njombe

  1. TANZIA Njombe: Anthony Mwandulami Afariki Dunia. Alijijengea kaburi la mamilioni ya shilingi

    Dokta Anthony Mwandulami mganga maarufu kutoka Kijiji Cha Itunduma kitongoji Cha wangama Kata ya Mtwango mkoani Njombe Afariki Dunia usiku wa Jana jijini Dar es Salaam. Mganga huyo aliyejipatia umaarufu nchini baada ya kujijengea kaburi lake la mamilion ya fedha ambalo alisema atazikwa yeye na...
  2. 7 New Form Four And Above Government Jobs At TANROADS (NJOMBE), June 2021- (Various Posts)

    JOB VACANCIES Click below to download PDF FILE:
  3. Umoja ni Nguvu: Ujenzi wa ofisi ya CHADEMA Mkoa wa Njombe wafikia pazuri

    Pamoja na njama zote za kuhujumu Chama hiki lakini bado wananchi wamepeleka Matumaini yao kwa Chadema, wanaendelea kukichangia ili kukamilisha kujenga ofisi zake nchi nzima. Hili Jengo unaloliona hapo ni ofisi iliyokaribia kwisha ambayo ikikamilika itakuwa ofisi ya Chadema Mkoa wa Njombe...
  4. Njombe: Mwanafunzi wa miaka 9 afariki wakati akicheza mchezo wa kujinyonga na wadogo zake

    Mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Ikelu iliyopo Makambako mkoani Njombe, Claud Florence (9) amefariki dunia baada ya kujinyonga akiwa anacheza na wenzake. Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe, Hamisi Issah amesema mwanafunzi huyo alikwenda shambani na wazazi wake na wadogo zake watatu...
  5. M

    Kilimo cha parachichi Rungwe(Tukuyu) vs Njombe

    Nataka nifanye kilimo cha parachichi, nimeambiwa zinalimwa Njombe na mkoani Mbeya has a wilaya ya Rungwe, swali langu ni wapi rahisi kupata shamba kati ya sehemu hizo, changamoto za maeneo hayo ni zipi na wapi soko ni zuri kati ya maeneo hayo.
  6. Mwenyekiti wa Bavicha Njombe, Goerge Sanga yuko Mahabusu kwa miezi mitano sasa kutokana na visasi vya uchaguzi

    Huyu kijana aliponzwa na ndoto yake ya kugombea Udiwani , kosa lake hilo la kutumia haki yake ya kikatiba la kugombea udiwani limemsababishia kutengenezewa kesi ya Mauaji , ambapo baada ya kukamatwa kama maagizo yalivyoelekeza mgombea udiwani wa ccm kwa kasi ya radi akashinda bila ya kupingwa ...
  7. M

    Wananchi wilayani Ludewa mkoani Njombe walalamikia ubovu wa mradi wa umeme madope hydro power

    Wananchi wa Kata sita zinazopitiwa na Mradi wa Umeme wa Madope Hydro uliojengwa kwenye Kata ya Lugarawa Wilayani Ludewa Mkoa wa Njombe wameulalamikia mradi huo kwa kushindwa kuwasaidia tangu uanzishwe mwaka 2016. Baadhi yao akiwemo Bw, Bosco Mgina na Sabinus Haule wakazi wa Kijiji na Kta ya...
  8. B

    Njombe nako kama Dar kunaeleweka

    Mabibi na mabwana ilikuwa Dar sasa wanawake na wanaume wa huko Njombe nao wameona isiwe taabu: Kwa mabarakoa hayo bila shaka hizo siyo jitihada ya kujikinga dhidi ya TB mikutanoni. Pana watu kwenye mamlaka ambao kwa hakika wasipo angalia watambue kuwa si muda mrefu umebakia watapwelewa...
  9. H

    Natafuta mashamba kwa ajili ya kilimo katika mikoa ya Mbeya, Njombe na Songwe

    Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya; nimeona bora nianze kujikita kwenye swala la kilimo kabla ubongo wangu hujagundua suala la ajira sio kitu cha kukitegemea. Hivyo napata shida kidogo kupata au kujua wapi naweza pata mashamba ya kununua kwa bei ya chini kutokana...
  10. Msaada: Kama unafahamu mkoa wa Njombe kiundani

    Habari wajumbe natumaini nii wazima wa afya. Nikienda kwenye mada moja kwa moja nilikuwa napenda kuuliza kuhusu mkoa wa Njombe maana mimi sijawahi kufika wala kupawaa ila kwa siku ya leo nimepokea simu na swali nikaitikia sema nikashindwa toa jibu. MASWALI YENYEWE NI: 1. Kweli Njombe ina ardhi...
  11. B

