niffer

Niffer is a commune in the Haut-Rhin department in Alsace in north-eastern France.

View More On Wikipedia.org
  1. Msanii

    JamiiForums Tanzania Njooni tusemezane. Sheria gani inakataza watu kuchangishana? Waziri Mkuu yupo sahihi kumkamata Niffer?

    Nawaamkua nyote Tarehe 17 Novemba 2024, Waziri Mkuu akiwa eneo la Kariakoo kukagua zoezi linaloeneelea la uokoaji wa waliokwama chini ya kifusi cha ghorofa iliyoanguka. Alitoa maagizo kwa jeshi la polisi kumkamata Mtanzania aitwaye Niffer ambaye kupitia mitabdaoni alitoa taarifa kuwa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

    Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana. Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la...
  3. M

    JamiiForums Tanzania NIffer anachangisha pesa za kuagiza mizigo china, Niffer anachangisha pesa za kuwapa mitaji vijana, leo kachangisha za kuwapa wahanga kelele nyingi

    Habari wadau. Binafsi nimeshangaa sana leo hii watu walovyomjia juuu Niffer kuchangisha pesa. Miaka yote niffer anachangisha pesa na hakuna kesi ya kuvunja sheria yoyote kwake. Niffer toka nimeanza kumsikia ni anafanya biashara inayohusisha kuchangisha watu pesa. Biashara yake kuu...
  4. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Kuchangisha mchango wala sio jambo baya, ni mioyo miovu ya watu

    Kuna watu wameumbwa tofauti na wana mioyo ya huruma. Huyu dada anaitwa Niffer naona amefanya jambo la kiungwana tu na amesukumwa na nia nzuri. Sema tu shida labda hakuweza kuijua sheria ya mambo ya kukuzanya michango. Lakino nashangaa watu wamemjia juu na vifungu vya kisheria, mara sijui penal...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema hakuna mtu yeyote ambaye anaruhusiwa kuchangisha fedha kufuatia tukio la ajali ya kupomoka kwa grorofa la Kariakoo. Pia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuzungumza katika eneo hilo akasema JENIFER JOVIN maarufu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwa kilichomtokea Niffer, naanza kupata mashaka kuhusu mafanikio ya kipesa ya hawa celebrity entrepreneurs wetu wa kibongo

    Habarini, Ninaposema celebrity entrepreneurs, namaanisha vijana maarufu wanaotrend mitandaoni kwa kuwa na hela nyingi kama kina chief godlove, Ontario/ sirjeff Dennis wa forex, Niffer, na wanaofanana na hao. Huenda alichofanya Niffer kukusanya michango ya maafa kariakoo kina nia njema 100%...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa Celebrity Niffer Kusema ana "strong army" likiwa ni jibu kwa Waziri Mkuu baada ya maagizo?

    Je, Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali. Nimeshangaa Mfanyabiashara mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio mengi akiwa amejijengea umaarufu mkubwa kupitia biashara zake, akitoa kauli tata inayoelekea kama...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara mnaofanya biashara kimazoea jiandaeni kisaikolojia na ujio wa kina "Niffer" wengi zaidi

    Kwa wiki iliyopita mitandaoni hasa Instagram na Twitter kuliibuka mjadala mkali ikiwemo vita ya maneno miongoni mwa wafanyabiashara wa mjini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyabiashara walimtupia lawama Bi Niffer ambaye ni mfanyabiashara mdogo anayekuwa kwa kasi ya ajabu. Wanamtuhumu Niffer kurukia...
  9. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Watoto wa siku hizi wanadekezwa sana

    Wazazi tuache kuwadekeza watoto wetu ndo Mana matukio ya ubakaji na ulawiti yanaongezeka. Leo nimeenda kumtembelea jirani yangu ni family friend nimemkuta yupo sebuleni na mtoto wake wa kiume wa darasa la sita afu mama amekaa kihasara tu mtoto anayaona mapaja ya mzazi wake baada ya kuingia Mimi...
Back
Top Bottom