nje

Nje (Њ њ; italics: Њ њ) is a letter of the Cyrillic script.
It is a ligature of the Cyrillic letters En ⟨н⟩ and Soft Sign ⟨ь⟩. It was invented by Vuk Stefanović Karadžić for use in his 1818 dictionary, replacing the earlier digraph ⟨нь⟩. It corresponds to the digraph ⟨nj⟩ in Gaj's Latin alphabet for Serbo-Croatian.It is today used in Macedonian, variants of Serbo-Croatian when written in Cyrillic (Bosnian, Montenegrin, and Serbian), Itelmen and Udege, where it represents a palatal nasal /ɲ/, similar to the ⟨ny⟩ in "canyon" (cf. Polish ⟨ń⟩, Czech and Slovak ⟨ň⟩, Galician and Spanish ⟨ñ⟩, Occitan, Portuguese and Vietnamese ⟨nh⟩, Catalan and Hungarian ⟨ny⟩, and Italian and French ⟨gn⟩).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kutoka Mliman City, Diamond na Zuchu mahaba nje nje

    Mambo si mambo...!!! New couple in town? Wacha tuendelee kunywa mtori , nyama tutazikuta chini
  2. JamiiForums Tanzania Je, baada ya kuona video hii, Rais Samiah Suluhu anaweza kudiriki kukopa tena pesa nje ya nchi?

    Mama Samiah ana lipi la kutuambia juu ya kauli yake kwamba akipata nafasi ya kukopa atakopa tena. Tumsikilize mwamba akiwafundisha wanafunzi wake, na endapo Rais wetu anaweza kuirudia ile kauli yake juu ya mikopo? ================================ Update: 15/02/2022...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mbona nchi nyingine za Afrika haziruhusu mimba shuleni, na hakuna lawama za mataifa ya nje?

    Nimeipata hii picha ktk mjadala wa baadhi ya nchi za Africa wakishangaa hawa wadada wanafunzi pichani. (Nimeambatanisha picha) Wachangiaji wengi walionesha kushangaa hao wadada, kusoma huku wakiwa wajawazito. Katika mjadala wengi wao walisema "It's only South Africa" Japo kuna nchi kama Kenya...
  4. JamiiForums Tanzania Mlango wa nje unatakiwa kufungukia nje au ndani?

    Tumezoea milango mingi inafungukia ndani. Sasa nikapita sehemu nikaona mjadala. Wanasema ukifungukia nje hata mtu hawezi kuupiga teke ukafunguka kirahisi. Pia wanasema kuna space inaongezeka ndani. Naangalia faida za kufungukia ndani sizioni, ila naona tu muonekano unakuwa mzuri. Nini maoni yako?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ukistajabu ya Odinga kujiapisha kuwa Rais wa Kenya mwaka 2018, utayaona ya Zitto na Baraza Kivuli nje ya Bunge.

    Hiki ni kituko kingine au anaota u-KUB ( Kiongozi wa Upinzani Bungeni). Mhe. Zitto kutangaza Baraza la Mawaziri umetukumbusha tukio la kujiapisha kuwa Rais wa Kenya. Unatangaza Baraza la Mawaziri waiotambuliwa na Bunge au wasiokidhi vingezo la kwani Tanzania kwa sasa hatuna Kambi Rasmi la...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya nje ni suala la Muungano?

    Hivi mikopo ambayo serikali huchukua kutoka katika taasisi za fedha za kimataifa ni swala la Muungano? Na kama ni swala la Muungano, tunaweza kupata takwimu za ulipaji wa deni la Taifa tujue kila upande umechangia vipi ulipaji wa deni hilo? Wenye kujua mtussaidie hasa mwenye kuweza kuiweka...
  7. JamiiForums Tanzania Man Utd yatupwa nje FA Cup, mashabiki wamponda Ronaldo

    Baadhi ya mshabiki wa soka wamemponda na kumdhihaki Cristiano Ronaldo mara baada ya kukosa penati na kushuhudi timu yake ya Manchester United ikiondolewa katika Kombe la FA dhidi ya Middlesbrough. Ronaldo, 36, alikuwa na nafasi ya kuanza kufunga katika dakika za mwanzo kwa penati baada ya Paul...
  8. JamiiForums Tanzania Wabunge wakiwa nje ya viwanja vya Bunge

    Unaweza kuwatambua wabunge wetu waliopo pichani?
  9. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Mtaa auawa Mbeya

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Hasanga kata ya Uyole jijini Mbeya, Justine Namwinga (47) ameuawa na watu wasijulikana usiku wa kuamkia leo Januari 31 na kisha mwili wake kutelekezwa nje ya nyumba yake. Akizungumza akiwa nyumbani kwa marehemu baba wa Justine, Hance Mwashembele amesema kuwa usiku wa...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Kukaguliwa ticket zaidi ya Mara 3 ktk basi unakera

    Habari Wana jamvini! Nchi nyingi za nje ya Tanzania Kuna utaratibu ukishakata ticketi ukapanda kwenye basi hautasumbuliwa mpaka unafika pahala unapokwenda. Ila Kwa Tanzania imekuwa Kero kubwa sana, ukipanda basi labda Dar mpaka ufike mwanza utakaguliwa ticketi na watu zaidi ya watatu tofauti...
  11. JamiiForums Tanzania Bado sijaona kama kuna sababu za nje ya uwanja zinazosababisha Simba kukosa matokeo, tuache kukuza mambo

    Mimi huwa nafuatilia pia Mechi za Yanga, kiukweli sijaona tofauti kubwa sana ya kiuchezaji au kiupambanaji. Tofauti pekee ni kuwa Yanga wanafanya juu chini wapate walau Goli moja na kuhakikisha hawaruhusu goli...ukitoa ile mechi yao na Namungo ambapo ilibidi Refa ajiongeze lakini Wazee Wenzetu...
  12. JamiiForums Tanzania Rebranding Tanzania! Ikulu Mawasiliano, Je mnajua ziara ya jana ya Rais Samia nchini Msumbiji ilikuwa moja ya Fursa ya kui-brand Tanzania Nje?

