nigeria

  1. K

    JamiiForums Tanzania Watu 52 Wafariki Baada ya Boti Kupinduka Nigeria

    Idadi ya watu waliofariki dunia kufuatia ajali ya boti kaskazini magharibi mwa Nigeria imeongezeka na kufikia 52. Ajali hiyo ilitokea karibu na mji wa Gorau katika Jimbo la Sokoto baada ya boti hiyo kupinduka ikiwa njiani kuelekea kwenye mashamba ya mpunga. Wengi wa waathiriwa wanaripotiwa kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini ligi ya Nigeria siyo bora?

    Taifa kubwa, lina hela na linapenda mpira. Inakuwaje ligi ya Tz ni bora kuliko ya Nigeria? Naona wanigeria wengi kama wakenya. Kushabikia zaidi timu za Epl lakini ndani hawana club za maana. Shida yao nini?
  3. JamiiForums Tanzania Lagos, Nigeria yakabiliwa na wimbi kubwa la ombaomba wa mabavu.

    Wakazi wa Lagos wana malalamiko makubwa baada ya jiji hilo kukabiiliwa na wimbi kubwa la kundi ombaomba wa pesa wanaolazimisha watu kuwapa pesa. Raia mmoja wa Lagos ameandika ushuhuda wake akisema; Lagos siku hizi kunakera sana, maana niambieni kwa nini... Nilikuwa kwenye safari yangu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Nigeria Inahitaji Miaka 14 Zaidi Kufikia Uchumi wa Dola $1 Trilion Baada ya Lengo la mwaka 2030 Kushindikana.Je Tanzania Tutafaulu Kufikia Lengo 2050?

    Lengo tuliloweka kama Nchi kupitia Dira ya 2026-2050 ni kubwa sana na linahitaji juhudi za ziada sana. Ni sawa na mtu mwenye Milioni 1 kuweka lengo la Kufikia Milioni Bilioni 1. Kama tutafika inamaana tutakuwa miongoni mwa mataifa. Nigeria wao wameshindwa Kufikia Lengo lao mwaka 2030 na Sasa...
  5. JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, ni kweli mawingu yaripotiwa kuanguka huko Nigeria?

  6. JamiiForums Tanzania Maajabu yaliyotokea Nigeria yanatisha, hebu soma ujionee maajabu hayo

    Hebu Fikiria mtu ambaye si Ofisa wa serikali, lakini anatembea kwa kujiamini ndani ya majengo ya Ikulu, anapokea wageni wa kimataifa, anajadiliana na wawekezaji, na kila anayekutana naye anaamini anawakilisha mamlaka ya Rais. Hicho ndicho kilichotokea nchini Nigeria, ambapo Adeniyi Adeyemi...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Boko Haram ilianza kama kikundi cha Mwaipopo kwa mgongo wa serikali ya Nigeria

    Boko Haram ilianzishwa mwaka 2002 mjini Maiduguri, Nigeria, na mhubiri wa kiislam mwenye msimamo mkali Sheikh Mohammed Yusuf. Hapo awali, lilifanya kazi kama vuguvugu la kidini baadaye likawa kundi la kihalifu linalochinja watu, lililoishinda serikali. Ndilo kundi linalosakwa na Marekani leo...
  8. JamiiForums Tanzania Hali halisi ya umeme ilivyo Nigeria inatisha sana,by #shany!

    #Shany ni mtanzania anayeishi nigeria kwa miaka mingi kidogo,anatunyetisha hali ilivyo na uhalisia wake!, #Wale wa upande wapi wajionee na wajiulize,jinsi serekali yetu tukufu inavyo wapenda watanzania kwa kila sekta,japo kwa umahamuma wao hupuuza na kujiona wao ndiyo wana akili nzuri na wapo...
  9. JamiiForums Tanzania Princess Joyce Matthew Andrew Appointed North Central Coordinator of RELAX TINUBU IS FIXING NIGERIA

    Princess Joyce Matthew Andrew Appointed North Central Coordinator of RELAX TINUBU IS FIXING NIGERIA Princess Amb. Dr. Joyce Matthew Andrew has been appointed as the North Central Coordinator of RELAX TINUBU IS FIXING NIGERIA, an initiative founded by Barrister Seyi Tinubu to promote national...
  10. JamiiForums Tanzania Dangote ana dola bilioni 45 zinasuburi kuwekezwa kwenye LNG plant Nigeria na refinery East Africa. 2030 miradi hiyo itakuwa tayari.

