niffer

Niffer is a commune in the Haut-Rhin department in Alsace in north-eastern France.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Gwajima ndiye alpha na omega wa ujenzi wa umoja na haki na amani. Siyo "Niffer", Lissu, na wanaoozea jela kwa kesi za." mchongo"

    Unadhani unajenga kumbe unaharibu. Dr. Mwigulu jitafakari kabla ya kuja mbele ya kamera kwenye majira haya ya tense and fragile moments.
  2. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Niffer kaanza kuwa mweusi

    Huko jela hawapewi loshen na vipodozi? adriz de mbusii
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Huzuni sana! Mama yake na Niffer aangua kilio baada ya mwanae kurudishwa mahabusu

    Mama mzazi wa Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) ameshindwa kujizuia na kuangua kilio baada ya mwanae kurudishwa rumande kutokana na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuonyesha nia ya kuendelea na mashtaka ya uhaini yanayomkabili Niffer. Soma Pia: Niffer na wenzake wakirejeshwa rumande baada ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watuhumiwa 20 wa uhaini waachiwa huru, Niffer kuendelea kusota rumande

    Watuhumiwa 20 kati ya 22 waliokuwa wanashtakiwa kwa makosa ya uhaini wameachiwa huru leo Novemba 25, 2025. Shauri lililokuwa linawakabili watuhumiwa hao leo lilikuwa linaendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Aaron Lyamuya, ambapo wakili...
  5. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania ZUCHU alicheza hakuna nywinywinywi na hakukamatwa! ila Niffer akakamatwa! Jr huu sio Uzanzibari na Utanganyika?

    Mnaweza mkabeza na kuchukulia Rahisi ila nawaambieni mbegu hii tunaipanda itaota vizuri sana kwa watoto wetu! mbele huko ni kugumu sana! tunaleta mizaha kuchezea dola na mahakama! huko mbele kuna Giza nene Mungu atasema na sisi Mark this ujumbe
  6. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025

    Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025. Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer. Kesi hizi zimepangwa kusikilizwa kwa hatua za awali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. ====...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kuhusu Karma: Kilio cha Huyu Mama Niffer Kimenitoa Machozi!, Ni Kama cha Mama Kabendera, Kisikilizwe!, Mama Wasamehe Tuu, ni Wanao Kama Dully!

    Wanabodi https://youtu.be/WHZeDbvn4jw?si=-yv4XzIrf54tMBsU Hii video ya Mama Niffer akimuombea msamaha mwanae Niffer, kama una machozi ya karibu, lazima itakutoa machozi!. Kwa jinsi anavyomzungumzia mwanae Niffer jinsi alivyo ni nguzo na tegemeo la familia yao, yeye ni mgonjwa, tegemeo lake ni...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Niffer na wenzie walipigwa. Mahakama imeamuru atibiwe

    Peter Kibatala , Wakili wa Jeniffer Jovin 'Niffer' na wenzake amesema kuwa mteja wake kabla ya kusomewa mashtaka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa tuhuma za uhaini alipigwa na kulazimishwa kutoa maelezo hivyo mahakama imeamuru watuhumiwa hao wapatiwe matibabu na ripoti ya matibabu...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Niffer na wenzake wakirejeshwa rumande baada ya kesi ya uhaini inayowakabili kuhairishwa hadi Novemba 11, 2025

    Mfanyabiashara Jennifer Jovin (maarufu kama Niffer) na wenzake wamerejeshwa rumande baada ya kesi ya uhaini inayowakabili kuahirishwa hadi tarehe 11 Novemba 2025, huku baadhi ya watuhumiwa wengine wakitarajiwa kuendelea na mashauri yao tarehe 19 Novemba 2025. Pia soma Niffer na wengine 97...
  10. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama hivyo ndivyo, Binafsi naomba niunganishwe na Niffer pamoja na wenzie kwenye Kesi ya Uhaini!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Mimi binafsi ni mpingaji wa Dhulma,uminyaji wa Haki,mauaji ya raia,Utekaji wa raia kila mahali,UminywaJi wabl Demokrasia pamoja na Upingaji wa ukandamizaji wa Vyombo vya habari zikiwemo Blogs! Binafsi naomba Mamlaka za nchi hii ziniunganishe kwenye Kesi...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Sasa wewe Murilo, Umeshasema Umemkamata Niffer, Lakini mpaka Sasa Ndugu wanazungushwa Kila Kituo, Hizi Degree zenu za Sheria mnazinunuaga?

