nimekosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. aise

    Dogo amemaliza form four akaja Dar Januari 2026, lakini maumivu 04 February 2026Amepata ajali na kupoteza uhai

    Wakuu samahani Sana nimekosa Title sahihi ya hili tukio, Dogo baada ya kumaliza form four mwaka huu, ametoka mkoani na kuja Dar es salaam kwa mara ya kwanza siku ya Jumatano tarehe 28 January 2026. Amepata ajali na kupoteza uhai, amerudisha kuzikwa mkoani Jumatano ya Tarehe 04 February 2026...
  2. Alex khalifa

    Wabongo nimewakosea sana. Naomba radhi kwa kupiga magoti mbele yenu

    Katika harakati za uchaguzi nilikua mwana CCM damudamu, nikimuombea kura rais wetu Samia. Nilileta Uzi, rejea Uzi wa tumuache Samia amalize muda wake, ukiisha ataondoka. Lengo lilikua kumpigania ili aendelee na awamu nyingine. Sikufahamu kesho yangu na yetu. Nilipiga kura na kuondoka zangu...
  3. Penguinelli Cactussini

    Nimeandika kitabu cha namna ya kuwa tajiri ila nimekosa pesa ya ku print

    Habari zenu wakuu. Nimetimiza ndoto yangu ya muda mrefu sana ya kuwa mwandishi wa vitabu. Katika vitabu vitatu nilivyoviandika nimeshawishika ku release kitabu kimoja cha “Namna bora ya kuwa tajiri kwa njia nyepesi”. Tatizo limekuja nimekosa hela ya kuki print na pia sina sponsors kwa ajili ya...
  4. JanguKamaJangu

    Ally Mayay: Nimerejesha Fomu ya Urais TFF lakini nimekosa endorsement

    Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Yanga, Ally Mayay, leo Juni 20, 2025 amerudisha fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF). Mayay amegusia suala la baadhi ya wagombea kukosa endorsement na akasema kuwa hizo zote ni changamoto ambazo hujitokeza hasa nyakati kama hizi...
  5. Kalamu Nzito

    Nimekosa ajira za TRA, wenye fursa mahali pengine anisaidie

    Habari wana JF, Bado napambana na ajira (kujiajiri bado sio suala jepesi). Nilifanya mtihani wa TRA lakini bahati mbaya sikufuzu. Nina Shahada ya Sheria. Bado sijakamalisha Post graduate diploma ya Law School. Nimeshafanya kazi za kujitolea mahakamani na kwa mawakili. Pia nimefanya kazi za...
  6. C

    Naombeni kujua utaratibu wa kuwa afisa usalama mahali pa kazi Kuna mambo mengi nayashuhudia mazuri na mabaya ila nimekosa platform

    Habari wadau ni utaratibu upi unatumika kuwapata Hawa watu( maafisa usalama katika ngazi mbalimbali) Naihitaji hii kazi kwa namna yoyote ile na najua nitaitendea kazi kisawasawa Mwenye kujua anipe mwongozo
  7. JF Member

    Nimekosa Mkopo benki kisa nilichelewesha rejesho mwaka 2018 kwa siku 60

    Wadau njooni hapa tufarijiane. Huko serikali imeshaweka mazingira magumu Tena kwenye kukopa. Mimi 2018 nilichelewesha rejesho kwenye Moja wapo benki hapa nchini. Mambo ya yangu hayakwenda vizuri, nilicheleweshewa malipo sehemu, ila benki tulikuwa tunawasaliana vizuri tu. Badae nikalipa na mda...
  8. Arch Barrel

    Nimekosa amani ya moyo ni Wiki ya pili sasa

    Habari za jioni wanaJF, kwanza nitangulie kusema sina mgogoro wowote wa kifamilia, kuhusu kazi sio mwajiriwa ni mchakalikaji wa mtaani, sina madeni ya kutisha ambayo may be yanaweza kunipa stress, ingawa nina hofu ya kutofikia lengo ifikapo 30 june mwaka huu hali ambayo nahisi itaniathiri sana...
  9. NALIA NGWENA

    Samahani sana Guedejr kwa kukuita 'Bondia" na kukudhiahaki kuwa hujui ball, nisamehe mimi nimekosa

    Wale wote tuliokuwa tukimdhihaki Gudejr na kumuita BONDIA, mkiongozwa na mimi mwenyewe hapahapa jukwaani na kumuona Clement mzinze ni bora kuliko Guede Nalia Ngwena, sasa ni muda wetu wa kuja kumuomba msamaha hapa na kufuta kauli yetu ya kusema kuwa ni bondia . mwamba hivi sasa ana magoli jumla...
  10. Candela

