nia

  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kilwa Kaskazini; Mbunge anayemaliza muda wake avunjika mguu akisubiri usaili wa ubunge. Mtia nia mwingine afariki kwa ajali akienda kuchukua fomu

    Kazi ipo kule Kilwa Kaskazini, wakati Leo ndio tunatarajia kupata orodha ya majina matatu ya wagombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi ili yapelekwe kwa wapiga kura ndani ya chama, tayari mtia Nia mmoja katika Jimbo Hilo ambalo Mangungu analitolea macho amepata ajali alipokuwa anakwenda...
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtia nia CCM Meatu anavyogawa pesa kwa wajumbe, tumelalamika hatusikilizwi

    Huyo hapo kwenye video anaitwa Hamis Salum Hamis, ni mmoja wa watia nia kupitia CCM nafasi ya Ubunge kwenye jimbo la Meatu Mkoani Simiyu. Hapo yupo katika moja ya kijiji uko kata ya Makao, na yupo na Diwani wa kata hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu anaitwa Anthony...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkuu wa TAKUKURU - Iramba: Takrima za watiania ya kugombea katika Uchaguzi ni sawa na Rushwa

    “…Takrima za watia nia ya kugombea ni rushwa.” Haya yamesemwa na Bw. Ahmad Sungura, Mkuu wa TAKUKURU (W) Iramba wakati akijibu maswali katika semina ya elimu ya makosa ya rushwa katika uchaguzi kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani NA 1/2024 katika uwanja wa Ofisi ya CCM...
  4. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Tanzania 2025: Kwa nini watia nia wengi wanakimbilia CCM?

    Mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zinazidi kushika kasi. Ni uchaguzi ambao Watanzania watamchagua rais wa Jamhuri ya Muugano, wabunge, madiwani na upande wa Zanzibar, watachagua rais, wawakilishi na nafasi sawa na za Tanzania bara. Huu ni uchaguzi wa saba tangu kurudi kwa mfumo wa...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC- Chacha Agomea Millioni 5 za mtia nia amchana Makavu

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameibua mjadala mkali wa kisiasa baada ya kudai kuwa baadhi ya wagombea wa kisiasa wamekuwa wakijaribu kumshawishi kwa fedha ili waweze kufanikisha ushindi katika kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza mbele ya viongozi wa serikali...
  6. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Watia Nia (waliochukua Fomu) Get together party kufanyika Kidimbwi

    Wito unatolewa kwa watia Nia wote waliochukua Fomu kukutana katika hafla itakayofanyika Kidimbwi. Lengo NI kujenga network na kubadilisha mawazo. Muda: Mtataarifiwa kupitia Wajumbe wa nyumba 10 (kwa ajili ya usalama wa washiriki).
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nini Kimesababisha Watia nia ya Ubunge CCM kushuka kwa idadi kutoka 10,000 za Mwaka 2020 hadi 4,000 za mwaka huu?

    Walijitokeza 10,367 nafasi za majimbo 264, CCM mwaka 2020. Mwaka huu wamefika 4,109 pekee. Nini kimejili? Sababu zinaweza kuwa; 1. Kukosekana mvuto kwa CCM, 2. Rushwa kutamalaki, 3. Kanuni za kura za maoni kutokuwa rafiki kwa Watia nia, 4. Na kadhalika.
  8. Daraja2

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa watia nia wote wa ubunge -2025

    Habari za jioni wapendwa, Huu ni ushauri wa bure kwa wale (waliokwisha chukua & wanaotarajia kuchukua fomu na kuzirudisha). 1. Andaa "press conference" Moja matata sana nyumbani kwako chinja ng'ombe,pika chips,ndizi za kurosti na vinywaji vya kutosha ukiunganisha na pira biriani. Wote...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ukumbi Maalum wa Watia Nia. Ni Wazo Tu

    Wakati huu kutakuwepo na watia nia wengi sana, toka kwa vyama vyote shiriki. Kwa maana hiyo huu Ukumbi wa Siasa utajazwa na hao watia nia na hizi mada nyingine za kisiasa zitabanwa. Kama kuna uwezekano, mafundi wa JF watengeneze mahala maalum pa hawa wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Watia nia ni wengi kuliko wapiga kura

    Wana JF Nlichokiona, ni kuwa watia nia ni wengi kuliko wapiga kura. Bunge lishakuwa shamba la bibi, kila mtu sasa anaona ndio ajira inayokua pesa na mtaji bila kutoa jasho lolote Kuna maisha baada ya uchaguzi
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Evance Kamenge atia nia Jimbo la Misenyi, Kagera

