nje

Nje (Њ њ; italics: Њ њ) is a letter of the Cyrillic script.
It is a ligature of the Cyrillic letters En ⟨н⟩ and Soft Sign ⟨ь⟩. It was invented by Vuk Stefanović Karadžić for use in his 1818 dictionary, replacing the earlier digraph ⟨нь⟩. It corresponds to the digraph ⟨nj⟩ in Gaj's Latin alphabet for Serbo-Croatian.It is today used in Macedonian, variants of Serbo-Croatian when written in Cyrillic (Bosnian, Montenegrin, and Serbian), Itelmen and Udege, where it represents a palatal nasal /ɲ/, similar to the ⟨ny⟩ in "canyon" (cf. Polish ⟨ń⟩, Czech and Slovak ⟨ň⟩, Galician and Spanish ⟨ñ⟩, Occitan, Portuguese and Vietnamese ⟨nh⟩, Catalan and Hungarian ⟨ny⟩, and Italian and French ⟨gn⟩).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje: Wawekezaji na Wafanyabiashara sasa wanarudi, foleni Wizarani ni kubwa

    Namsikiliza mama Waziri hapa anasema kuwa hali ilikuwa mbaya ila Wawekezaji wanarudi kwa kasi, foleni za Wafanyabiashara kutoka nje zimekuwa kubwa, na baadhi ya mabalozi wakiri kurahisishiwa kazi na mtindo wa Samia alioanza nao kwani kabla kujitetea kulikuwa ni kwingi mno. SOURCE TBC 1 SIKU...
  2. JamiiForums Tanzania Anachoongea Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania-Mulamula

    Huyu Waziri anaongea live now Channel Ten, yaani anachoongea sikutegemea kuongelewa na Waziri anaongea kama BAVICHA purely. Anaponda sana awamu iliyopita sijui ilikua inakwepa mataifa mengine sijui ilikua na matatizo na EU mpaka Mabunge yao yakawa yanaongeleka. Yaani full kumponda marehemu...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini kusafirsha mwili au maiti toka nchi za nje Ni gharama kubwa sana

    Wadau ebu leo tujadili ili kwanini kusafirisha maiti ni gharama kubwa mno kuliko kusafiri mtu ukiwa mzima na ikiwa maiti inakuja tu kama cargo na mtu unakaa ata vip lakini uwezi kuwa na gharama za maiti yaani nabaki najiuliza sipati jibu.
  4. JamiiForums Tanzania Unapotaka kuagiza gari au chochote nje ya nchi, usikurupuke..

    Habari za wikiendi pevu wadau wa JF, Kutokana na uzoefu wetu, tumeshuhudia watu wengi wakipata hasara pale wanapoagiza bidhaa nje ya nchi kutokana na sababu mbalimbali. Ni kweli kuagiza kutoka nje ni nafuu kuliko kununua hapa nchini, lakini ni lazima kuwa mwangalifu kuepuka kupata hasara na...
  5. JamiiForums Tanzania INAKUWAJE: Umekuwa Mbunge, umesoma nje ya nchi, umefanya kazi Obama foundation lakini bado unavizia teuzi za uDC, uRAS ?

    Kiukweli serikali iheshimu sekta binafsi. Kujiajiri kwa mafanikio ni kipaji cha kipekee sana. Hivi inawezekana vipi Joshua Nassari kutumia pesa za ubunge kwenda kusoma nje, lakini unarudi kutafuta teuzi ??? Lijualikali alikuwa anatafuta teuzi mpaka analia licha ya kuwa na mshahara, posho na...
  6. JamiiForums Tanzania Ni lini vyuo vyetu vya elimu ya juu vitakua chanzo cha mapato kwa Taifa kwa kusajili wanafunzi nje ya Tanzania?

    Kumekua na ongezeko kubwa la vyuo vya elimu ya juu, tofauti na idadi tuliyokuwa nayo mpaka miaka ya 90. Licha ya elimu nje ya bara la Afrika, kuna waliobahatika kupata elimu ya juu katika nchi za Afrika hususan Makerere Uganda, Kenyata Kenya, Afrika ya Kusini, Nigeria, Misri, Botswana. Hizi...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kati ya kununua gari hapa Tanzania na kuagiza kutoka nje ni njia ipi bora?

    Wanabodi habari, Kwa heshima zote naomba kujua ipi ni njia nafuu ya kupata gari bora kati ya kununua hapa bongo au kuagiza nje ya nchi maana natarijia kununua gari hivi karibuni. Naomba ufafanuzi tafadhali.
  8. JamiiForums Tanzania Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

    TUliwaambia huko nyuma, huyu Chalamila ni hafai
  9. JamiiForums Tanzania WAFUGAJI wa mazao ya baharini wametakiwa kujikita katika kilimo cha majongoo ya pwani ambacho mahitaji yake ni makubwa katika soko la nje la kimataifa

    Hayo yalisemwa na Waziri wa Uchumi wa Bluu na Uvuvi, Abdalla Hussein Kombo, wakati akiwasilisha makadirio, mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2021-2022 katika kikao cha Baraza la Wawakilishi. Alisema wizara tayari imeanza kuwashajihisha wafugaji wa mazao ya pwani ikiwamo...
  10. JamiiForums Tanzania Je, mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa sio jambo la muungano? Nini kinaendelea Zanzibar?