    Mwezi Novemba 2003, Baada ya vita kufukuta nchini Iraq, Rais wa Marekani alifanya ziara ya kushtukiza kwenye eneo la vita Yaani nchini Iraq Kwa Wamarekani ile ilikuwa sehemu ya fursa ya kuitangazia Dunia kuwa ni kwa Jinsi gani wana uwezo wa kijeshi na kiulinzi wa kumsafirisha Rais wao hadi eneo...
  13. JamiiForums Tanzania Jeff Leah: Kwa udhaifu wa Mbao, Yanga atashinda goli nyingi maana Yanga hahitaji kuhonga nje ya uwanja

    Mchambuzi Jeff Lea amesema udhaifu wa Mbao Fc, itapelekea Yanga ashinde goli nyingi hiyo kesho katika mchezo wa Azam Sports Federation. Hivyo Yanga hawezi kuhonga pesa nje ya uwanja kwakuwa Mbao Fc ni dhaifu kwasasa. Aliongeza Jeff Jeff alienda mbali zaidi akasema "Kwa Yanga hii ambayo ndani...
  14. JamiiForums Tanzania Sisi wenye GPA chini ya < 2.8 tunatumia njia gani kupata scholarships za nje ya nchi

    Habarini ndugu zangu, mwenye kujua au mwenye ushuhuda wa uwezekano wa kupata scholarships kusoma nje ya nchi kwa sisi wenye GPA chini ya 2.8, mfano mimi nina GPA ya 2.6 level ya degree, je nawezaje kupata scholarships niweze kusoma Postgraduate degree (Masters). KARIBUNI KWA MSAADA
  15. JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke wangu wa nje kanitamkia kuwa anahitaji siku moja tufanye “Threesome” nimeogopa sana mood ya kuendelea nae imepotea kabisa

    Hii hali imenikuta wikiendi hii, kuna mchepuko wangu mmoja ni mtumishi wizara moja hapa dodoma nikaona si vibaya wikiendi tutoke nae baada ya kula na kunywa tukaamua tukapumzike. Kama kawaida baada ya romance nikaanza kumpelekea moto “Nilidumbukiza nyama kwenye kiota chake vilivyo hadi...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania University of Nairobi students join historic mission flying world leaders to space

    Entrance to the University of Nairobi (left) and a spacecraft taking off. University of Nairobi (UoN) students are now part of a historic space mission targeting world leaders including wealthy billionaires. Namira Salim, a Dubai-based diplomat is working towards sending a peace mission to...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Nitatumia wataalam wa elimu walipo ndani na nje ya wizara ili kuwa na maamuzi yenye tija kwa nchi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema atatumia wataalam wa elimu walipo ndani na nje ya wizara ili kuwa na maamuzi yenye tija kwa nchi. Waziri Mkenda amesema hayo leo Januari 13, 2022 jijini Dodoma wakati akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Je, inaweza kutokea uteuzi wa wagombea ukafanyika nje ya waliochukua fomu?

    Habari za muda huu, Swali langu ni mahususi kwa nafasi ya uspika lakini pia linaweza kujibiwa kwa nafasi nyingine ambazo mchakato wake wa uteuzi wa wagombea unaanza kwa kuchukua fomu kwa vyama husika. Swali ni: Je, ikitokea wote waliochukua fomu ya kuwania nafasi fulani hawana sifa kamili...
  19. JamiiForums Tanzania Maduka ya Dawa yaliyo nje ya mageti ya Hospitali za Serikali huwa na dawa muda wote lakini ndani ya Hospitali husika hamna dawa

    Kipindi cha awamu ya tano Mheshimiwa Rais Magufuli alipiga marufuku sana ya maduka yaliyo nje ya hospitali za Serikali, kwani ilionekana kuwa hayo maduka ndo chanzo cha Kukosekana dawa ndani ya hospitali hizi za serikali. Wengi tulishuhudia huduma nzuri pamoja na upatikanaji wa dawa ndani ya...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Katiba na Sheria inasimamia mikataba na majadiliano yote ya kisheria ya Tanzania. Kabudi kashindwa hii kazi akiwa Waziri atawezaje nje?

    Wizara ya Katiba na sheria ni msimamizi wa majadiliano ,mikataba na maduala yote yanayohusu sheria. Kabudi alipokuwa Waziri alikuwa mshauri Mkuu wa mambo haya. Kutumbuliwa kwake means ameshindwa kutekeleza Wajibu wake. Najiuliza, kazi mpya anayoyokwenda kufanya ataifanya bila kuelekezwa au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…