nje

Nje (Њ њ; italics: Њ њ) is a letter of the Cyrillic script.
It is a ligature of the Cyrillic letters En ⟨н⟩ and Soft Sign ⟨ь⟩. It was invented by Vuk Stefanović Karadžić for use in his 1818 dictionary, replacing the earlier digraph ⟨нь⟩. It corresponds to the digraph ⟨nj⟩ in Gaj's Latin alphabet for Serbo-Croatian.It is today used in Macedonian, variants of Serbo-Croatian when written in Cyrillic (Bosnian, Montenegrin, and Serbian), Itelmen and Udege, where it represents a palatal nasal /ɲ/, similar to the ⟨ny⟩ in "canyon" (cf. Polish ⟨ń⟩, Czech and Slovak ⟨ň⟩, Galician and Spanish ⟨ñ⟩, Occitan, Portuguese and Vietnamese ⟨nh⟩, Catalan and Hungarian ⟨ny⟩, and Italian and French ⟨gn⟩).

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Ili Kuchochea Kilimo, Serikali itoe ruzuku kwenye nafaka za kuuza nje

    Nakumbuka miaka ya nyuma wakati serikali ikinunua mahindi, ilikuwa ukipita njia ya kati, kuanzia pwani mpaka singida yalikuwa mashamba ya mahindi. Baada ya Serikali kusua sua katika kununua mahindi, mashamba hayo yamepotea. Mbali na serikali kutoa ruzuku kwenye mbolea bado mashamba haya...
  2. Rais Samia Suluhu amedhamiria kuodoa utegemezi wa ngano kutoka nje

    Tanzania imeandaa mkakati kabambe wa kuondoa kabisa utegemezi wa zao wa ngano kutoka nje ambapo malengo yaliyowekwa hadi ni kufikia uzalishaji wa tani milioni moja ifikapoi 2025. Tanzania huagiza ngano kwa wingi kutoka Urusi na Ukreini ambapo kutokana vita katika nchi hizo, kumepelekea uhaba wa...
  3. K

    Ushauri: Serikali iruhusu vijana kuajiriwa kama mercenaries

    Niliupitia uzi wa Taikon wa fasihi bwana ROBERT HERIEL unaosema ili tufanikiwe kupata maendeleo lazima tuzivamie nchi nyingine. Niwe muwazi mawazo haya ya huyu self-claimed taikon wa fasihi ni ukweli ambao hata huitaji akili kuukubali Kutokana na huo ukweli ambao iko mifano mbalimbali...
  4. Msaada: Unaagizaje dawa kutoka nje ya nchi?

    Hello wakuu, naomba kuuliza Kwa mtu anaetaka kuagiza Dawa ambazo hazipatikani Tanzania Kuna utaratibu Gani? Mfano mtu anataka kuagiza DMT,Steroids,whey protein au drysol . Mimi nataka kuagiza drysol,Ni antiperspirant kama deodorant za Nivea. Mwenye kujua utaratibu anisaidie
  5. Bigirimana atamuweka nani nje First eleven?

    Naombeni mnijibu wakuu! Maana hapa mabishano ni makali...
  6. Kuwasifia Nandy & Billnas kupeana mimba nje ya ndoa ni ukosefu wa maadili

    Ninaandika huu uzi nikiwa na hasira iliyochanganyikana na huzuni kwa huu mmomonyoko wa maadili unaozidi kuota mizizi. Jamii kwa sasa iko bize kushabikia mambo ya kipuuzi huku ikiachana na agenda muhimu za kitaifa. Picha na video chafu zimekuwa na thamani kuliko mambo mengi yenye tija mitandaoni...
  7. Kumbe tunaochati Jamiiforums kuanzia Saa 8 hadi Saa 12 ndiyo tupo zetu 'Mamtoni' na wanaochati Nje ya hapo wapo 'Uswahilini' Bongo

    adriz, mwanausangi, Frank Wanjiru, Sky Eclat, KISIWAGA, Daudi Mchambuzi, cocastic na Bila bila kumbe nyie na 'Ujiniasi' Wenu wote mnaishi huko Uswahilini Bongo na ndiyo maana mwisho Wenu wa kuwepo ( kuchati ) hapa Jamiiforums ni Saa 12 za Jioni tu? Sasa ngoja nitafute Marafiki zangu wapya...
  8. Kipindi cha Industrialisation Uingereza. Butcher man alipita na mkokoteni nje ya nyumba

    Kipindi hiki watu walihama kufuata kazi, miji ilifanyika na biashara zilishamiri. Ni katika kipinndi hiki walianza ustaarabu wa kusukuma maji na yalifika majumbani. Maji tiririka yalipunguza magonjwa kama cholera kwani yalikuwa treated kabla hayajafika kwa mtumiaji.
  9. Serikali yasitisha matumizi ya Fomu ya 2C inayotumika kuchukua dawa maduka ya nje

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza kuanzia leo Julai 1, 2022 Serikali imesitisha rasmi matumizi ya fomu ya 2C katika Hospitali zote za umma zinazotumia Bima ya Afya mara baada ya kuonekana kuna udanganyifu mkubwa unafanyika. Fomu ya 2C ni karatasi inayoandikwa dawa nakupatiwa mgonjwa...
  10. K

    Ushauri kwa Rais kuhusu mahindi yanayosafirishwa nje ya nchi

    Nawapa tahadhari kuwa njaa inayokuja mbeleni kwa nchi ya Tanzania itakuwa ya kutisha. Jana nimeshuhudia kwa macho yangu katika mpaka wa Sirari mamia ya malori yakiwa na shehena ya mahindi yakipelekwa Kenya. Huu ni mwezi wa sita bei ya gunia moja la mahindi ni zaidi ya Tshs.130,000 maeneo ya...
  11. Tetesi: Kigogo aliyeruhusu wanyama kusafirishwa nje ya nchi ameshapigwa chini!