    Wanasema mzaha mzaha hutumbua usaha, kwa mujibu wa katiba yetu, mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ni jambo la muungano, hii ni pamoja na misaada pamoja na mikopo kutoka nje ya nchi. (Katiba ya JMT ibara ya 4 nyongeza ya kwanza) Lakini tangu awamu ya sita ya rais wetu Samia Suluhu ishike...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Serikali: Chanjo ya Corona iliyoruhusiwa ni kwa wafanyakazi wa Balozi na taasisi za nje, kwa Watanzania bado hatujaamua

    Msemaji mkuu wa serikali Mh Gerson Msigwa ametolea ufafanuzi tangazo la serikali linalohusu chanjo ya Corona. Msigwa amesema chanjo iliyoruhusiwa ni kwa ajili ya wafanyakazi wa balozi na taasisi za kigeni tu. Kuhusu chanjo ya Corona kwa wananchi serikali itafanya uamuzi baada ya kupitia kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupokea hela kutoka nje ya nchi bila kuwa na akaunti ya Benki?

    Hey guys ! I hope mko powa,mm sipo pow sana afya yangu inamgogoro kidogo God is good all the time nitakaa sawa Nina rafiki yangu yupo UK alikuwa anataka kunitumia pesa kidogo akaniuliza una account ya bank nikamwambia sina,akaniuliza kama kuna namna nyingine ya kutuma, Jf kuna wa somi wengi na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Makinikia kusafirishwa nje ya nchi iliruhusiwa utawala wa Hayati Magufuli, Rais Samia analaumiwa bure

    Kumekuwa na mshtuko watu kusikia makinikia kusafirishwa nje ya nchi wakati msimamo wa awali ilikuwa kujengwe kinu hapa nchini na watu kumlaumu Samia kuwa kaharibu, lakini Magufuli ndio aliingia makubaliano mapya na Barrick na makubaliano hayo hayawalazimishi kuchenjua makinikia hapa nchini...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa tunaoona nje ya box, Ole Sabaya ni fagio la Wanaharakati uchwara mitandaoni na anguko la Mbowe

    Yaani hata darasani mwalimu hata ungefundishaji kuna wabafunzi vilaza ambao ukisema tisa wanasema sita yaani hawa huwa ni wanafunzi mbumbumbu wasiojielewa. Kuna kikundi kimeibuka kutunga uongo ambao ni vichaa tu wanaweza kuwaamini dhidi ya Sabaya. Yaani hawa watu wanashindwa kuelewa kabisa...
  15. JamiiForums Tanzania Wabunge wataka Condester Sichwale aliyetolewa nje kisa mavazi aombwe radhi

    Sakata la kutolewa nje kwa mbunge wa Momba, Condester Sichwale (CCM) kuhusu mavazi, limeibuka tena leo jioni katika kikao cha Bunge baada ya wabunge wanawake kutaka aombwe radhi na aliyetoa hoja. Hata hivyo mbunge Hussein Amar amesema hawezi kuomba radhi kwa sababu alichosema alikuwa sahihi...
  16. JamiiForums Tanzania Wanyaturu wamemkosea nini huyu DJ anayetafsiri filamu na series za nje? Haoni kama anatengeneza chuki ya ukabila?

    Huyu DJ mtafsiri wa movies na series za nje anawaponda sana Wanyaturu sijui wamemkosea Nini kwa kweli anaudhi sana huyu. Kila kitu yeye ni Wanyaturu, Wanyaturu mpaka Kero yaaani. Wanyaturu kamshtakini huyu kwa kuwafanya muonekane watu wa Karne ya 20. Hizi ni baadhi ya kauli zake anazozitoa...
  17. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi

    Hii ndio Taarifa iliyosambazwa mapema leo duniani, Mwamba Mbowe ataongea na wanahabari hao kutokea kwenye Hotel ya Golden Rose Mjini Arusha. Sikio la Dunia nzima limetegwa upande huo ili kujua kitakachozungumzwa. Wote mnakaribishwa. Muhimu: Tufuate mwongozo wa WHO wa kudhibiti Corona...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa majina katika Passport na ID za Tanzania unasababisha usumbufu sana nje ya Tanzania

    Wanajamii, Unapoomba passport au ya ID, ni kawaida kuulizwa kwenye form Jina lako la Kwanza, la katikati na la Ukoo. Sasa Tatizo ni kwamba Passport au ID vikitolewa, kunakuwa hakuna utenganisho huu, bali Mambo ya Ndani na NIDA wanaamua kuunganisha jina lako la kwanza na la katikati kama jina...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Wabunge kushangilia timu ya Soka ya nje ni sawa, tena ndani ya Bunge

    Jumatatu iliyopita Wabunge ambao waliripotiwa kuwa ni mashabiki was Yanga waliingia Bungeni wakiwa na bashsha Bila kuficha furaha yao walinyoosh vidole vyo juu wakiashiria kufurahia kipigo ilichokipata Simba mbele ya Kaiser ya Afrika kussini. Nilijiuliza maswali mengi kwa tukio like lissilo...
  20. JamiiForums Tanzania Je, umesikia nini cha nje ya Uwanja (Kamati za Umafia na Uchawi) kuelekeaa 'Mtanange' wa leo wa Simba SC na Kaizer Chiefs FC?

    Nilizonazo hadi Asubuhi hii ni kwamba Wachezaji wa Kaizer Chiefs FC Usiku hawakulala Mbezi Beach bali wamelala Ubalozini Kwao na kule Hotelini Mbezi Beach wamebaki wale wasiocheza leo. Nilizonazo hadi Asubuhi hii ni kwamba kuna aliyekuwa Kiongozi Mmoja wa Simba SC (sasa yupo Yanga SC) kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…