njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njia ya Kurejesha Amani na Utulivu Baada ya Matukio ya tarehe 29–31 Oktoba 2025

    Tukio la mauaji na machafuko yaliyotokea nchini Tanzania tarehe 29–31 Oktoba 2025 limeacha jeraha kubwa katika taifa. Wananchi wengi wamepoteza imani, wengine wamepoteza ndugu, na nchi imeingia katika sintofahamu ya kisiasa na kijamii. Katika mazingira kama haya, kuendelea mbele kama kawaida...
  2. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 "Kufreeze" kwa Vyombo vya Sauti za Umma: Hatari Iliyofichika Kwenye Njia Mbadala za Wananchi

    Hali hii imeonekana kwa uwazi nchini Tanzania katika miaka ya karibuni, ambapo baadhi ya vyombo ambavyo kiasili na kisheria vinavyopaswa kuwa mabega ya wananchi kama vile Bunge na vyombo vya habari vimeshindwa kuendeleza wajibu wao ipasavyo. Matokeo ya hali hiyo ni pamoja na kuziba kwa mianya...
  3. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Njia liyotumika kudhibiti panya road nchini hiyohiyo itumike kudhibiti maandamano

    Wote tumeona Sasa panya road wanakuja kwa njia ya maandamano tunaomba wadhitiwe vikali haiwezekani mtu uishi kwa kuiba na kuharibu Mali za watu ambazo wamezipata kwa jasho Kali na Mali za nchi yetu wakati nguvu unayo. So mbinu iliyotumika kudhibiti panya road hyohyo itumike kudhibiti maandamano.
  4. M

    JamiiForums Tanzania SADC yaitaka Serikali ya Tanzania kutafuta suluhisho la kumaliza kadhia inayoendelea kwa njia ya amani

  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais anachaguliwa na sio anajichagua yeye mwenyewe kinyume na Katiba. Jeshi kumpigia saluti ni uasi, yeye sio Rais wetu

    Rais anachaguliwa na sio anajichagua yeye mwenyewe kwa njia za kinyume na katiba jeshi kumpigia saluti ni uasi yeye sio rais wetu ni muhaini.
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Day 3: Tunaelekea Ikulu. Jamani njooni, njia ni nyeupe na tupo wa kutosha hakuna wa kutuzuia. Chakula kitakuwepo

    Mlio dar maelfu ya wananchi wanaelekea kuchukua Ikulu yao jitokezeni kwa wingi tuchukue nyumba yetu kwa mafisadi.
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwanini maandamano imekuwa njia mbadala ya kuondoa tawala za kifisadi kuliko mtutu wa bunduki?

    Dunia nzima sasa hivi, watawala mafisadi wanaondolewa na maandano ya wananchi. Ni kweli kuwa kuwa mamlaka ya kutawala yanatoka kwa wananchi. Lakini kwa nini watawala mafisadi duniani kote wanaogopa kuondolewa madarakani kwa maandamano ya wananchi waliochoka kuibiwa mali za umma kama huko Nepal!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Heche kufuata njia ya Mdude na Polepole

    Ikifika kesho Heche hajapatikana, atapotezwa na kusahaulika kama ilivyotokea kwa Mdude na Polepole. Mafwele kapewa maagizo mazito sana . Hutaki acha, sitoi codes.
  9. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Tukasema ile njia hatupiti tena

    Naam mie ni muumini wa mambo ya kuipa nafsi raha kimwili na kiroho, Hapa na pale nikaenda kunako kijiji fedenge kumtembelea mchizi wangu wa kitambo toka shule ya Msingi, Huyu msela wangu naye ni muumini wa pombe za nafaka,,,basi mdogo mdogo tukawa tunaelekea kunako eneo la tukio. Tukaona...
  10. miminimama

    JamiiForums Tanzania Msaada wa malipo kwa njia ya mtandao(Nimekatwa hela huduma sijapata na hela haijarudi)

    Habari wanajukwaa. Mnamo mwanzoni mwa September mwaka huu nilitengeneza kadi ya malipo ya mtandaoni(master card) kwa kutumia akaunti ya mix by yas. Kadi ile ilikuwa kwa ajili ya malipo ya ticket ya ndege kupitia kampuni ya uwakala ya ndege. Baada ya kutengeneza hiyo kadi nikafanya malipo, hela...
  11. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba hajui namna ya kuwaambia kakosea njia? au kuna mtu anamzuia kuwaambia kuwa kapotea njia?

