ni nini

Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.

View More On Wikipedia.org
  1. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kuokoka ni nini? Walokole wanaposema wameokoka, wanamaanisha nini?

    Kama umekuwa ukijiuliza maswali kama hayo, leo ni siku yako ya kujua maana ya kuokoka na pengine ndiyo siku yako na wewe ya kuokoka. Kuokoka ni neno tu la kawaida la Kiswahili lenye maana ya kusalimika au kunusurika kutoka katika janga, maafa makubwa au hatari yoyote inayokuijia. Mfano mzuri ni...
  2. I

    JamiiForums Tanzania RDP ni nini? Katika Kompyuta yangu | RDP Server | Remote Desktop Protocol |

    RDP ni nini? | RDP Server | Remote Desktop Protocol | Maelezo Rahisi RDP Servers? Kabla ya kuzungumzia RDP Servers, ni muhimu kwanza kuelewa RDP ni nini na inatumika vipi. Baada ya hapo, tutajifunza kuhusu RDP Servers na pia tutajadili baadhi ya watoa huduma wa RDP/VPS. RDP ni nini? RDP ni...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Huu kama sio ukoloni ni nini? Wachina waanzisha hoteli ambazo Mtanzania huruhusiwi kuingia

    Wakuu, Tunaposema kuwa Wachina ni existential threat kwa jamii yetu ya kitanzania huwa tunamaanisha Hapa ni GUangdong Hotel, Dar Es Salaam, huyu jamaa kasimamishwa getini anakatazwa kuingia kwenye hii hoteli na mlinzi. Akihoji kwanini anaambiwa hiyo hoteli ni "special" kwa Wachina. Ngozi...
  4. Anti-tozo

    JamiiForums Tanzania Huyu kosa lake ni nini?

    Karibuni tujadiri bhana
  5. Setfree

    JamiiForums Tanzania Biblia ni nini? Maelezo ya kina kuhusu kitabu hiki ambacho shetani anakichukia kuliko vitabu vyote!

    Biblia ni mkusanyiko wa vitabu 66 vilivyoandikwa na waandishi mbalimbali kwa muda wa takriban miaka 1,500, lakini vyote vina ujumbe mmoja unaotuelekeza kwa Mungu na jinsi ya kupata wokovu kwa njia ya Yesu Kristo. Biblia imegawanyika katika sehemu kuu mbili: Agano la Kale – Linaeleza uumbaji wa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kazi ya walimu ni nini?

    Navojua kazi ya walimu ni kufundisha, ila sina uhakika kama walimu wa siku hizi wanajua kazi yao na sababu ya wao kua shuleni!! Mwalimu kila siku anampa mwanafunzi homework nyingi ambazo darasani hajafundisha! Unatoa homework ambayo hujafundisha darasani unategemea mwanafunzi afanyaje...
  7. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Wosia wa Babu: "Enzi Zetu Tulikuwa Wanaume—Nyinyi ni nini hiki?

    Wanawake wenu wanaharibika. Watoto wenu wanapotea. Na si kwa sababu yao pekee—bali kwa sababu nyinyi mmejigeuza watu wa hovyo! Mmekaa kimya mkiona kila kitu kinaporomoka, mnaigiza kutoona, mnapunguza uzito wa majukumu yenu kwa kisingizio cha "siku hizi mambo yamebadilika." Mmejificha nyuma ya...
  8. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzetu ninyi mnaweza vipi kushona sare za vitenge na wake zenu? Ni nini siri ya hili?

    Huenda ni malezi niliyokulia maana sikuwahi kabisa kumuona mzee wangu akivaa sare na mama yangu. Ziwe sare za kanisani ama popote pale kwakweli sijawahi Ona hadi sasa wana zaidi ya miaka80! Ninyi wanaume wenzetu ni Mahaba/upendo sana kwa wake zenu au ni limbwata pamoja na kupandwa kichwani na...
  9. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa mtu wa kusaidia sana ila sifanikiwi na kila siku niko palepale maishani

    Nimekuwa mtu wa kusaidia sana angalau kwa kiasi kidogo ninachopata kuwatimizia wahitaji. Anaweza akapita mtu anahitaji msaada wenzangu wote watakaa kimya ila mimi lazima nitoe hata kama nimebakisha hikohiko mfukoni. Natoa sana msaada huko barabarani. Najitoa sana kwa mtu hata kama kaja kwangu...
  10. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Nyota ni nini?

    MADA: ASTROLOGY MKUFUNZI: Dr. Rwakiunge Rugambwa (PhD) UTANGULIZI: Nyota ni nini? Mara nyingi tunasikia watu huko nje au kila mahali wanazungumzia Nyota, Nyota, Nyota; lakini wanakuwa wakimaanisha nini hasa? Je, nyota ni nini? Kuna mitazamo tofauti kuhusu elimu ya Nyota. Wapo wanaoiunga...
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Maana yake ni nini: Nimepita klm 300 Matawi ya Simba na Yanga Barabarani ni Mengi kuliko ya CCM na CHADEMA.

