nidhamu

Nidhamu is a recording by the jazz musician Sun Ra and his Astro-Intergalactic-Infinity Arkestra, documenting their first visit to Egypt.
Tracks 1-3 were recorded live at the Ballon Theatre in Cairo on December 17, 1971; track 4 is a solo keyboard performance recorded a week previously.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Maeneo unayopaswa kuyawekea nidhamu

    Je nimaeneo gani naweza yawekea nidhamu?! Maeneo yafuatayo ni miongoni mwa maeneo ambayo mtu yoyote anatakiwa ayape kipaumbele kwenye kuyawekea nidhamu!! #Eneo la kujiwekea malengo binafsi kila mwaka. Kujiwekea malengo na kuyapa vipaumbele hii itakufanya kujua nitaanza na hili na kwa nini...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nimezama kwenye penzi la mjeda, sioni sisikii

    Habari wanajamvi, Acha niongee maana penzi limenikaba koo sifurukuti. Natamani kuhadithia raha nazopata jamani, sikuwahi dhani kuna mapenzi matamu hivi hasa kutokana na kutendwa huko nyuma jamani. Kwa kweli shikamoo mjeda laaaaa, ananipa kile mwanamke anatakiwa kupewa!! Ananijali ananitunza...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC yamtimua Nahodha wake Lamine Moro kambini Mtwara kwa Utovu wa Nidhamu ufuatao usiovumilika

    Klabu ya Yanga imemrudisha Dar es Salaam Nahodha wake Raia wa Ghana Lamine Moro kwa Utovu wa Nidhamu. Chanzo: SportsarenaTZ Hata hivyo Taarifa za ndani kabisa ambazo Krav Maga nimezipata baada ya Kuviulizia Vyanzo vyangu aminifu ndani ya Klabu ya Yanga vimesema Nahodha huyo ametimuliwa kwa...
  4. The Boss

    JamiiForums Tanzania Hivi vitu tunavidharau, vinakuja kututesa sana

    Wale ambao wazazi walitusimamia na wakatufundisha hardwok, nidhamu, kuwa busy na mambo yako. Lakini mitaani maofisini na kila maeneo unakuja kugundua kumbe hardworking alone sio dawa. Watu mitaani na maofisini wana vipaji vya ajabu kwenye kujipendekeza unafiki, fitina kuchafua wengine n.k...
  5. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Mungu akupe neema ya kujenga nidhamu ya kunyamaza

    1. Kunyamaza wakati fulani maishani mwako siyo kipawa bali ni nidhamu (Wathesalonike 4: 11). 2. Nyamaza unapohisi hasira (Mithali 14:17). 3. Nyamaza unapokuwa huna taarifa ya kutosha au ukweli kuhusu unachotaka kusema (Mithali 18:13). 4. Nyamaza unapokuwa ni wakati wako kusikiliza na...
Back
Top Bottom