ni nini

Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni nini faida ya kushabikia mauaji ya Waarabu yanayofanywa na Israeli ?

    Habarini za Wakati Huu Ndugu wanajamvi. Nimekua nikifuatilia vita ambavyo vimekua vikiendelea toka nikiwa mdg huko nikiwa sifahamu lolote hadi nimekua mtu mzima nafuatilia kwa ukaribu sana. Mauaji yanayofanyika huko yanaumiza moyo na niwazi kwamba Hivi vita vitadumu maisha yote hata mwisho...
  2. JamiiForums Tanzania Tofauti ya rangi za binadamu: Ni nini siri yake ?

    Na DaVinc XV Katika dunia hii pana yenye milima na mabonde, mito na bahari, jua kali na theluji yenye baridi tele, mwanadamu ameendelea kuishi karne kwa dahri akiwa tofauti kwa sura, sauti,kimo, unene na rangi ya ngozi. Kutoka mweusi kama usiku wa nyika, hadi aliye mweupe kama barafu ya...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Camfed ni nini? Anae wafahamu Camfed vizuri afunguke

    Camfed ni watu gani hawa? Wana fanya kazi kwa utaratibu gani? Anae wafahamu vizuri ni nani? How comes mnamuandikisha mtoto kwenye mpango wa kumsomesha kwamba anaishi kwenye mazingira magumu bila kuwashirikisha wazazi wake? Mimi baba Nina uwezo wa kumsomesha mtoto wangu. Ghafla naambiwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Camfed ni nini? Anae wafahamu Camfed vizuri afunguke

    Camfed ni watu gani hawa? Wana shughulika na nini hasa? Anae wafahamu vizuri ni nani?
  5. JamiiForums Tanzania 📍 Je ngiri maji ni nini (Hydrocel)

    🩺 Elimu ya Afya Leo: Hydrocele (Ngiri ya Maji) 📍 Imeandaliwa na: Hillary Francis Ndeng’aso Radiology Technologist (Mtaalamu wa Mionzi) | Health Educator (Muelimishaji wa Afya) | Genesis Project. 📲 IG: @hillary_officialtz 🔍 Hydrocele ni nini? Hydrocele ni hali ambapo maji hukusanyika kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Gravity ni Nini ?🤔imetokea Wapi?

    God In his Creation Created Gravitational Force Gravitational force is the fundamental force of nature that cause objects with to attract each other According to Universal law of Gravitation State that The Universal Law of Gravitation, also known as Newton's Law of Universal Gravitation...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi hii tabia ya Babu na Bibi kuwa "wapole sana" kwa Wajukuu zao kuliko walivyokuwa kwangu Mtoto wako ni nini?

    Yaaani hawa Wazee wangu wakiwa kwangu au tukienda kuwatembelea, hawataki kabisaaa niwaguse Wajukuu zao hata kwa kakofi kadogo. Na pia hawapendi niwagombeze Wajukuu Sielewi aiseee hii Softness wameitoa wapi maana walivyonilea miye ilikuwa ni mchakamchaka mno na hata sasa na Utu Uzima huu kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Upeo na ujasiri wa wanasheria wa serikali upo chini sana. Tatizo ni nini hasa?

    Awe bungeni (mwanasheria mkuu) au mahakamani (mawakili wa serikali), kote huko wanasheria wa serikali wameonekana kuwa na upeo wa chini huku wakikosa ujasiri. Case study. Jopo la mawakili wa serikali katika kesi uhaini ya Lissu, siku ya leo (16/6/2025) mahakamani walikuwa wazito na wenye woga...
  9. JamiiForums Tanzania USDT ni Nini? Kwa Nini Inaaminika Kama Dola ya Kidijitali?

    Je, Kwa Nini USDT (Tether) Inaonekana Kama Sarafu ya Kidijitali Inayoshikilia Thamani ya Pesa?. Tuje kwenye Historia Kabla ya kuibuka kwa USDT, watu waliokuwa wakitumia sarafu za kidijitali kama Bitcoin au Ethereum walikumbwa na changamoto kubwa ya mabadiliko makubwa ya bei (volatility). Hii...
  10. JamiiForums Tanzania Silver Cord of life ni nini?

