Lolote linaweza kutokea na yeyote miongoni tuliopigiwa kura za maoni anaweza kupendekezwa na kamati kuu ya ccm taifa na akaidhinishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa, kua ndie atakaepeperusha bendera ya ccm uchaguzi mkuu wa october29,2025.
CCM haina cha kupoteza uchaguzi mkuu huu, na yeyote...
Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waendelee kuwafuatilia hadi chooni hawa wahuni, genge la kihalifu ambao wamejificha kwa mwamvuli wa kisiasa Chini ya Chama Cha Chadema.
Genge hili kila kukicha lina panga na kuratibu mipango miovu ya kuchafua amani ya nchi, kufanya matukio ya...
MTIA NIA UBUNGE AANZISHA FUJO
Mtia nia ya Ubunge Jimbo la segerea ndugu Rajabu Amiry afanya fujo katika kikao cha maelekezo kwa watia nia ya ubunge wilaya ya ilala huku akiwa ameandaa kundi kubwa la wanahabari nje ya ofisi za ccm ilala kinyume na utaratibu
Akiongoza kundi kubwa la wasanii...
Wanachama wa CCM wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu ambao walikuwa watia nia ya udiwani kutoka Kata mbalimbali wamelalamikia kukatwa majina yao na kupuuzwa kwa maagizo ya CCM Taifa juu ya kurejeshwa kwa majina yao.
Huu ndio ukweli wenyewe watia nia wengi wanaenda walikuwa na nia ya kupata peaa tu maana ubunge unalipa. Mshahara mnono wa mil 15, posho ya kikao laki tatu kwa siku bado madili kibao ukiwa na miradi ya maendeleo jimboni.
Hili la kusema eti ni kwa sababu CCM inakubalika sio kweli
Tangu ujio wa uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995, CCM haikuwahi kuwa na wetu wengi waliojitokeza kutafuta nafasi ya chama ya kuteuliwa kuwa wagombea katika nafasi za ubunge na udiwani kama ilivyo sasa kwenye uchaguzi wa 2025.
Nini kimechagiza watu wengi kujitokeza safari hii kuomba nafasi ya...
Wanagawa pesa kama njugu bila hata ya aibu.
Wana uhakika gani kama majina yao yatarudi?
Na hizi pesa wanazogawa wamezipata wapi?
Kwa nini Takukuru haiwachukulii hatua?
Nini kazi ya kamati za SIASA mkoa na wilaya kazi zao zitakuwa ni kufanya Nini?
Diwani kamati ya wilaya ndio inamfamu vizuri kuliko taifa kulingana na mazingira ambapo anatokea.
Mbunge kamati ya mkoa ndio inamjua vizuri ikisaidia na wilaya
Rais huyu anatambulika na wajumbe wa mkutano mkuu...
Amos Makalla alipoulizwa sababu za kupeleka mbele mchakato wa uteuzi ameeleza kuotokana na namba kubwa ya watu walioomba nafasi hizo ngazi ya udiwani na ubunge.
Ameeleza kuwa waliotia nia udiwani ni zaidi ya 27,000 na Ubunge 10,000.
Timu yetu inapitia wakati mgumu sana, inarushiwa mishale mashariki, magharibi, kusini na kaskazini, hawapumui.
Nawapa pole sana viongozi wangu, hiyo ndio kazi ya uongozi.
Mitandao ya kijamii imeleta changamoto kubwa katika tasnia ya habari nchini, kila mtu anapojisikia kuongea anaita social...
Ukisikiliza maneno yake katikati ya mstari kama mwanasaikolojia utagundua mambo mawili au matatu
1-Kujinyenyekeza kwa vyombo vya ulinzi na usalama na kujionesha kuwa ni mtetezi.
2-Kuhadaa wanaohudumu kwenye vyombo hivyo kana kwamba ana ubunifu wa namna ya kuvifanya viwe na maisha bora zaidi...
Nimeona askari magereza wakinangwa pasipo sababu, kwamba wanazuia Lissu asipeane mikono wala kubadilishana nyaraka na mawakili wake.
Watu wanatakiwa kuelewa kwamba Lussu is a red line; ndo mwanasiasa mwenye mvuto kwa sasa ndani ya Afrika Mashariki. Maana yake huyu mtu anatakiwa kulindwa.
Hao...
Mliotia nia wote naona mmeanza choko choko kabla hata majina matatu hayajarudi, zingatien kaulimbiu yetu kuwa chama kwanza mtu baadae, Kama huwezi nendaaa, msitugawe na kutuharibia chama
Nyerere aliwahi kusema kuwa Ikulu siyo pango la walanguzi. Kwa katiba hii tuliyonayo ambayo Rais ndiye Alfa na Omega na kwa Rasilimali tulizobarikiwa Tanganyika ukiwa Rais hata Elon Mask na Jeff Bonzos watakufahamu.
Kuna mengi tulipitia ambayo yaliharibu mchakato wa kuandaa watu kwa nafasi za...
Kazi ipo kule Kilwa Kaskazini, wakati Leo ndio tunatarajia kupata orodha ya majina matatu ya wagombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi ili yapelekwe kwa wapiga kura ndani ya chama, tayari mtia Nia mmoja katika Jimbo Hilo ambalo Mangungu analitolea macho amepata ajali alipokuwa anakwenda...
Huyo hapo kwenye video anaitwa Hamis Salum Hamis, ni mmoja wa watia nia kupitia CCM nafasi ya Ubunge kwenye jimbo la Meatu Mkoani Simiyu.
Hapo yupo katika moja ya kijiji uko kata ya Makao, na yupo na Diwani wa kata hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu anaitwa Anthony...
“…Takrima za watia nia ya kugombea ni rushwa.” Haya yamesemwa na Bw. Ahmad Sungura, Mkuu wa TAKUKURU (W) Iramba wakati akijibu maswali katika semina ya elimu ya makosa ya rushwa katika uchaguzi kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani NA 1/2024 katika uwanja wa Ofisi ya CCM...
Mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zinazidi kushika kasi. Ni uchaguzi ambao Watanzania watamchagua rais wa Jamhuri ya Muugano, wabunge, madiwani na upande wa Zanzibar, watachagua rais, wawakilishi na nafasi sawa na za Tanzania bara.
Huu ni uchaguzi wa saba tangu kurudi kwa mfumo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.