    Mtandao wa wizi wa magari wanaswa Njombe

    Jeshi la polisi mkoani Njombe linawashikilia watu watano wanaodaiwa kuhusika na mtandao wa wizi wa magari nchini ambao wamekutwa na magari Saba yanayosadikiwa kuibwa katika mikoa ya Dar es salaam, Mbeya na Singida. Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Njombe, – Hamis Issah amesema wezi hao wamekuwa...
  12. F

    Magari sita ya wizi yakamatwa Njombe

    Mkuu wa polisi Njombe Hamis Issah amewaza kukamata watuhumiwa wizi wa magari pamoja na magari sita ya wizi. Kukamatwa kwa majambazi hayo ilitokana kwa kufuatilia gari moja ambalo liliibiwa Njombe na kupeleka kupatikana kwa hayo magari mengine 6. Pongezi kwa jeshi la polisi.
  13. Serikali yaanza mchakato wa ujenzi wa Mradi Mkubwa wa Umeme Mto Ruhudji Njombe

    Timu ya Watalaamu wa Serikali imefika na kufanya ukaguzi wa kwanza katika maporomoko ya mto Ruhudji katika kijiji cha Itipula mkoani Njombe ambao unatarajiwa kujengwa mradi mkubwa wa umeme utakaozalisha megawats 358 za umeme. Mradi huo ambao utajengwa katika kipindi cha miezi 36 unaotarajiwa...
  14. Njombe: Shule 28 zapewa taulo za kike. Wasimamizi wapewa onyo kuhusu ubadhilifu

    Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri ameonya na kuwatahadharisha wasimamizi wa wanafunzi watakaothubutu kuchepusha na kuingiza sokoni taulo za kike zilizokabidhiwa kwa shule 28 za sekondari Mjini Njombe kwa ajili ya matumizi ya wasichana waliopevuka. Msafiri ametoa onyo hilo leo Januari 7...
  15. N

    HALI TETE KWENYE DANSI: Ali Choki abururudisha watu 10 huko Njombe

    Daha maskini ya Mungu, ndugu zangu wana dansi unajua hata bongo fleva na bongo movie hawapendani tena huwa wanalogana kabisa lakini wakiwa na shida fulani au wakiona hatari inawakabili huwa wanakuwa kitu kimoja na nyinyi fanyeni hivyo maana kinawachotokea sasa ni aibu jameni. Week hii Twanga...
  16. D

    Iringa na Njombe ilivyoshambuliwa na chawa

    Kwa ambao hamjui chawa nawasihi mtembelee vijiji vya Iringa mjionee! Kutokana na jiografia ya ubaridi, wadudu hawa wamekita kambi mkoa huu! Inahitajika tahadhari kubwa sana kukwepa chawa uwapo mkoa huu. Hoteli na lodge nyingi wanatumia mablanket mazito ambayo siyo rahisi kufuliwa Mara kwa Mara...
  17. Njombe: Mfungwa apora Bunduki kwa Askari na kumpiga kaka yake kwa kushindwa kumtoa Gerezani na kuuza mashamba ya familia

    Kijana, Isaack Kawogo(24) aliyempora Askari magereza silaha aina ya SMG Usigani mkoani Iringa ameuawa kwa kupigwa risasi na Polisi baada ya kumjeruhi kaka yake, Andres Kawogo(61) akimtuhumu kuuza mashamba na kushindwa kumtoa gerezani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamis Issah amesema tukio...
  18. Story: Safari ya kutafuta mali za Mjerumani katika msitu wa Nyumbanitu - Njombe

    DISCLAIMER: Nianze kwa kusema hii story sio ya kwangu, ni ya member Mbwichichi ambae amesimulia hii story ndani ya story πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ https://www.jamiiforums.com/threads/tukio-la-kusisimua-nililolishuhudia-kwa-macho-yangu-katika-msitu-wa-nairoto.1808580/ Hivyo nimeona nisaidie kuweka hapa iwe...
  19. GE2020 Njombe: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Njombe. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Njombe una jumla ya majimbo ya uchaguzi 6 ambayo ni: Lupembe: SWALLE EDWIN ENOSY - Amepita bila...
  20. D

    GE2020 Kiongozi wa CCM Njombe amnadi mgombea udiwani wa CHADEMA waziwazi mbele ya umati

    Haijawahi kutokea
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…