    Nimesafiri kuvuka mikoa mitatu na Wilaya zaidi ya 5 kanda ya ziwa. Nilikuwa nimekaa mbele nikitathmini hali ya kisiasa na kiburudani njiani. Nilichogundua mawe ya msingi ya kuonyesha uwepo wa matawi ya Simba au Yanga ni mengi kuliko Ya Vyama vya siasa. Najiuliza Watu wamehamia kwenye burudani...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Manyara linawashikilia watu 10 wakiwemo Watumishi 9 wa LBL Manyara

    Jeshi la polisi Mkoani Manyara linawashikilia watumiwa 10 kwa makosa mbalimbali ikiwemo utapeli Kwa kutumia kampuni ya kitapeli ijulikanayo kama Manyara LBL Company Limited inayotoa huduma za kuwekeza na kukopesha fedha kinyume cha sheria na kanuni za Benki Kuu ya Tanzania huku mmoja wa...
  13. The redemeer

    JamiiForums Tanzania AURA NI NINi

    Aura ni nishati au mwanga wa kipekee unaozunguka mtu, mnyama, au kitu, ambao unadhaniwa kuonyesha hali ya kihisia, kiroho, au afya ya mtu huyo. Katika imani za kiroho na metaphysics, aura huaminika kuwa na rangi tofauti ambazo zinaweza kuashiria hisia, hali ya akili, au hata tabia ya mtu. Kwa...
  14. Mwamaluli

    JamiiForums Tanzania “UNATAKA KUANZA BIASHARA, LAKINI HAUNA IDEA” HAPA NI NINI CHA KUFANYA?

    8. Jaribu na Chukua Hatua Ndogo Ikiwa bado unajisikia kukwama, jambo bora unaloweza kufanya ni kusitisha kufikiri kupita kiasi na kuanza kujaribu. Huhitaji kuwa na wazo bora au mpango mzuri wa biashara kabla ya kuchukua hatua. Wakati mwingine, njia pekee ya kupata wazo lako kubwa ni kujaribu...
  15. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ni nini kifanyike pale tunapoona mtu anatekwa au kuchukuliwa na watu pasipo ridhaa yake ?

    Habari wana JF ,natumaini mu wazima wa afya . Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi ya watu kuonekana wanachukuliwa kwa nguvu au kutekwa na kupotea kabisa . Kubwa zaidi katika matukio hayo kunaonekana kikiwa na watu pembeni wakishuhudia matukio hayo huku muhusika akipambana peke...
  16. Mwamaluli

    JamiiForums Tanzania Unataka kuanza biashara, lakini hauna idea” hapa ni nini cha kufanya?

    Kwa pamoja, sasa tuanze kujifunza hatua moja hadi nyingine. Njia 8 za Kugundua Wazo Lako Kubwa 1. Tambua Uwezo Wako na Mambo Unayoyapenda Moja ya njia bora za kugundua wazo lako la biashara ni kuanza na wewe sifa zako, nguvu zako, na mambo unayoyapenda. Kwa nini? Kwa sababu kujenga biashara ni...
  17. Mwamaluli

    JamiiForums Tanzania Unataka kuanza biashara, lakini hauna idea” hapa ni nini cha kufanya?

    Najua unatamani sana kuanza biashara. Unaiota, unazungumzia kuhusu hiyo, unakatiza kupitia hadithi za mafanikio mtandaoni ukifikiria, Hii inaweza kuwa mimi. Lakini unapokuja kuchagua wazo Unagandishwa. Unajisikia umekwama, umejaa wasiwasi, labda hata umechoka kidogo. Labda umeshawahi kusema...
  18. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Ifahamu ROMANTIC SYNDROME SHOCK (RSS) Kwa Wapendanao

    Hii ni Hali ya mabadiliko ya ngozi na mwonekano wa mwili pale ambapo unapopata furaha kupitiliza hasa katika penzi jipya. Hali hii uwapata baadhi ya wapendanao hasa wanapokua ktk penzi jipya na wakionekana ktk furaha sana Mtu alieathirika na RSS huanza kuota vipele Vidogo kwenye lips...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Hivi lengo la kuja duniani ni nini?

    Kuna swali huwa linanizunguka kichwani hasa linaniambia lengo la kuja duniani nini? Kwanini wengine duniani watajirike na wengine wawe masikini? Na kwanini wengine wamake Impact ila wengine wasimake impact? Kwanini wagunduzi wengi wa Teknologia wengi ni ngozi nyeupe? Kwamba waAfrika wengi...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Mke anashindana na mume na hataki kukubali kushindwa, nini' kifanyike?

    Ikitokea mume ametoka bila kuaga (kutokana na mihangaiko yetu ya kighafla ya wanaume), mke nae anatoka bila kuaga na kwenda anakokujua mwenyewe. Wakati mwingine huenda kwao (kwakuwa ni karibu) na ajabu anaporudi mama mkwe anampigia simu mume, "amefika salama?" Mume anashangaa tu..... anyway...
Back
Top Bottom