Wakali wa movies Sina haja ya kumuongelea Tom Cruise ni nani wengi wenu mtakua mnamfahamu
Ila nimeumia sana sana kama vile ndio mke wangu huyu, anapiga hii mashine nadhan mnamfaham huyu dada kwenye movies, hata movie mpya ya Ballerina, anaetamanisha kwa kumuangalia tu, ananitoa udenda...ama...