    Msikilize mwenyewe. https://youtube.com/watch?v=jVs4NBoHZic&si=JzFKdd-vhBYoxp9O
  11. JamiiForums Tanzania Nigeria: Waziri wa Elimu Tunji Alausa apiga marufuku waliopata shahada za heshima kutumia title ya "Dr"

    Serikali ya Shirikisho la Nigeria imepiga marufuku watu waliotunukiwa shahada za heshima kutumia jina la “Dr” mbele ya majina yao katika matumizi rasmi, kitaaluma au kikazi. Waziri wa Elimu wa Nigeria, Tunji Alausa, alisema kutumia cheo hicho kana kwamba mtu amekipata kupitia masomo rasmi...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ubinafsishaji ni mbaya? Kisa cha uuzwaji wa Port Harcourt na Kaduna refinary nchini Nigeria.

    Kwa nyakati tofauti tumekuwa na mijadala mizito kuhusu ubinafsishaji wa mashirika ya umma ambayo yamekuwa hayafanyi vizuri. Mijadala hii kwa imekuwa ikiibua hisia tofauti miongoni mwa wananchi, wanasiasa na wadau wa maendele. Kwasababu hiyo leo ningependa kusimulia kisa cha serikali ya Obasanjo...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi Aliko Dangote Alivyofanikiwa Kujenga Dangote Refinery na Nguvu ya Mtandao wa Mabilionea wa Nigeria

    Ujenzi wa Dangote Refinery si tu hadithi ya uwekezaji mkubwa—ni somo la kimkakati kuhusu uthubutu, mtaji, na nguvu ya mahusiano ya kifedha (financial networks). Mradi huu wenye thamani ya takriban dola bilioni 18–20 uligeuka kuwa refinery kubwa zaidi Afrika, lakini nyuma yake kuna simulizi la...
  14. JamiiForums Tanzania SIRI-JINSI Aliko Dangote Alivyofanikiwa Kujenga Dangote Refinery na Nguvu ya Mtandao wa Mabilionea wa Nigeria

    Ujenzi wa Dangote Refinery si tu hadithi ya uwekezaji mkubwa—ni somo la kimkakati kuhusu uthubutu, mtaji, na nguvu ya mahusiano ya kifedha (financial networks). Mradi huu wenye thamani ya takriban dola bilioni 18–20 uligeuka kuwa refinery kubwa zaidi Afrika, lakini nyuma yake kuna simulizi la...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna mtu huwa anaelewa Kingereza cha Nigeria?

    Hivi kuna mtu tofauti na raia wa Nigeria wenyewe huwa anaelewa English ya Nigeria? Mimi huwa sielewi Kingereza wanachozungumza Wa Nigeria hasa wa mtaani au wanamuziki na comedians wao wengi.
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia kutunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha NASARAWA cha Nigeria, leo Aprili 11, 2026

  17. W

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Nigeria Nasarawa kinatarajia kumtunuku Rais Samia shahada ya Udaktari wa Heshima

    Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa (NSUK) cha Nigeria, kinatarajia kumtunuku Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, shahada ya Udaktari wa Heshima, Aprili 11, 2026. Kulingana na taarifa iliyochapishwa kwenye gazeti la Premium Times la nchini humo, kiongozi huyo atatunukiwa shahada hiyo wakati wa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta imepanda kwa 65% Nigeria

    Nigeria inakabiliwa na ongezeko kubwa la bei ya mafuta, licha ya kuanza kazi kwa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote, ambacho ni kikubwa zaidi barani Afrika. Bei zimepanda kwa takribani asilimia 65%, huku sehemu kubwa ya mafuta yake yenyewe imefungwa katika makubaliano ya kulipa madeni kwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, Barabara hii ipo nchini Nigeria?

  20. JamiiForums Tanzania FALSE Damaged Iranian drone filmed in Nigeria

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…