    Mshaurini na nyie mie nimekosa busara

    Iko hivi, kuna mdau amenifata akanieleza juu ya mahusuano yake na mwanamke wake. Aligombana na huyo dada ikafikia akaachwa, tena akaambiwa ana mtu mpya anaempenda sana. Jamaa akakausha ila baada ya siku mbili yule dada akamtafuta jamaa wakarudiana lakini jamaa akawa hajali tena kuhusu yule dada...
  11. E

    Ndani ya muda mfupi nimekosa Imani na tume ya mipango

    Juzi nilimsikiliza waziri wa mipango akiongea clouds nilishangaa sana waziri wa mipango anaongea habari ya ajira kama ambavyo kila layman anaongea. eti anasema serikali haitoi ajira watu wajiaijri. Mimi siamini kama vijana wanakosa ajira, wanakosa kwa sababu ya kukataa ajira za sekita binafsi...
  12. K

    Nimekosa kabisa shuka za mtumba nyeupe

    Locationa: Dar es Salaam, Makuburi. Size ya kitanda: 5*6
  13. Chizi Maarifa

    Hili la Halima limenihuzunisha sana. Ina maana Dar na Mikoani kote tumekwa kiasi hiki?

    Inaumiza sana. Yaani hizi tambo zetu humu JF n.k si wa Mikoani wala Dar ambao wamefanikiwa. Sisi tunadharaulika. Yaani tuna wagegeda akina sijui nini flower wana mastress kibao tunaacha watu wa maana huko wanalalamika wapo single na hawajawahi pewa Mimba. Halima mpaka leo ni single na hana...
  14. YE67NBE

    Ninajuta kwanini nilichelewa kujiunga JamiiForums nimekosa vingi sana

    Wakuuu za mida, Aseee mimi mwanenu katika vitu ninavyojuta maishani mwangu ni kuchelewa kujiunga humu ndani asee. JF imekuwa zaidi ya kijiwe kwangu. Namshukuru sana Maxence Melo kwa kutengeneza huu mtandao pendwa. Yaani kwanzia 2016 nilikuwa namiliki smartphone ila niliishia FB tu 😭😭😭na IG...
  15. Mpigania uhuru wa pili

    Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

    Mimi ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa, weakness kubwa niliyokuwa nayo mim sio muongo na niko straight may be...
  16. TODAYS

    Kama tukio hili lingekuwa Jijini Dar Es Salaam hawa askari wangekuwa na kazi?

    Kelele huwa ni nyingi sana pale inapoonekana chombo cha usafiri hasa wa umma pale jijini Dar kujaza abilia kupita kiasi. (Kwa wasio na bundle)👇🏾 Baada ya kupita mitaa fulani nikakutana na tukio hili, hapo ni China na hiyo ni treni ya mapema sana kutoka mji A kwenda mji B. Kutokana na wingi...
  17. M

    Nimejikagua na kujipima upya kuhusu mwenendo wa uchumi, nimekosa raha

    Kujikagua na kujipima ni jambo la muhimu sana , hebu tafakari miaka mitano yako nyuma na sasa, huko ulimiliki nini na sasa unamilki nini , shughuli zako za kiuchumi je zimetanuka na atleast zinatosheleza mahitaji yako au bado mechi Ngumu sana upande wako ukichukua...
  18. Masai wa Town

    Nadhani nimekosa mke wa kuoa

    Ni mwaka wa tatu Sasa Tangu nianze kuwaza kuoa. Kila Mahusiano ninayojiingiza huvunjika baada ya muda mfupi, si zaidi ya miezi 6. Jumla ya wanawake nilioingia nao kwenye Mahusiano Ni Watano. Wa kwanza Alikuwa mhasibu, kosa lake ni kuwa na kampani ya slay quees na walevi. Ni jambo la kawaida...
  19. Masai wa Town

    Nimekosa kibarua kisa kitambulisho cha Taifa. Ni Mwaka wa nne sijapata kitambulisho cha NIDA

    Wakuu Kama mmesoma threads zangu za nyuma, ni wazi kwamba napitia kipindi kigumu kimaisha. Sasa wiki hii Kuna kibarua nilipata hapa Arusha wakahitaji kadi ya nida na ya chanjo ya Corona, nikawapa ya Corona na namba ya NIDA, wakasema wanahitaji kadi kabisaa siyo namba! Nilijiandikisha tangu...
  20. D

    Nimekosa interview kwasababu ya kuwa kwenye likizo ya uzazi

    Habari, Naomba msaada wa mawazo. Nimeitwa kwenye usaili lakini nimeshindwa kufika kwasababu ya uzazi (nimejifungua hivi karibuni) hivyo nimeshindwa kusafiri. Kuna kitu ninaweza kufanya, mtu ninayeweza kuongea naye au ndio imekula kwangu?
Back
Top Bottom