njombe

  1. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Wananchi kuchanga fedha kumaliza adha ya maji Njombe

    Wakazi wa Kijiji cha Nindi, Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, wamekubaliana kuchangishana fedha kiasi cha Shilingi Milioni 25 kwa lengo la kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama katika kijiji hicho. Baadhi ya wakazi wa Kijiji hicho, akiwemo...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Gibson Kawago: “Dongfen eπ 008 kwa umeme wa Tsh 21,000/= unatoka Dar hadi Njombe!”

    Hayo amesema Mwanzilishi wa kampuni WAGA Motion inayohihusisha na kutengeneza miundombinu ya kuchaji magari ya umeme majumbani na kwenye makampuni. Hiyo Donfen ni kampuni ya Kichina inayotengeneza magari, na hii model eπ 008 ni REEV (ina engine na battery). Juzi kati kijana alileta Tesla...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe aendelea kuhamasisha vijana kudumisha utulivu na kutoa taarifa za uhalifu

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mahamoud Banga, ameendelea kukutana na makundi ya vijana kuhamasisha utulivu na kuwataka waripoti wote wanaofanya uchochezi pamoja na wageni wanaoingia nchini kinyume cha sheria Aidha, amewaeleza vijana hao kuwa kile...
  4. L

    JamiiForums Tanzania RC wa Njombe, Antony Mtaka ni mfano wa kuigwa

    Wanabodi, Huyu ndiyo RC BORA kuliko wote kwa sasa hapa Tanzania, huyu Mheshimiwa angalau aliweza kukutana na wananchi wake pale Makambako - Mkoa wa NJOMBE na kuwapa neno la faraja wale wote waliopatwa na matatizo yaliyojitokeza MKOANI kwake na akalia machozi na wananchi wake. Nawasilisha haya...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Anthony Mtaka awatoa hofu wananchi wa mkoa wa Njombe

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amewataka wananchi wa Mkoa wa Njombe kuendelea na shughuli zao bila hofu yoyote Ameyasema hayo Novemba 6,2025 wakati akizungumza na Wafanyabiashara wa Makambako Mkoa wa Njombe na kuwataka kuendelea na shughuli zao za kiuchumi bila hofu yoyote kwani vyombo...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kilio kizito cha wananchi wa Njombe mbele ya Mkuu wa Mkoa wakiwaombea waliouawa kwa kupigwa risasi

    Mkuu wa mkoa wa njombe Anthony Mtaka ameshirikiana na wakazi wa njombe katika maombi ya pamoja kuwaombea waliofariki katika maandamano, huku akisisitiza wazazi kuwausia vijana sambamba na kuendelea kuliombea taifa libaki na Amani. Katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Makambako, Mtaka...
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makambako; Wananchi wametoa wito kwa Serikali kuacha kupuuza haki na madai ya Watanzania ili kurejesha amani na kuponya mioyo

    Wakazi wa Makambako Mkoani Njombe wametoa wito kwa Serikali kuacha kupuuza haki na madai ya watanzania ili kurejesha amani na kuponya mioyo ya watu waliopata changamoto wakati wa uchaguzi. Hayo yameelezwa wakati Wananchi hao wakitoa maoni yao leo Novemba 6, 2025, mbele ya Mkuu wa Mkoa wa...
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Vurugu zaibuka kwenye foleni ya kupata vitambulisho vya NIDA Njombe

    Kufuatia kitendo cha wananchi kupigana na wengine kuibiwa simu wakiwa kwenye foleni wakipigania kupata vitambulisho vya NIDA, Halmashauri ya mji wa Njombe imelazimika kuongeza wiki moja ya kutoa huduma wananchi ili kumaliza changamoto hiyo ambayo inapigiwa sana kelele na wananchi. Ni mratibu wa...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Njombe: Askari magereza aliyedaiwa kumuua mwenzake adaiwa kujiua kwa kujirusha kwenye gari la polisi

    Askari wa Jeshi la Magereza mkoani Njombe Erasto Mlelwa (26) amejiua kwa kujirusha kutoka kwenye gari la polisi baada ya kubainika kushiriki mauaji ya askari mwenzake wa jeshi hilo Dickraka Mwamakula (24) huko Lilondo halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma. Hayo yamebainishwa leo Septemba 21,2025...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. Samia akiwa katika Kampeni - Makambako Mkoani Njombe, Septemba 6, 2025

    https://www.youtube.com/live/ir1LWQnv3m0?si=YhzAuPVswyg_nq9Z Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Makambako Mkoani Njombe leo tarehe 06 Septemba, 2025. Wananchi waliojitokeza...
  11. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Njombe ni sawa na wanaume watano wa Kinondoni

