Nsunu kanyoko wena njaa!

Nsunu kanyoko wena njaa!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
22,676
Reaction score
27,315
Nsunu kanyoko wena njaa,kwa tulioishi kidogo south africa,maana yake ni,""Hatutajali chochote,au liwalo na liwe,kwa lugha za kuko kwao,
Kama kuna watanzania tafadhalini rudini tu hawa jamaa hawana utu tena,3 day left ,kabla ya tarehe ya mwisho #JUNE 30.
1000005707.jpg
 
Back
Top Bottom