    Nilishawahi kukutana na huo msamiati humu JF. Lilihusushwa na utokaji nje ya mwili. Leo nimekutana nao kwenye Biblia! "Yes, remember your Creator now while you are young, before the silver Cord of life snaps and the golden bowl is broken. Don't wait until the water jar is smashed at the spring...
  11. JamiiForums Tanzania Gundu ni Nini

    Gundu ni... Unaamka asubh huku ukiwa na heng over ya jana ucku😂😂 Unapasha maji kweny jiko la gec ili ukaoge,unayapeleka bafuni,unasahau kuyachanganya na yabard unajimwagia,,,unaungua unaanza kupiga kelele bafuni😂😂😂 Unatoka nje kwa hasira huku ukiwa na maumivu Ile unatoka nje ndege anapita...
  12. JamiiForums Tanzania Imekua ni hatari sana kuwa mpinzani kwa miaka ya hivi karibuni hapa nchini, je ni nini kimetufikisha hapa?

    Awamu ya tatu na nne vijana wengi walihamasika kuingia upinzani na ilionekana ni kitendo cha kishujaa huku wakiungwa mkono na familia zao. hali imekua tofauti kwa vipindi vya awamu mbili za hivi karibuni, ambapo kuwa mpinzani imeonekana ni kitendo cha kuuweka rehani uhai pamoja na furaha ya...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kompyuta ya AI ni Nini, na Inatofautianaje na Kompyuta ya Kawaida?

    Kompyuta ya AI ni Nini, na Inatofautianaje na Kompyuta ya Kawaida? Na ITS MALEKOGJ Katika zama hizi za maendeleo ya kasi ya teknolojia, kila siku tunasikia maneno mapya. Mojawapo ni “AI PC” — au kwa tafsiri rahisi, Kompyuta ya Akili Bandia. ➤Inaonekana kama uvumbuzi mkubwa wa kisasa. Lakini...
  14. JamiiForums Tanzania Ultrasound ni nini?

    ULTRASOUND NI NINI ? : Imeandaliwa na: Hillary Francis Ndeng'aso | Radiology Technologist | Mtaalamu wa Mionzi | Health Educator | Elimu muhimu kuhusu Ultrasound teknolojia salama na isiyo na mionzi inayotumika katika tasnia ya afya. 🔍 Ultrasound Ni Nini Hasa? Ultrasound ni kipimo cha...
  15. I

    JamiiForums Tanzania FAHAMU KWA UNDANI IP ADDRESS NI NINI NA INA UMUHIMU GANI KATIKA MTANDAO?

    FAHAMU KWA UNDANI IP ADDRESS NI NINI NA INA UMUHIMU GANI KATIKA MTANDAO? 🔎 1. IP Address ni Nini? IP (Internet Protocol) Address ni anwani ya kipekee ya nambari inayotambulisha kifaa chako kwenye mtandao—iwe ni simu, kompyuta, TV ya kisasa, au printer. Ni sawa na anuani ya nyumba: bila hiyo...
  16. JamiiForums Tanzania Gari kukataa kupokea GIA ya kurudi nyuma tatizo ni nini?

    Wakuu habari .kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoelezea Nina gari yangu aina ya Wish old juzi imeanza tabia ya kugoma kurudi nyuma je wabobevu tatizo laweza kuwa ni nini?
  17. JamiiForums Tanzania Kuna nadharia yoyote inayothibitisha uwepo wa ANANNAKI? Anannaki ni nini?

    UTANGULIZI: Anunaki (ANUNNAKI) ni jina linalotokana na maandiko ya kale ya Sumeria, Akkadia, Ashuru na Babeli (eneo la Mesopotamia ya kale—leo ni Iraq). Hawa Anunaki walikuwa miungu katika imani za watu wa maeneo hayo. Kuna maelezo mbalimbali kuhusu wao, lakini kwa ujumla, Anunaki...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Undimilakuwili maana yake ni nini?

    Haiiiiiyaaa
  19. JamiiForums Tanzania Kwa wamiliki na wapangaji wa nyumba, je, ni nini ungependa kuona au unapendekeza kiwemo kwenye nyumba za kupangisha?

    Habari zenu wakuu, Nina mpango wa kujenga nyumba za kupangisha, lakini napenda ujenzi huu uwe wa kisasa na wa kuvutia. Kwa hiyo, nataka kupata maoni na mawazo tofauti kutoka kwa wadau mbalimbali, ikiwa ni pamoja na wamiliki wa nyumba za makazi ya Biashara na wapangaji. Kwa mfano, ninafikiria...
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo ni nini?

    Naomba kufahamishwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…