nimekosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimejikagua na kujipima upya kuhusu mwenendo wa uchumi, nimekosa raha

    Kujikagua na kujipima ni jambo la muhimu sana , hebu tafakari miaka mitano yako nyuma na sasa, huko ulimiliki nini na sasa unamilki nini , shughuli zako za kiuchumi je zimetanuka na atleast zinatosheleza mahitaji yako au bado mechi Ngumu sana upande wako ukichukua...
  2. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Nadhani nimekosa mke wa kuoa

    Ni mwaka wa tatu Sasa Tangu nianze kuwaza kuoa. Kila Mahusiano ninayojiingiza huvunjika baada ya muda mfupi, si zaidi ya miezi 6. Jumla ya wanawake nilioingia nao kwenye Mahusiano Ni Watano. Wa kwanza Alikuwa mhasibu, kosa lake ni kuwa na kampani ya slay quees na walevi. Ni jambo la kawaida...
  3. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Nimekosa kibarua kisa kitambulisho cha Taifa. Ni Mwaka wa nne sijapata kitambulisho cha NIDA

    Wakuu Kama mmesoma threads zangu za nyuma, ni wazi kwamba napitia kipindi kigumu kimaisha. Sasa wiki hii Kuna kibarua nilipata hapa Arusha wakahitaji kadi ya nida na ya chanjo ya Corona, nikawapa ya Corona na namba ya NIDA, wakasema wanahitaji kadi kabisaa siyo namba! Nilijiandikisha tangu...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nimekosa interview kwasababu ya kuwa kwenye likizo ya uzazi

    Habari, Naomba msaada wa mawazo. Nimeitwa kwenye usaili lakini nimeshindwa kufika kwasababu ya uzazi (nimejifungua hivi karibuni) hivyo nimeshindwa kusafiri. Kuna kitu ninaweza kufanya, mtu ninayeweza kuongea naye au ndio imekula kwangu?
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Toka aliponitenda nimekosa imani kabisa na wanawake

    Popote ulipo Happy uliniweza. Mwaka 2015 niliingia kwenye mahusiano na pisi moja ya kuitwa happy, aisee huyu manzi alikuwa mkali siyo mchezo. Huyu Happy nilikutana naye nilipokuwa nimepanga mimi na marafiki zangu wawili (ghetto) nyumba ambayo nilikuwa nimepanga alikuwa amepanga dada yake siyo...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

    Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000? Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nimetafuta wine iitwayo " Pinot Noir" Dar nzima nimekosa.

    Nani ana access na mahali ninapo weza kuipata? I am thinking of flying to Dizonga in case kama nitaendelea kuikosa. With much thanks in advance
  8. fullcup

    JamiiForums Tanzania Nimekosa ajira za ualimu tena

    Ndugu zanguni nimekosa ajira tena! Nikiamini kwa 75% kuwa Kama tumetumia namba za NIDA basi umri na mwaka wa kumaliza chuo vitanibeba lakini wapi! Mwaka wa kuhitimu chuo kikuu 2015, umri wangu miaka 34 lakini nimepiga gape na vitoto vya mwaka 2020 na umri wa chini ya 25! Serikali kweli walikaa...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli kila nikitizama wenzangu walivyo nahuzunika, nakuwa mnyonge sana. Nimekosa nini mimi?

    Siku hizi mpaka naogopa kuingia JF. Kila nikiangalia wenzangu JF wana maisha mazuri sana. Wana magari ,wanapata mademu wakali,wana piga stories za Uk,Usa, Pretoria,Joburg n.k aisifuye mvua imemnyea. Wengine wanakula issue kimasikhara....mimi tu ndo naishi maisha haya.najiuliza nilikosea wapi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Yanga hii ubingwa wa mwaka huu wanauchukua

    Hongereni sana Timu ya Wananchi(Dar Young Africans). Mchezo mliouonyesha imeonyesha kuwa Timu ya Simba bado sana na inabidi wajipange kisawasawa. Usajili wa mwaka huu kweli kama mashabiki tumeridhika sana. Ubingwa mwaka huu ni wetu kinachotakiwa ni kuongeza juhudi. HONGERENI SANA.
  11. Shobi

    JamiiForums Tanzania Nimefikiria ila nimekosa jibu!

    kuna haja mashirika wanaita ya kimataifa na mishahara yao ipo na jina mfano grade P3 unapata ni hela ndefu kwani pia wanalipwa kwa dola..sasa kuna wale wamekuja kutoka nchi fulani let say west african or other countries lakini anamaisha ya kawaida sana yaani hajaendani na mshahara anaolipwa...
  12. kyagata

    JamiiForums Tanzania Nimekosa kazi kwa mhindi sababu nimesoma UDSM

    Wapendwa kwema? Nilifanya interview kwa kampuni flani ya wahindi hapa mjini Dsm kwa nafasi ya umeneja mauzo,interview ilienda vyema,candidates tulikua kama 7 hivi,sisi kutoka chuo tajwa tulikua wawili. Leo wamenitumia email kuwa hawajanichagua na sababu ya kutonichagua ni kwamba, wenzangu...
  13. hazard Don

    JamiiForums Tanzania Nimekosa huduma ya afya kwakuwa sijapata chanjo. Je, chanjo ya COVID-19 ni lazima nchini Tanzania?

    Kwa mwenye kufahamu juu ya Hil naomba anifahamishe. Nimekosa huduma moja ya kituo Cha Afya hapa nchini ,sababu sijachoma Chanjo ya COVID-19. Je, hawa watoa huduma wamepata wapi jeuri ya kupinga kauli ya Mh. Rais Ile kauli ya kuwa Chanjo sio Lazima.
Back
Top Bottom