HAKIKISHA una PASSPORT
Kama huna sema uelekezwe kwa kuipata
Niaje wakuu
Lengo la group letu ni kupeana taarifa na mbinu pia scholarship na fursa zote zitazakazotupeleka NJE YA AFRICA.
GROUP hili linahusu kutafuta SCHOLARSHIPS ikiwa lengo sio kwenda kusoma but lengo ni kukwea pipa
Ila kwa...
Kama wewe uko ndani ya CCM na unategemea kupata vyeo au kuwa mkubwa huko mbeleni eti kwa kuwasifia Viongozi wako na kuwatukana Viongozi wa upinzani,basi sahau,maana utakuwa kama Lucas Mwamshamba,
Njia rahisi wewe nenda upinzani,hasa Chama Cha Chadema,vumilia kule hata miaka mitano halafu anzisha...
Kama mnasema hamtagomea uchaguzi wakati huohuo mnasema bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
Je utafiti umefanyika wa kutisha KUWA mbinu zenu zitasaidia mabadiliko ambayo yatasababisha uchaguzi huru na haki.
Je utafiti umethibitisha kama reform isipofanyika mnauwezo wa kuzuia uchaguzi usifanyike...
kama muislamu au mkristo ukifika eneo lako la ibada ukitangaza kuwa unataka kuoa au kuolewa watajitokeza wengi na utafanya kuchagua.
Kama unaangaishwa nenda kijijini kwenu huko kuna watu wapo tayari kuoa au kuolewa wakisubiri.
Kwenye maharusi,misibani na sheree za ccm mnaweza kuwapata kibao...
Mafanikio usafirishaji umeme; Ongezeko la urefu wa njia kuu za kusafirisha umeme
Mwaka 2021 (Machi) Kilomita 6423.53
Mwaka 2025 (Februari) Kilomita 8141.38
Ongezeko la Kilomita 1717.85. Sawa na ongezeko la asilimia 27
Habari ndugu zangu wa JF natumaini mnaendelea vyema kabisa hasa kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani kwa ndugu zetu waislamu na Kwaresma kwa ndugu zetu wakristo wakatoliki.
Leo nataka kuendelea na uzi wetu unaohusu Binance payment methods ambapo kwa uzi uliopita tuliangalia njia nne unazoweza...
Lissu amesema watatumia njia mbalimbali kuzuia uchaguzi, ameeleza pia no reform no election maana yake siyo kususia uchaguzi.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
You know when conducting research and you reach the stage of data collection, as a researcher, unakuwa na uwanja mpana wa kuamua njia ipi utumie. Should you go for primary data, secondary data, or both?
Okay may be let me break them down ili tuelewane kidogo, the moment I say primary data hapa...
Nauza viwanja vipo 4 vipo kigamboni njia ya kuingia Fun city nyuma ya kituo cha Njano kila kimoja kina sqm 500 kila kiwanja kinaanzia Tshs,28ML kama upo intrested njoo tuyajenge piga hii no 0743921019
Nyakati hizi kuna watu wengi wanaoitwa manabii. Nabii ni mtu anayepokea ufunuo au maono kutoka kwa Mungu na kuyatangaza kwa watu. Kwa maneno mengine Nabii ni mtu anayeongea kwa niaba ya Mungu. Je, kila anayejiita Nabii ni nabii wa kweli? Biblia inatufundisha kwamba siku za mwisho, manabii wengi...
Kila ninapochemsha mayai 10 at least mawili au matatu huwa nakuta yamevunjika na yameingia maji. Wataalam naomba mnijuze sababu ni ipi inayofanya yavunjike na pia nitumie mbinu ipi ili kuepuka yasivunjike. Nawasili
Utangulizi
Canva ni zana yenye nguvu sana kwa wale wanaopenda ubunifu. Ukiwa na kipaji cha kubuni, unaweza kutumia Canva kama chanzo cha mapato. Iwe unatafuta biashara ya pembeni au njia ya kutengeneza pesa kamili, Canva inakupa fursa nyingi. Hapa chini kuna njia tano unazoweza kutumia Canva...
Mahakama ya Tanzania imekabidhi makasha 10 ya kisasa ya Mahakama Mtandao kwa Jeshi la Magereza, yatakayowezesha usikilizaji wa mashauri kwa njia ya mtandao ili kusaidia utoaji haki kwa wakati, kupunguza msongamano wa wahalifu magerezani pamoja na kupunguza gharama za usafirishaji wa wafungwa na...
Wakuu nifanye nini nipunguze hisia za kufanya tendo la ndoa? Naona zimenizidia na mwenza wangu yupo mbali sitaki kufanya usaliti.
Njia gani ambazo hazina madhara zitanisaidia kupunguza wakuu?
Kuna mda serikali iliyopo madarakani tuna wapima uwezo wenu kwa kuwa changamoto kwenu zipo kisiasa.
Leo ni ajabu msululu wa magari ya kubebea mizigo,magari yanayo kwenda mikoani na nje ya nchi kujazana kwenye barabara inayotokea dar.
Kungekuwa na bandari kavu ambazo mzigo ukitoka bandarini ni...
Tajiri huwa haongei sana.
inajulikana masikini wana hasira za haraka mno, nahofia nisije kutumia njia ya kawaida tu kumwambia huyu mtu nikashangaa ananipiga kabali. Na vile masikini walivyo na nguvu anaweza kuniuwa.
Ajali imetokea maeneo ya Kisumo( katikati ya Gongo la mboto na Pugu)
Daladala( minibus) la Chanika to Machinga Complex laacha njia ( inasemekana lilikuwa linatanua) na kugongana uso kwa uso na gari ndogo ambayo ilikuwa imepaki pembeni ya barabara na ambalo ndani yake alikuwemo askari mwenye...