    Kongole Rais Samia! Kweli serikali yako ni sikivu kwa masuala ya kitaifa. Kuna tetesi zimeenea Wizara ya Maliasili na Utalii, kuwa kigogo (tuite ligogo) aliyerasimu na kutoa ruhusa kunyume na taratibu za wakuu wake , kutoa vibali kwa makampuni fulani fulani kusafirisha wanyama nje ya nchi...
  12. USHAURI: Yanga andaa mechi nne za kirafiki na timu za nje

    Mechi za kirafiki za kimataifa kwa timu ya Yanga ni muhimu kama ilivyo chumvi katika pilau. mechi hizo zitampatia kocha kujua mapungufu ya ufundi na vile vile mashabiki kujenga imani na timu katika mechi za mtoano ambazo haziko mbali na pwani ya bahari. Naomba sana yanga ialike timu...
  13. Kwa walioagiza bidhaa mwaka huu kutoka nje

    Naomba kujua kwa walio agiza bidhaa ndogo ndogo kutoka nje ya Nchi (Free shipping) Decemba 2021 hadi May 2022 mmezipata? mimi naona sijakuwa na bahati nazo; hata sijajua tatizo liko wapi kwani hapo nyuma sijaona tatizo hili
  14. Nje ya Dharau na Nyodo zake za Kiasili, ila Kocha Mourinho ni Bonge la 'Genius' halafu anatupenda na kutujali mno Waafrika

    Jose Mourinho wants FIFA to stop African players from representing other countries other than that of their origin. He believes once this is done, Africa countries would start winning the World Cup. Chanzo: Africa Archives Binafsi huwa ninawapenda Watu wenye Dharau, Nyodo na Jeuri Kiasili, ila...
  15. G

    Kazi nje ya nchi

    habari wakuu tafadhali anayejua mawakala wa ajira nje nchi bara lolote ila siyo uarabuni naomba msaada wenu 🙏
  16. Rais wa Malawi aghairi safari za nje kubana matumizi

    Serikali ya Malawi itaokoa TZS milioni 608.13 kutokana na kufutwa kwa safari mbili za Rais Lazarus Chakwera kama sehemu ya hatua za serikali za kubana matumizi. Rais Lazarus hatahudhuria mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola mjini Kigali, Rwanda, na Kongamano la Maendeleo ya Mfuko...
  17. Mwalimu afa kwa moto, funguo za nyumba zakutwa nje

    Mwalimu wa shule ya sekondari ya Morogoro Daudi Senyagwa, amefariki dunia baada ya nyumba aliyokuwa akiishi kutekea kwa moto akiwa amelala ndani usiku wa kuamkia leo Juni 15, 2022 katika mtaa wa Seminari, Kata ya Kingolwila Manispaa ya Morogoro. Wakizungumza na EATV mashuda wa tukio hilo...
  18. Je, huyu Rais wetu wa sasa ni Vasco Da Gama mwingine? Ziara za nje zimekuwa nyingi sana kama enzi za Awamu ya Nne

    Awamu ya nne tulishudia Jakaya Kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama. Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi alikuwa Ulaya. Leo yupo Uarabuni. Hii ishu ya Uarabuni asingeweza kuwakilishwa hata na balozi!
  19. Mbwa asili wa Tanzania hawaumwi kirahisi, rahisi kuwanunua na kuwahudumia, wanaishi muda mrefu. Tuache ushamba wa kupenda mbwa wa nchi za nje?

    Wana kinga asili nzuri dhidi ya magonjwa Ni nadra sana kukuta hawa mbwa wetu wamepelekwa hospitalini kutolewa minyoo (de -worming), hata wengi tunaowafuga hawajawahi kuchomwa sindano yoyote tangu wazaliwa lakini wanadunda. Kuwalisha kwa gharama nafuu Hata ukiwachanganya ugali na dagaa kwa...
  20. Ni wakati sasa kwa Serikali kuzuia uuzwaji wa mazao ya chakula nje ya nchi

    Tuache siasa za kujipendekeza kwa mataifa mengine, na kuwatesa wananchi wanyonge. Serikali izuie uuzaji wa mazao ya chakula nje ya nchi. Hali inazidi kuwa mbaya. Mikoa iliyopo mpakani mazao yanasafirishwa kwa wingi kwenda nje ya nchi. Serikali iingilie kati, ama sivyo ijiandae kutoa msaada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…