Kula mzee tena ule sana
Peleka hizo hisia kwa wazazi/walezi ndugu zako ..zako kama unawasaidia zidisha msaada kwao tena
haukatazwi kufurahi ila unafurahia vitu ambavyo avikufaidish, ungekuwa umebet umepata mahela kidogo poa, yaani unafurahia watu ambao hata mia hawakupi
Africa tuna ufala mwingi sana