nidhamu

Nidhamu is a recording by the jazz musician Sun Ra and his Astro-Intergalactic-Infinity Arkestra, documenting their first visit to Egypt.
Tracks 1-3 were recorded live at the Ballon Theatre in Cairo on December 17, 1971; track 4 is a solo keyboard performance recorded a week previously.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    Bodaboda nilimwambia aniletee demu wangu geto lakini karuka naye yeye

    Hawa boda boda nimemuita demu wangu aje geto demu mshamba mshamba kunabodaboda sijui alikuwa naupwiru kampeleka geto kwake sasa hivi napiga simu hazipokelewi mara akipokea ananiambia anakuja amepitia kwa rafiki yake Dah Mara ya pili hii naona tabia yao hii wakijua huyudemu anaenda kwa msela...
  2. SERIKALI ICHUKUE TAHADHARI: KUONDOA VIBOKO MASHULENI NI KUZALISHA KIZAZI KISICHO NA NIDHAMU WALA UWAJIBIKAJI!

    Inasikitisha na inashangaza kuona watunga sera wetu wakikurupuka kuiga tamaduni za kigeni bila kufanya empirical research ya kina kuhusu mazingira halisi ya malezi ya Kiafrika. Maamuzi ya kuondoa adhabu ya viboko mashuleni si tu kwamba ni ya kijuha, bali ni janga la kitaifa linalokwenda kuharibu...
  3. Ukivunja Sheria za nchi hata Mabeberu huwa yanakaa pembeni yanawaona ni watukutu hamna nidhamu

    Kuna watu wanavunja Sheria za nchi wakidhani mabeberu yatawatetea mnajidanganya, lazima mtanyooshwa na Sheria za nchi bila haya. Hata mabeberu huwa yanaogopa kuvunja Sheria za nchini kwao. Moja ya msingi wa Demokrasia ni "rule of law " all people are equal before the law, no one is above the...
  4. Je ni aibu waziri mkuu kuambiwa na mwananchi" waziri mkuu mwambie Rais arudishe nidhamu serikalini?

    Kuna clip inatembea mtandaoni mwananchi anamwambia waziri Mkuu" Mh waziri Mkuu Mwambie Rais arudishe nidhamu serikalini " je ni aibu?je waziri Mkuu anaweza kumwambia rais hiyo kauli? Je rais aliipokea kauli hiyo? Tanzania.
  5. Ukijipa Siku 30 za Nidhamu, Maisha Yako Yanaweza Kubadilika Kiasi Gani?

    Wakuu, kuna mambo madogo tunayoyafanya kila siku ambayo yanaweza kuwa yanaturudisha nyuma bila sisi kujua. Fikiria kujipa siku 30 za kufanya haya: Kupunguza muda wa mitandao ya kijamii. Kuacha pombe na vyakula visivyo na afya. Kusoma angalau dakika 30 kila siku. Kufanya mazoezi dakika 30...
  6. UVCCM haya yanayoendelea siyo sifa ni ukosefu wa nidhamu ndani ya chama. kiongozi wa UVCCM Taifa jitafakari

    Sijapendezwa na midahalo inayoendelea mitandaoni nadhani sasa inavuka mipaka, kama vijana (UVCCM) yapaswa mjitafakari kuona haya mnayoyafanya yanaafya au lah! Kuweni na heshima kwa viongozi ndani ya chama, hayo ya kujibizana mitandaoni si desturi ya CHAMA CHA MAPINDUZI. Niwaombe UVCCM wote...
  7. M

    Watanzania wengi tuna Reactive mindset; tunangoja tatizo litokee ndipo tuchukue hatua, tulifundishwa kutii kwa hofu kuliko kuchukua hatua mapema

    Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !! Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi. Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza. Mtihani ukikaribia ndio kusoma kunaanza. Mgonjwa akizidi ndio tunakimbilia hospitali. Gari likiharibika kabisa ndio tunakumbuka...
  8. M

    Katika kujenga Discipline (Nidhamu) hakuna vita kali kama Will Power Vs Self controll, Ni rahisi sana kusema I will do xx ila ni mtihani kufanya kweli

    Nidhamu au Discipline ni tunda la ku master Self Contoll mara kwa mara mpaka inakuwa sehemu ya maisha yako, lakini una kazi ya ziada ya kumechisha Self Controll na WillPower, Sio kazi rahisi. Will ni nia au maamuzi unayojiwekea. ndio maana kwenye kiingereza huwa tunasema i will ...
  9. R

    LATRA anzisheni system kama hii ambayo inatumika UK. Haina mkwaruzano na mtu. Ni nidhamu yako barabaranni inakuhukumu

    UK wana system ambayo plate number yako na "NIDA" zimeunganishwa na namba yako ie plate number ya gari na details zote eg mmiliki, place of domicile, anuani ya makazi, family information zote you can think of! Ukifanya kosa lolote barabaranni , automatically system ina detect na kukutoza...
  10. M

    Benchi la ufundi la Simba sc hebu kaeni na wachezaji mzungumze nao kuhusu suala la nidhamu ya mchezo uwanjani. Hizi red cards zinaicost team sana

