Kuna jambo limekuwa kama kitendawili kwangu, na sielewi tafsiri yake ni nini!
Kwenye maisha ya kawaida ya watanzania na huku kwenye mitandao ya kijamii, watu hupata wasiwasi na hatima ya mtu anayeikosoa CCM kuliko anayeikosoa CHADEMA.
Imekuwa ni kawaida mtu kuonywa ama watu kuandika maneno...