    Kada wa chama cha mapinduzi (CCM) comrade Evance Emmanuel Kamenge amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Missenyi Kagera. Hatua hiyo inaashiria dhamira yake yakuchangia maendeleo kikamilifu kwa wana Missenyi kupitia uwakilishi Bungeni. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wahariri Tanzania ingilieni hili, Wahariri wanadharirisha Waandishi wa Habari, watia nia wanawapuuza

    Huu ni udharirishaji mkubwa, watu ambao wanasababisha Waandishi wa Habari waishi maisha magumu ni baadhi ya Wahariri. Leo CCM wamefungua dirisha la kuchukua fomu kwa Wagombea wao, Ubunge, Udiwani na Rais. Cha ajabu Waandishi wa Habari tumeshinda kwenye Ofisi za CCM Wilaya na mikoa kwa ajili ya...
  13. Boveta

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba Mwenyekiti wa Chama Cha Wanainchi CUF amefanya chama Wilaya ya Ubungo kuzungumza na watia nia wa ubunge

    Pamoja na mambo mengine Professa Ibrahim Lipumba amehimiza kila kata zilizo katika wilaya ya Ubungo ni muhimu kuwa na ilani inayoendana na hali ya eneo husika.
  14. Puna

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa watia nia wa Udiwani na Ubunge wa Uchaguzi Mkuu.

    Leo ndio Leo Tarehe 28/06/2025 Chama Cha mapinduzi(CCM) kimepuliza kipyenga chake Cha watia nia wa nafasi za Ubunge na Udiwani kupitia Cha hicho kuanza kuchukua fomu.Na hii inatoa fursa kwa wale ambao hawakujitangaza kwa kuogopa rugu la chama kuanza kampeni kabla,sasa ni Wakati wao huu wa kuweka...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kisa ubunge 2025 wenye nia ovu waanza kumchafua Mkurugenzi wa Msama promotion!

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amewataka Watanzania kutozitilia maanani na kuzipuuza habari zinazosambaa mitandaoni kwamba, amefukuzwa kwenye nyumba yake iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam. Msama amesema hayo leo jijini Dar es Salam kuwa kuna baadhi ya watu wenye...
  16. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Iran: Haina nia ya kujadili mpango wake wa nyuklia

    Iran imekanusha kurejea kwenye meza ya mazungumzo na Marekani kuhusu mpango wake wa nyuklia, baada ya kumalizika vita vya siku 12 kati yake na Israel na kuishutumu Marekani kuchochoea vita hivyo kwa kuishambulia. Mzozo ulioibuka kati ya Israel na Iran, ulivuruga ratiba ya mazungumzo hayo kati ya...
  17. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nauliza kwa nia njema tu: Hivi Gen Z Kenya wanataka nini?

    1. Ilianza na Finance Bill, ikabadilishwa to take care of their demands. 2. Loss of life inaendelea. jana wamekufa 8 3. Rutto amesema watulie atawasikiliza, hawataki Sasa wanataka nini?
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maganya awaonya wanaowatishia watia nia

    MwenyekitI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM), Fadhili Maganya amewaonya watu wanaotishia kuwa watakata majina ya wagombea wa nafasi ya Ubunge na Udiwani, kwakuwa hawana mamlaka. Kauli hiyo aliitoa juzi Mkoani hapo wakati akizungumza na wanachama wa CCM, kabla ya chama kutoa...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana 57 watia nia Udiwani, Ubunge Chato

    VIJANA wapatao 57 kutoka Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Chato mkoani Geita, wameonesha nia ya kuchukua fomu kuwania nafasi za ubunge na udiwani Uchaguzi Mkuu 2025. Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Chato, Frank Kuzenza akizungumza na waandishi wa habari baada ya kikao cha...
  20. laii

    JamiiForums Tanzania Mtu anaweza kuazima "kijinga cha moto" au "mkaa unaowaka" kwa nia ya kutumia kwenye ulozi au ushirikina

    🔥 Kijinga cha moto katika ushirikina huweza kuwa: 1. Kifaa cha kupeleka ujumbe wa kipepo – yaani, moto huo ukatumika kuteketeza au "kuwasha" madhabahu ya giza. 2. Njia ya kuingiza uchawi au uchafu kiroho kwenye nyumba ya mtu – kwa sababu mkaa huo una uhusiano wa moja kwa moja na chanzo (yaani...
Back
Top Bottom