Hongereni kwa kurejea kwa nidhamu chamani.
"Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama"
Kwamba hii ni kwa maelekezo yenu au ni kwa heshima au kuhofiwa kwa majina yenu? Hilo wala si la msingi tena:
"The end justifies the means."
Kuhusiana na "heshima," huu ni ushauri mwingine...