njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Njia za uzazi wa mpango

    Nauliza eti hizi njia za uzazi wa mpango kuna baadhi ya wanawake zinawaathiri wasiwe na hamu ya kufanya mapenzi au anatumia sababu hiyo kuninyima mbususu
  2. JamiiForums Tanzania Samia au mtoto kwa kikwete walikuwa wana nafasi nzuri ya kushinda uraisi kwa haki sio kwa njia hii wanayoitumia

    Katika uhalisia samia alianza vizuri na alikuwa na njia zote za kujenga akubalike kama raisi ambapo hata tungeweka tume huru angeshinda lakini amefanya makosa na amechagua njia mbaya inayomchafua kwenye sura za nchi na za kimataifa njia mbaya sana. Mtoto wa raisi mstaafu kikwete pia alikuwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia kapunguza safari za nje au ni mimi tu?

    Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje? Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu. Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu. Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli. Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani. Sasa...
  4. JamiiForums Tanzania Njia 5 za Kujenga Kujiamini kwa Mtoto Wako

    Kujiamini ni sifa muhimu ya kumsaidia mtoto kufanikiwa katika maisha. Kama mzazi, unachukua jukumu muhimu katika kujenga msingi imara wa kujiamini kwa mtoto wako. Hizi hapa ni mbinu tano za kumsaidia mtoto wako ajiamini zaidi. 1. Msifie kwa Juhudi, Sio kwa Vipaji Badala ya kumsifia tu kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Njia 6 mwanaume kuondokana na umaskiniii

    Cc D2 SIX (6) WAYS MEN CAN ESCAPE POVERTY. 1. Get the right woman. Forget the slay queens and women with looks but zero brains. Get a woman who will not only support your vision but will also push you to achieve more. A woman who will inspire you to work hard and not a woman who just makes...
  6. JamiiForums Tanzania Kikwete aliwahi kusema kuwa wana Ccm hawaachiani maji ya kunywa, kwahiyo kama Kuna watu hamkuelewa mtaelewa kwa njia ngumu

    Wana Ccm hawaachiani maji , kauli hii aliitoa kikwete .
  7. JamiiForums Tanzania Natoa huduma za uhasibu na usimamizi wa fedha kwa njia ya freelance

    Habari wanajamii, Naitwa Adam Ramadhani Waziri, mtaalamu wa masuala ya Uhasibu na Fedha mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 4 katika sekta mbalimbali. Kwa sasa, nipo tayari kushirikiana na kampuni yoyote (ndani ya Dar es Salaam au mikoani) kama freelancer/part-time accountant, kulingana na mahitaji...
  8. JamiiForums Tanzania Karma ni moja ya njia ya masikini kujifariji

    Karma ni stori tunayojiambia ili kuyapunguza maumivu ya maisha, lakini kweli kabisa, maisha ni kama roulette—sometimes unashinda, sometimes unapoteza, na mara nyingi inategemea tu uko kwenye angle gani. Anayewaonea atakufa, ataacha mali aliowachukulia kwa utapeli na itakayorithiwa na watoto...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Goli la kibabe la Shomari Kapombe limesafisha njia nyeupe kwa Timu yetu ya Taifa kuelekea nusu fainali na hatimaye tutashinda.

    Hakika timu yetu imeendelea kujituma kwa bidii kupigania kombe la chan. Jana dakika za majeruhi Shomari Kapombe alipoga goli la kibabe na kuizamisha Maurtania. Pongezi kwa timu yetu....iendelee hivyohivyo. Wacheze kwa bidii na kujituma, ila waepuke makosa madogomadogo. Bila kumsahau Rais wetu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kama CCM hatutamwaga oil mkashupaza shingo, tutatumia njia y dharura kama ile ya kushusha maboya kama ya hatari kwenye Ndege

    Code, maboya ya ndege hayo ni yapi ambayo yatashushwa na kukoa CCM na Tanzania OIL isipomwagwa
  11. JamiiForums Tanzania Ni njia gani unapenda kuonyeshwa upendo