    Mwanamke wa Njombe ni sawa na wanaume watano wa Kinondoni. Ukiongeza Anko T kama kifungashio.
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Nishati safi ya kupikia yarudisha uoto wa asili Njombe

    Bodi ya Nishita Vijijini (REB) imefurahishwa na kupongeza hatua za baadhi ya Magereza nchini kuanza kurudisha mazingira katika hali yake ya uoto wa asili baada ya magereza hayo kuacha kutumia kuni na mkaa kupikia na kuanza kutumia nishati safi ya kupikia. Pongezi hizo zimetolewa leo Agosti 21...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polisi Njombe Wafafanua Tukio la Kijana Kushambuliwa kwa Tuhuma za Wizi wa Parachichi

    Polisi Mkoa wa Njombe imetoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha kijana mmoja aliefahamika kwa jina la Ackrey Philipo Ngole(26) Mkazi wa mtaa wa Maheve akishambuliwa na kundi la watu kwa fimbo na magongo Agosti tisa mwaka huu, akihusishwa kuiba...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Njombe kumekucha wajumbe wapo tayari kwa uchaguzi

    Wajumbe na mabalozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Njombe Mjini wakiwa tayari kwa ajili ya kupiga kura za maoni kuchagua diwani wa Kata ya Njombe Mjini na Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini. Leo Jumatatu Agosti 4, 2025 wajumbe wa CCM wanapiga kura za maoni kuwachagua wabunge na madiwani...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe UWT CCM Mkoa wa Njombe Kupiga kura za maoni Uchaguzi Wabunge Viti Maalum

    Wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa Umoja wa Wanawake (UWT) Mkoa wa Njombe wakiwa kwenye Ukumbi wa Agreement uliopo halmashauri ya mji wa Njombe kwa ajili ya kupiga kura za maoni katika uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu Mkoa wa Njombe Chanzo: Mwananch_official
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa

    Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa na Serikali kwa gharama ya Dola za Marekani 15.7. Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amefanya ziara ya kukagua mradi huo ambao ni moja wapo...
  17. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Njombe: Shilingi Bilioni 19.6 kutumika mradi wa Kuboresha Ubora wa elimu ya sekondari

    Serikali imetoa shilingi Bilioni 19.6 kwa ajili ya Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari SEQUIP mkoani Njombe. Kati ya fedha hizo jumla ya Shilingi Bilioni 4.360 zimetolewa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali ikiwemo majengo ya madarasa, maabara, mabweni, bwalo la chakula...
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Billioni 19.6 imetolewa kuboresha Miradi ya Elimu Njombe

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi Bilioni 19.6 kwa ajili ya Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari SEQUIP mkoani Njombe Kati ya fedha hizo jumla ya Shilingi Bilioni 4.360 zimetolewa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali...
  19. R

    JamiiForums Tanzania DC Makete atoa onyo kwa wananchi kuacha wivu wa Misitu. Asema hasara imefikia Bilioni 80 ndani ya miaka minne

    Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Kasongwa ameagiza wakazi wa wilaya hiyo kuchukua tahadhari dhidi ya moto unaoteketeza misitu na kupoteza fedha nyingi kila mwaka hali inayopelekea kurudisha nyuma uchumi wa wanaMakete DC Kissa ameeleza hayo wakati akizungumza na wakazi wa Bulongwa...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Deo Mwanyika: Nitagombea kwasababu Wananjombe bado wananitaka na nina uhakika, nitawatumikia mpaka wao watakaposema tumekuchoka

    "Mimi niliwaahidi Wananjombe kuwa nitawatumikia mpaka wao watakaposema tumekuchoka, Sasa Wananjombe wenyewe wanasema tunakuhitaji kwahiyo nitagombea (tena) kwa ajili ya Wananjombe kwanza, Mimi sigombei kwa ajili yangu, kwanza kwa ajili yao; na Mimi nitagombea kwasababu Wananjombe bado wananitaka...
Back
Top Bottom