    Katika jambo ninaliliamini 100% Mapolisi wengi aina ya Muliro, Mafwele na genge lao , Huwa Elimu zao ni za kuunga unga sana, Wakiwaga chuoni Wanaishia Kuhonga na kununua Mitihani . Unaweza jiuliza, Muliro kasema wamemkamata Niffer, lakini bado Mpaka muda huu Ndugu wa Niffer Wanazunguka Kila...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tumemkamata mfanyabiashara Niffer kwa kuhamasisha vurugu na kuharibu miundombinu

    Baada ya kusambaa mitandaoni kwa taarifa za Mfanyabiashara Niffer kutekwa na Watu wasiojulikana leo Dukani kwake maeneo ya Sinza Kumekucha Jijini Dar es salaam, Ayo Tv imelitafuta Jeshi la Polisi ili kupata uthibitisho wa taarifa hizo zilizosambaa mitandaoni. Soma Pia: Faiza Ally: Niffer...
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Video iliyopelekea NIFFER kukamatwa

    Video inayodaiwa kuwa imefanya Niffer akamatwe na Jeshi La Polisi
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

    Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
  15. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania NIFFER: Binti Mfanyabiashara mkubwa mwenye kipaji kikubwa cha kudance

    Sio biashara tuu, Niffer pia anaujuzi mkubwa sana wa kudance midundo mbali mbali! Tazama hapa katika video akionyesha umahiri wake katika nyanja ya kudance akiserebuka mdundo wa amapiano kutoka kusini mwa Africa.
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Diva na Niffer waandika ujumbe wa kuomba radhi baada ya kukamatwa kwa kuchangisha michango maafa ya Kariakoo

    Mtangazaji wa Wasafi Fm, Diva Malinzi na Mfanyabiashara Jenifer Jovin maarufu Niffer wameandika barua za kuomba radhi (Kusamehewa) baada ya kupatikana na tuhuma za kuchangisha michango kwa ajili ya Wahanga wa janga la Kariakoo bila kufuata utaratibu. Pia, Soma: • Polisi: Tunawashikilia Niffer...
  17. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tunawashikilia Niffer na Diva kwa mahojiano na hatua nyingine za Kisheria

    Tarehe 16 Novemba 2024 eneo la Kariakoo Dar es salaam kulitokea tukio la kuporomoka kwa jengo la biashara. Wakai jitihada mbalimbali zikifanywa na Serikali na sekta binafsi kuhusiana na jinsi ya kuwaokoa watu katika eneo hilo , zilipatikana taarifa za watu wasio na mamlaka yoyote ya kisheria ya...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwako Steve Nyerere: Ombi la kuwasiliana na Viongozi wa Serikali kuhusu msamaha kwa Niffer na Diva

    Mpendwa Steve Nyerere, Kwa heshima kubwa, napenda kukushukuru kwa kazi zako nzuri na mchango wako wa kipekee katika kuleta maelewano ndani ya jamii yetu. Kama mmoja wa viongozi wenye ushawishi mkubwa, nina imani kuwa unaweza kuwa kiungo muhimu katika kutatua suala la Niffer na Diva kwa njia ya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu katuchangisha Shs milioni 60 za harusi, nyingi zaidi ya hela alizochangisha Niffer; sijui kaomba kibali serikalini?

    Jamani, kuna mtu katupiga Tshs 60m mchango wa harusi. Sasa mie nashindwa kuelewa kama aliomba kibali cha serikali kama anavyosema Waziri Mkuu Majaliwa. Kama hakuomba na hairuhusiwi nijiwahi nikadai hela yangu, maana nilimpa wakati ninazo sasa nimechacha!
  20. Msanii

    JamiiForums Tanzania Njooni tusemezane. Sheria gani inakataza watu kuchangishana? Waziri Mkuu yupo sahihi kumkamata Niffer?

    Nawaamkua nyote Tarehe 17 Novemba 2024, Waziri Mkuu akiwa eneo la Kariakoo kukagua zoezi linaloeneelea la uokoaji wa waliokwama chini ya kifusi cha ghorofa iliyoanguka. Alitoa maagizo kwa jeshi la polisi kumkamata Mtanzania aitwaye Niffer ambaye kupitia mitabdaoni alitoa taarifa kuwa...
Back
Top Bottom