. Msimamo ni uleule.
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Morogoro: Viongozi wengine wa CHADEMA wajivua uanachama, wasema Tulisema No Reform kama kutishia tu

    Wakuu, Lile wimbi la wanachama wa CHADEMA kujivua uanachama linaendelea Siku ya leo Viongozi wa Chadema Mkoa Morogoro wilaya, Majimbo, Kata na Matawi wakiongozwa na aliyekuwa Mbunge wa Mlimba Suzan Kiwanga wamejivua uanachama wa CHADEMA. Wakizungumza kwenye mkutano waliofanya na waandishi wa...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kukosa akili kwa CCM na System kunazidi kuthibitisha Uhalali wa Ajenda ya Chadema kuhusu No Reforms No Election.

    Wakati Tundu Lissu akikamatwa na kuswekwa Gerezani kwa tuhuma za hila dhidi yake na Chadema. Wakati viongozi na Makada wa Chadema wakitekwa, kuuwawa na kupotezwa. Wakati Maofisa wa System wakienda kumwaga vitu vya kemikali kwenye Ofisi za Chadema Mbeya kuwatisha Wanachadema na Wanambeya kuacha...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa BAWACHA Ilala: G55 wameahidiwa Majimbo 30 na fedha Tsh. Milioni 200 kila jimbo, ushahidi tunao

    Mwenyekiti wa BAWACHA wilaya ya Ilala Nice Gisunte amesema wanachama wa Chadema kwa sasa wanajua kinachoendelea dhidi ya wanachama wa Chama hicho wanaojitoa Uanachama kuwa kuna Mradi wa kimkakati unaendelea dhidi yao. Gisunte amesema wanazo taarifa kuwa G55 waliojitoa uanachama wa Chadema...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Mmemkamata Lissu chama kipo mikononi mwangu, haki ya Mungu tutawashughulikia

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atangaza misimamo mikali ya chama hicho baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wao ndugu Tundu Lissu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: G-55 wanaondoka kwasababu CHADEMA ni Chama cha Upinzani siyo Chawa

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Godbless Lema akiongea na wananchi wa Mkoani Mwanza hapo jana Mei 12 katika ziara yao ya "Bila mabadiliko hakuna Uchaguzi" ameeleza kuwa "Wanaondoka kwasababu Mungu anaipenda Chadema, Chama hiki kwasababu ni cha Upinzani lazima...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wasiwatishe, CHADEMA haikuanzishwa kutimiza ndoto za Ubunge

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amewataka Wanachama wa Chama hicho kutotishwa wala kubabaishwa na walioshindwa mapambano na kuondoka kisa CHADEMA haishiriki uchaguzi bila mabadiliko kufanyika ambapo amesema Chama hicho kilianzishwa ili kuwaletea Watanzania mabadiliko na sio...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wenje: Tunaposema No reforms no election' ni kwamba tumeshituka

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria Ezekiel Wenje amesema safari ya siasa kama maisha ya mwanadamu akibainisha kuwa kuna wakati kwenye maisha unapita kwenye mawimba na kwamba chadema wako kwenye kipindi cha mpito. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makosa ya kiufundi waliyofanya wanaojaribu kuhujumu "No Reforms No Election"

    Baada ya moto wa No reforms no election kuwa mkubwa, wakubwa wakastuka, wakaja na mkakati wa kuhujumu movement hiyo, hata hivyo katika kutekeleza mkakati wao wakajikuta wanafanya makosa ya kiufundi ambayo yamekwamisha mpango wao big time, nitaeleza makosa ya kifundi na factors nyingine...
  13. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tazama kimbunga cha No reforms no election Geita, Wenje aseme ahami chama, CCM hoi

    No reforms no election, leo ilikuwa mjini Katoro Geita, maelfu ya wananchi waiunga mkono. https://x.com/MariaSTsehai/status/1921221068045324414?t=vS8C8M6SsX_Rf2j8nb4cfQ&s=19 Wenje asema yeye ahami chama bado yupo chadema kupigania mageuzi...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika: Hatutabaki tukimlilia Lissu tunasonga na 'No reforms No election'

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema pamoja na kwamba Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu yupo gerezani hawatabaki kumlilia bali wataendelea na mapambano ya kudai mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi. Akizungumza na wananchi mkoani Kagera jana, Mnyika...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche apeleka 'No reforms No election' Chato asisitiza uhitaji tume huru ya uchaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amefika Wilaya ya Chato, nyumbani kwa Rais wa Awamu ya Tano hayati John Magufuli, kupeleka kampeni ya chama hicho ya No reforms, No election. Heche anayeongoza timu ya chama hicho katika ziara ya Kanda ya Victoria, ameingia Chato leo Mei 10, 2025...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtia nia Urais aondoka CHADEMA, amtuhumu Lissu kwa kumshambulia Rais Samia

    Aliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho. Pia, Soma: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025 Mapunda amefikia uamuzi huo...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Wanaoondoka CHADEMA ni matokeo ya mabadiliko ya uongozi, si ubaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, John Heche amesema ndani ya chama hicho hakuna ubaguzi bali ni mabadiliko ya kawaida ya viongozi. Heche amesema hayo leo Alhamisi, Mei 8, 2025 mkoani Kagera katika mikutano ya operesheni ya No reforms, no election 'bila...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wale G55 wanaenda Chama kingine ili ionekane Chadema imekufa, sisi hatununuliki

    John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Kyerwa Mkoani Kagera leo Mei 07, 2025. "Leo mnaishi kwenye nchi ya asali na maziwa, watu wetu ni maskini, matibabu ni ya shida hata barabara ya kuunganisha wilaya na wilaya ndio hiyo tunatembea - kwa...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salim Mwalimu aliyejiondoa CHADEMA: Lissu, Heche na Mnyika walikuwa wananichukia

    Wakuu, Kwanza ningependa kumpongeza Charles William kwa kufanya mahojiano yenye level kubwa sana ya professionalism. Yaani ameweza kuuliza maswali kwa huyu Salim Mwalim mpaka akaanza kujikanyaga kanyaga akiwa live. Soma pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salum Mwalimu: Mbowe alitaka kupigania mifumo ili tuingie kwenye uchaguzi

    Naona bado Team Mbowe wanazidi kujikanyaga tu wao wenyewe hata hawajui hiyo 'No reforms no election' ni nini. So sad asee, === Salumu Mwalimu ambaye alikuwa ni miongoni mwa waliotangaza kujitoa CHADEMA amefanyiwa mahojiano na Wasafi Tv na kueleza kuwa lengo lwa Mbowe lilikuwa ni kupigania...
Back
Top Bottom