  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hata wakizima Mtandao tutawasiliana. Jinsi ya Kuwasiliana kwa Bluetooth, Kwa njia ya Mesh Network

    Tuna faida kubwa kuliko wakati wowote—ambayo ni mabadiliko ya teknolojia. Maandamano yatafanyika, hata wakizima mtandao au kuzuia SMS, bado tunaweza kujipanga na kutumiana ujumbe bila intaneti, bila Wi-Fi, bila SIM card. Leo nataka tujikite kwenye ujumbe wa nje ya mtandao (offline messaging)...
  13. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Njia ya hamza ndo njia inayoeleweka kirahisi

    Mchana mwema Oktoba tunatiki
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hili jengo pembeni ya ubalozi wa uturuki njia ya Coco beach ni la nini/Nani?

    Kwa sasa mafundi wanalipiga lipu nje ukutani limenivutia Sana Ila sijapata nafasi kusoma kibao kujua client ni Nani? Msaada wajuzi wa mambo ni ubalozi, apartment, msikiti, au nyumba ya mtu.
  15. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Miamala ya fedha za kigeni Tanzania kwa njia ya Kadi za simu (Foreign Exchange Mobile Transaction)

    Habari Tanzania ! Naomba kuwapa changamoto Bank of Tanzania (BOT), Commercial Banks; Taasisi zote ndogo za fedha na Mitandao ya simu inayofanya miamala ya kifedha nchini. Kwanini pasiwepo na huduma ya kufanya miamala ya fedha za kigeni kwa njia ya mtandao ya simu, ili iwe fursa kwa Mtu au...
  16. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Anaepajua jaribu, njia ya kwenda kusini

    Naulizia kwenda hiyo sehemu ni lazima kupanda magari ya mkoani yanayoenda Mikoa ya kusini au kuna daladala au magari madogo yanayoenda huko?
  17. N

    JamiiForums Tanzania Habari njema, je wajua unaweza kumiliki Tv yako au Redio yako kwa njia ya mtandaoni ?

    Habari wakuu, Katika zama hizi za maendeleo ya teknolojia ya kidijitali, umiliki wa televisheni na redio hauhitaji tena njia za kizamani kama vile kuwa na mitambo mikubwa, studio za gharama kubwa, au leseni ngumu za urushaji. Sasa, mtu yeyote anaweza kumiliki televisheni au redio ya mtandaoni...
  18. Think2

    JamiiForums Tanzania Eti kuchambua sentensi kwa njia ya matawi ikupe hivi vitu sahau

    Three suitors one husband Atino Things fall apart Hawa the bus drive Mabala the farm Ngoswe penzi kitovu cha uzembe Hayo yote hayawezi kukupa vitu hii Roll royce Aston martin hapa ata uajiriwe mpaka unakupa huwezi pata vitu kama hivi Bugatti
  19. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rostam Azizi anaitumia mbinu Gani kati ya hizi mbili Ili awe Tajiri? ZINGATIA hizi ndo njia mbili kuu za kuwa Tajiri, nje hizo wewe ni kapuku.

    1. Kuibia wananchi uku UKIWA unalindwa na serikali. Mfano kununua ges kwa 2000, kuja kuuza 55000 mpaka 60,000, uku serikali ikiipiga vita matumizi mikaa na kuni zilizotumiwa baba,Babu zako kwa kuleta kampeni ya matumizi ya nisshati safi, uku mitungi ikisambazwa bule kwa bibi na mamako...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kuna njia mbili za kupata Leseni ya biashara

    Technology Ina move haraka sana, kwahiyo na baadhi ya services za serikali zinafata mkondo. Kuna njia mbili za kupata Leseni ya biashara as of today; 1. Kwenye halmashauri Unaweza kwenda halmashauri wewe mwenyewe ukaomba leseni. Disadvantage ni kukaa kwenye foleni, au kusimama muda mrefu bila...
Back
Top Bottom