njombe

  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Njombe: Erasto Raphael kabupa mwenye miaka 50 afariki dunia akishiriki tendo na mke wa mtu baada kuzidiwa ghafla

    Erasto Raphaely Kabupa (50) mkazi wa kijiji cha Igelehedza kata ya Ilembula wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe amedaiwa kufariki Dunia wakati akishiriki tendo la ndoa na mke wa mtu katika nyumba ya kulala wageni. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amethibitisha taarifa za...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Njombe akabidhi shilingi milioni 30 kwa niaba ya Rais Samia, harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati limefanikiwa kupata zaidi ya shilingi milioni 210 katika harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu iliyofanyika leo Juni 7,2025 ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Walioondoka CHADEMA, UWT Njombe yawakaribisha CCM yasema wasije na vurugu

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) mkoa wa Njombe Dkt. Scholastika Kevela amewataka viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Njombe waliojiondoa na Chama hicho kujiunga na CCM akidai kuwa Chama chao kina utaratibu wa kusikilizana. Dkt...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mwenyekiti wa CHADEMA na wenzake 19 wajivua uanachama. Wasema lazima wagawane mali na majengo ya chama!

    Mbombo ngafu! Sasa mali na majengo kugawanywa baada ya mmoja ya wana Chadema kusema hivyo. Inawezekana jengo la makao makuu Mikocheni likafungwa kwa amri ya mahakama mpaka mgao ukamilike au team Mbowe muda wowote wakaingia ndani ya jengo, wakajaa, na wasitoke Sisi team Mbowe tunasubiri...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UWT Njombe asema watailinda CCM kwa gharama yoyote ile kama Simba na Yanga

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Njombe, Dkt. Scholastika Kevela, amewataka wanawake kote mkoani humo kujiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao, akisisitiza kuwa chini ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakuna atakayeweza kuvuruga mchakato wa uchaguzi. Dkt. Kevela...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa siasa na uenezi CCM Njombe, awaonya wanaokejeli viongozi kwenye mitandao

    Kamati ya Siasa ya halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi mkoa wa Njombe imetoa maelekezo kwa kamati za siasa wilaya zote mkoani humo kuwachukulia hatua wanachama na viongozi wote wa chama hicho wanaoandika maneno yenye kukejeli na kutukana viongozi mitandaoni. Akitoa taarifa ya kikao cha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kiukweli barabara pana zipo baadhi ya maeneo tu lakini kuanzia Njombe hadi Manispaa ya Songea ni shida

    Ukipita barabara hiyo hupati utulivu wa safari barabara haijatulia yani chombo chako cha usafiari hakitatulia kwakuwa barabara si smooth halafu nyembamba.Hali hii inaweza kupelekea kuasababisha ajali za magari au hata waenda kwa miguu,na maeneo ya madaraja yapanuliwe.
  8. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Njombe walalamikia hali ya siasa nchini, yasikitishwa na matukio ya ukamataji na kuteswa kwa makada na viongozi wa chama

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Njombe, Seth Vegula, amesema kuwa kama viongozi wa chama, wameguswa sana na hali ya sasa ya kisiasa nchini, akisisitiza kuwa CHADEMA ni chama kilichosajiliwa kwa mujibu wa katiba na hivyo kina haki zote za kikatiba kufanya...
  9. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yaidhinisha bilioni 30 kukarabati barabara Ifakara – Mlimba kwenda mkoa wa Njombe

    Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa barabara muhimu za maeneo mbalimbali nchini zilizoharibiwa na mvua. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa taarifa hiyo akiwa mkoani Morogoro alikoenda kwa dharura baada ya...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nafanya biashara ya mbao za pines Njombe, na udalali wa miti

    MBAO.. Habari zenu wakuu!! Mi ni dalali na mchanaji wa mbao mkoani NJOMBE,, naomba kutangaza anayehitaji kujumua mizigo wa mbao ama kuanza biashara ya MBAO zilizokaushwa,, aina ya miti ni pines,, anaweza kunicheki kwa namba 0657765168 nipo njombe mjini.. BEI ya shambani.
  11. Crimea

    JamiiForums Tanzania Safari za mabasi kwenda mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya ni za hovyo sana

    Mtu unatoka Dar hadi Iringa hamna hotel ya maana yenye chakula cha maana shida ni nini wakuu au ni ubahili wa watu wa hii mikoa? Mbona wenzetu njia ya Kaskazini kuna hotel na vyakula vya maana, nyama choma kila mahali sie wa nyanda za juu tunafeli wapi?
  12. Wang chung

    JamiiForums Tanzania JE NAWEZA KULIMA NYANYA MKOA WA NJOMBE?

