nisaidieni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni mbinu za kupambana na huyu jirani 'mwizi wa umeme'

    Hii nyumba ninayoishi tupo wapangaji watatu kwenye compound moja. Nimehamia hapo huu ni mwezi wa pili unaenda kuisha. Ndani ya hizi wiki chache, nimeona mabadiliko makubwa ya matumizi ya umeme. Mwanzoni ilikuwa natumia wastani wa unit 2.4 kwa siku, ila kwa sasa imepanda mpaka 3.6 kwa siku...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Pdf activation inakataa, nisaidieni

    PDF inakataa kufanya kazi mpaka iwe activated. Nisaidieni nifanyeje iwe activated?
  3. Darucha

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuupata wimbo huu wa zamani (zilipendwa)

    Jamani natafuta huu wimbo muda mrefu Bila mafanikio sijui jina lake staili ya uimbaji ni kama ya magic system au papa Wemba ile nyimbo kama sio mkongo aliyeimba Basi ni watu kutokana West Africa au central Africa hii nyimbo inaimbwa kwa mtindo huu naandika Kiswahili. "Kiberenge kinaokoaaaa...
  4. trisha cute

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuumia kama nilivyoumia hivi sasa nisaidieni

    Habari ndugu zangu! Nimeachana na mtu niliekua nampenda sana tulikuwa kwenye mahusiano takribani miaka 2 na tumeachana baada ya yeye kuniambia ukweli kuwa ameoa tayari ana mke na mtoto mmoja. Last week aliniomba tukutane akemi kwa ajili ya Dinner then baada ya hapo ndio akanitamkia haya...
Back
Top Bottom