    Moja kwa moja huu uzi uwafikie viongozi na benchi la ufundi la Simba sc. Muwaeleze wachezaji kuwa uwepo wa Football video support (FVS) na madhara yanayoweza kuwakumba wao wachezaji na team kwa ujumla kutokana na uchezaji wao wa ovyo. Beki na viungo wa Simba wanafanya sana reckless tackles...
  11. Inahitajika Nidhamu ya hali ya juu, Kuwa Boss wa Mwanamke mwenye nidhamu na Utii

    Wakuu! Hii ni asili, Wanaume wengi tunakosa ujanja pale tunapokutana na Wanawake wenye nidhamu na utii, hata kama wameolewa. Ni noma sana! Nimekutana na wakati mgumu kidogo, nimewaza sana! Nilipewa jukumu moja la kuwa team leader. (Sio mara yangu ya kwanza kuwa kiongozi) but this time...
  12. Mimi ndie member wa jeiefu folamu mwenye nidhamu na utii kuliko wote

    Kwanza nawashukuru wote mlionifikia inbobo na kunitumia jumbe mbalimbali za kunipongeza Kwa kua member mwenye nidhamu na utii kuliko members wengine hapa jukwaani, Hasa Katika kipindi hiki ambacho jukwaa limekumbwa na taharuki ya kinidhamu. Mimi mwehu ndama nimekua nikionyesha Kwa maandishi...
  13. Nidhamu yako ya pesa huwa inarudi ukibakiza kuanzia kiasi gani?

    Wakuu, kuna ile ukiwa na pesa ni kama kiwango cha nidhamu ya matumizi huwa kinapotea au kushuka unakuwa unatumia tu. Na baada ya kubaki na kiwango kidogo nidhamu inarudi wakati unasubiri michongo itiki tena au mshahara uingine. Wewe nidhamu huwa inarudi ukibaki na kiasi gani? Mimi nikibaki na...
  14. Maisha mazuri hayaji Kwa bahati ni mipango na nidhamu

    Khaaah!! Yaani umekaa zako unadhani mafanikio ya watu ni bahati,siyo kweli. Ni kwamba bahati humkuta aliye tayari kwenye circle na angle sahihi. MAISHA siyo nadharia eti ujifunze mbinu za kutafuta pesa Kwa kusoma kitabu ulichonunua mtaani Kwa buku kumi.yaani mtu apoteze mamilioni ya Ada...
  15. A

    KERO Simiyu Itilima DC, tukihoji Fedha za Kujikimu tunaonekana Watovu wa Nidhamu

    Ajira Mpya 2025 Simiyu Itilima DC hatujalipwa pesa za kujikimu mwaka sasa, tukiuliza tunaambiwa tupo kwenye mpango na kuonekana watovu wa nidhamu kama vile sio stahiki zetu.
  16. Ukosefu wa nidhamu ndio adui mkubwa wa mafanikio

    Watu wengi wana ndoto kubwa. Wanataka utajiri. Wanataka maisha mazuri. Wanataka kuheshimiwa. Wanataka kubadilisha familia zao. Lakini tatizo sio kwamba hawana uwezo. Tatizo ni moja: HAWAJUI KUJITAWALA. Na huo ndio ukweli mchungu ambao watu wengi hukwepa. Kwa sababu mafanikio hayaharibiwi...
  17. RC Mtanda: Idara ya Ardhi Ilemela hakuna nidhamu, haijulikani mkubwa na mdogo, mikataba ya muda isitishwe

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ameagiza kusitishwa kwa mikataba ya muda ya watumishi wa Idara ya Ardhi katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela huku akiahidi kuzungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi ili kuwahamisha watumishi waliokaa muda mrefu Mtanda ameyasema hayo wakati akisikiliza...
  18. Thamani na nidhamu ya muda Japan ni maajabu kwingine duniani

    Anaandika BSAT Properties katika ukurasa wake wa X Nilikuwa kwenye treni huko Tokyo. Tulisimama katikati ya vituo. Tangazo kwa Kijapani, kisha kwa Kiingereza: “Tunaomba radhi kwa kuchelewa. Tutaendelea safari muda mfupi.” Kuchelewa kulikuwa kama dakika tatu hivi. Hakukuwa jambo kubwa. Treni...
  19. Zungu amuonya Ado Shaibu kwa Utovu wa Nidhamu Bungeni

    toa mwongozo na ufafanuzi kuhusu taratibu za bunge na mahusiano kati ya Kamati za Bunge na taarifa za CAG. Hapa kuna nukuu muhimu kutoka kwenye video hiyo; "Wakati wa jioni Bunge lilipokuwa limerejea Mheshimiwa Ado Shaibu Ado Mbunge, alipata fursa ya kuchangia hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais...
  20. H

    Waziri Kombo akutana na Wanafunzi wa Kitanzania Mauritius; atoa wito wa nidhamu na Uzalendo

    Aprili 13, 2026, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kombo, alikutana na kuzungumza na wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma nchini Mauritius katika Chuo Kikuu cha Middlesex na kuwashauri wanafunzi hao kuhusu maisha yao ya masomo pamoja na wajibu wao wa kuiwakilisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…