    -Maneno matamu -Matendo -Zawadi -Muda wa pamoja -Kuguswa
  12. JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Barabara ya Njia Nne Mwanza

    SERIKALI KUJENGA BARABARA YA NJIA NNE MWANZA. Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imejipanga kikamilifu kuleta mapinduzi ya miundombinu katika Jiji la Mwanza kupitia ujenzi wa barabara ya njia nne kuanzia Mwanza Mjini hadi Usagara pamoja na njia ya mabasi ya mwendokasi, hatua...
  13. JamiiForums Tanzania Kesi ya Dr Malisa Vs CCM isikilizwe kwa njia ya mtandao pia

    Nashauri kesi hii kubwa nayo isikilizwe kwa njia ya mtandao. Pia ikibidi CCM isitishiwe ruzuku na izuiwe kufanya shughuli zake hadi kesi ya msingi iishe ili Mgombea anayelalamikiwa asije akavuruga ushahidi
  14. JamiiForums Tanzania Mazungumzo ni njia pekee ya kutatua mgogoro wa kibiashara kati ya China na Marekani

    China na Marekani hivi karibuni zilifanya duru mpya ya mazungumzo ya kiuchumi na kibiashara huko Stockholm, nchini Sweden, ambapo pande hizo mbili zilibadilishana maoni kwa kina kuhusu masuala ya kiuchumi na kibiashara. Pande hizo zilifikia makubaliano kwamba, Marekani itaendelea kusimamisha...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa waliojisajili NHIF kwa njia ya mtandao

    Kipengele cha membership number kinahitaji uingize tarakimu 9 wakati huo kwenye kadi kuna tarakimu 12. Hii inakuaje au kuna mahali mimi nakosea? Msaada tafadhali
  16. JamiiForums Tanzania Njia za kumtambua mwanaume ambae hataki kuwa mwanaume

    Ndugu zangu watanzania, Poleni na majukumu mnayo endelea nayo kwa siku hii ya Leo na asubuhi hii napenda kuwasalimu kwa slogan ya kama hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi Leo nimekuja na mada tofauti kidogo na nje ya siasa lakini MAISHA yetu ya Kila siku ni siasa kwahiyo hata jambo hili...
  17. JamiiForums Tanzania Njia ipi bora ya kununua viwanja -Arusha?

    Ndugu zangu habari. Kwa wazoefu naombeni mtujuze ni ipi njia bora ya kununua viwanja katika mkoa wa Arusha kati ya zifuatazo. 1: Manispaa / ofisi za ardhi 2: Kwa mtu binafsi 3: madalali au makampuni yanayojihusisha na kuuza viwanja. Asanteni
  18. JamiiForums Tanzania LATRA yatangaza njia mpya za Daladala ikiwemo ya kupitia Makongo Juu

    Siku chache baada ya Mwananchi kutoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kuhusu njia ya Makongo Juu kuwa na uhaba wa Daladala mamlaka hiyo imetoa mwongozo ukiwataka Wadau kujitokeza kuongeza huduma ya usafiri katika njia hiyo. Taarifa ya LATRA imeeleza "Katika hatua ya...
  19. JamiiForums Tanzania UTAPELI: njia za kuingiza kipato Kwa kuangalia video tiktok,YouTube na kulipwa!

    Salamu wakuu! Picha linaanza unafatwa kwenye comment labda umechangia mada flani TikTok Kuna Fursa ya kujiingizia kipato Kwa siku kama itakupendeza niandikie neno nifundishe wanaweka na namba ya kumcheki, Sasa ikishamcheki direct atakutumia video nyingi za kukuonesha watu wanavyo ingiza...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Million 8 nifanye biashara ya nafaka kwa njia ipi? Njia ninayowaza ni hii

    Wakuu, nipo Kigoma town, changamoto iliyopo hapa ni purchasing power ni ndogo, watu ni wachache kwahiyo mzunguko sio mzuri sana, Mimi ni mtumishi wa umma. Idea nilikua nayo kama 3. 1.phone accecories Huku charge wanauza 8000, protector 5000, n.k bei zipo juu kweli kweli, niliwaza kufanya hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…