Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,500
- 86,041
1. Kunyamaza wakati fulani maishani mwako siyo kipawa bali ni nidhamu (Wathesalonike 4: 11).
2. Nyamaza unapohisi hasira (Mithali 14:17).
3. Nyamaza unapokuwa huna taarifa ya kutosha au ukweli kuhusu unachotaka kusema (Mithali 18:13).
4. Nyamaza unapokuwa ni wakati wako kusikiliza na kujifunza (Mithali 13: 1).
5. Nyamaza ukigundua kwamba maneno yako yataleta picha mbaya (Mithali 17: 27)
6. Nyamaza ukijua kile unachotaka kusema kitaharibu jina na sifa ya mwenzio (Mithali 16: 27).
7. Nyamaza ukijua utakachosema kitaharibu urafiki na kujeruhi mwenzako (1Wakorintho 15: 33)
8. Nyamaza ukigundua kwamba utaaibika baadaye kwa sababu ya ulichokisema (Mithali 8:8).
9. Nyamaza ukijua unachotaka kusema kitamdhalilisha Mungu, wewe mwenyewe au familia yako (1Petro 2: 21-23).
10. Nyamaza ikiwa wakati ulio nao ni wakati wa kazi (Mithali 14: 23).
11. Mtu azuiaye kinywa chake na ulimi wake, atajilinda nafsi yake na taabu (Mithali 21: 23).
Mungu akupe neema ya kujenga nidhamu ya kunyamaza kwa maana maneno ya kinywa chako ni mtego kwako (Mithali 6: 2).