    Mimi ni kijana ambaye Nina nia ya kuwekeza kwenye kilimo Cha nyanya ila Sina elimu kuhusu nyanya vizuri. Napenda kujua je naweza kupanda nyanya mkoa wa njombe ? Na kama inawezekana ni mwezi gani naweza kupanda ? Na ni mbegu aina gani inakubali vizuri njombe ? :.Mawazo Yako ni muhimu sana
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa Siasa na Uenezi Njombe: Amjulia hali Katibu Mwenezi BAWACHA Taifa Sigrada Mligo

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe Josaya Luoga leo Machi 27, 2025 amemtembelea na kumjulia hali Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA, BAWACHA Taifa Sigrada Mligo anayepatiwa matibabu katika Hospotali ya Halmashauri ya Mji Njombe (Kibena) kutokana...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wafanyabiashara wa Makambako, tuna imani na serikali iendelee kushughulikia changamoto hususani sheria kandamizi

    Mwenyekiti wa wafanyabiashara mkoa wa Njombe na nyanda za juu kusini A Siphaeli Msigala amesema wao kama wafanyabiashara wanaipongeza serikali kwa kuweka mazingira rafiki katika kufanya biashara zao. Aidha Msigala, ameiomba serikali iendelee kushughulikia changamoto mbambali ambazo bado...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) yafuturisha watu 1500 Njombe

    Wakati mwezi wa funga ukielekea ukingoni ,Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Njombe imefutulisha watu zaidi ya 1500 wakiwemo madereva bodaboda, bajaji, wafanyabiashara ,viongozi wa dini na Serikali na kisha kutumia fursa hiyo kutoa elimu ya kodi kwa ajili ya ustawi wa nchi. Specioza...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Njombe Yajiridhia Kubadili Jina la Jimbo la Njombe Mjini kuwa Njombe Kusini

    Kamati ya ushauri ya wilaya ya njombe imeridhia mapendekezo ya kubadili jina la jimbo la uchaguzi la Njombe Mjini na kuitwa jimbo la Njombe Kusini Wakizungumza katika kikao maalumu kilichofanyika leo Mchi 22, 2025 katika ukumbi wa halmashauri ya mji na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza kukamilika kwa Ujenzi wa Bwalo la Chakula la Shule ya Sekondari ya wasichana ya Sayansi ya Njombe

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe, Mkoa wa Njombe, kukamilisha ujenzi wa bwalo la chakula la shule ya Sekondari ya wasichana ya Sayansi ya Njombe iliyopo kijiji cha Usalule mkoani humo. Waziri Majaliwa ametoa agizo hilo mara baada ya kukagua ujenzi wa...
  18. upupu255

    JamiiForums Tanzania Wananchi Njombe waomba kasi kuongezwa katika Usambazaji wa Umeme Vijijini (REA)

    WANANCHI wa Mkoa wa Njombe ambao bado hawajafikiwa na huduma ya umeme wameiomba serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme katika kaya zao ili waweze kuutumia kwa shughuli za kiuchumi na kijamii. Hayo yameelezwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yatakiwa kuwalipa fidia wananchi waliopitiwa na Miradi ya kufua Umeme ya Ruhudji na Rumakali

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kutafuta fedha za kuwalipa fidia wananchi waliopitiwa na Miradi ya kufua Umeme ya Ruhudji na Rumakali, ili wananchi hao wapishe maeneo hayo na waweze kuendelea na shughuli zao za kila siku wakati miradi hiyo ikisubiri...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Deo Mwanyika, Mbunge Njombe Mjini anasema alitumia fedha zake binafsi Milioni 400 katika miradi ya maendeleo, wanazitoa wapi hizi fedha?

    "Nikajifanyia tathmini mimi mwenywe kwamba hivi mimi Mbunge mchango wangu ni upi kwenye kuhakikisha kwamba mambo mengi yanafanyika na kwakweli nilimuambia Mke wangu nasoma hapa asisikitike maana yake hela hizi ni za familia, Njombe mumshukuru maana nayasema naye amekubali anataka tuendelee kutoa...
Back
Top Bottom