ni nini

Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania 4Rs za Serikali ya Rais Hassan wa Tanzania ni nini na kwa ajili ya nini na ili iweje kutokana na nini? Lipi anaweza kujivunia hadi sasa?

    Ukipewa akili tumia akili ipasavyo na kwa faida ya wote na kwa muktadha mpana wa kitaifa kwa manufaa ya Jana, Leo na Kesho. Je, kwani Tanzania kulikuwa na kitu gani? Kilifanywa na nani kwa ajili ya nani, kwa mnufaika yupi na muathirika yupi? Rais Hassan aliwaza nini kuhusu 4RS mpango kazi wake...
  2. JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kisiasa

    Shida ni nini? -Elimu (mbona wengine wanaelimu kubwa hata maprof?) -Uchawa -Njaa (mbona wengine wanauwezo na ni matajiri kabisa?) - Ashakum Si Matusi au ni AFYA YA AKILI?
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Sasa hivi Mashangazi wanawapenda vijana Siri ni nini hasa.?

    Kwanini Sasa hivi Mashangazi wanawapenda vijana Siri ni nini hasa? Moja kwa moja kwenye mada Imekuwa trend siku hizi kusikia mahusiano ya mwanamke mkubwa mnene hivi mwenye nyama nyingi aka mshangazi. Ishu yangu iko hivi; Juzi nilikuwa ofsini. Akaja dada mmoja bonge ofcourse ni mkubwa kwangu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha Hezbollah ni nini na ilianzia wapi?

    HEZBOLLAH NI NINI HASA? Kwa haraka sana, Hezbollah ni chama cha siasa nchini Lebanon LAKINI KUMBUKA CHAMA NI CHAMA CHENYE JESHI LENYE SILAHA! Yaani, jenga picha mfano wa vyama vyetu hapa nchini. Sasa, moja ya vitu ambavyo ni vya kawaida sana pale Mashariki ya Kati, ni chama kuwa na jeshi kama...
  5. JamiiForums Tanzania Lengo la kuanzishwa TAKUKURU lilikuwa ni nini?

    1. TAKUKURU ilianzishwa kwa malengo gani? Mwenye kujua tafadhali. 2. Je malengo (angalau moja) ya uanzishwaji wake yametimia? **Vigezo gani hutumika kupima utendaji bora wa watumishi wa TAKUKURU?
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Treni ya SGR Dar-Moro inasafiri na nafasi wazi zaidi ya nusu wakati awali tiketi zilikuwa zinaisha siku 1 kabla; Tatizo ni nini? Ushahidi huu hapa

    Habari wanabodi Hapo awali treni ya SGR Morogoro - Dar inayochukua abiria takribani 900 ilikuwa inajaa siku 1 au 2 kabla ya safari. Ukiingia mtandaoni hupati tiketi. Utafiti wangu nilioufanya kwa siku kadhaa kupitia mfumo wa mauzo ya tiketi na kuuhitimisha tarehe 25 Sept 2024, dakika 25 kabla...
  7. JamiiForums Tanzania KIGUGUMIZI, Je asili yake ni nini ? Kinatibika ?

    Wanasimba Hongereni Moja kwa moja kwenye mada, Kigugumizi ni nini ? Huwa kinatokana na nini ? Je kinarithishwa ? Nini hatua za kufanya ili kukikabili ? Nawasilisha. NB; Nashukuru Mungu siku hizi ukiwa na mada kama hizi wale wanaojiita wajuaji huwa wanapita tu, sababu tayari tumeshaweka...
  8. JamiiForums Tanzania Uchawi ni nini? (Roho, Nafsi, Mwili)

    Nitajitahidi nitumie lugha ya kiswahili, waswahili wote tuelewane vizuri.. pia nitajitaidi nitumie maneno machache kufikisha ujumbe au elimu kubwa na pana kumuhusu Binadamu na uchawi au ushirikina (Shiriki) Kwanza unatakiwa ujue wakati Mungu anamuumba mtu hapa duniani haikuwa kazi yake au...
  9. JamiiForums Tanzania Gundu ni nini?

    Gundu ni... Unaamka asubh huku ukiwa na heng over ya jana ucku😂😂 Unapasha maji kweny jiko la gec ili ukaoge,unayapeleka bafuni,unasahau kuyachanganya na yabard unajimwagia,,,unaungua unaanza kupiga kelele bafuni😂😂😂 Unatoka nje kwa hasira huku ukiwa na maumivu Ile unatoka nje ndege anapita...
  10. JamiiForums Tanzania Komwe ni nini na lina uhusiano gani na wanawake?

    Komwe ni nini? Lina/ina uhusiano gani na wanawake? Kwa nini Kila linapozungumziwa komwe huwa linahusianishwa na wanawake? Linavutia au halivutii kwa wenye nalo?
  11. JamiiForums Tanzania Gari yangu voxy haizidi speed 40 ata ukikanyaga accelerator mpaka mwisho shida ni nini . Na anaejua changamoto zilizopo kwa gari za voxy msaada

    Wakuu habari za saivi Shida niliyonayo ni gari yangu haiziidi speed ya 40 na engine ina nguruma sio kawaida ninaomba idea zenu
  12. JamiiForums Tanzania Nimepiga hesabu na zimenishangaza sana, income chini ya laki 5 kwa siku nitadhalilika, ni chuma ulete au ni nini?

    Kwa hesabu nilizopiga, endapo itatokea nikawa naingiza chini ya laki 5 kwa siku, basi naweza kudhalilika hapa mjini. Nimejaribu kutafakari, shida ni michepuko, watoto wengi au ni nini? Au ni chuma ulete hii, mbona naishi life style ya kawaida tu?
  13. JamiiForums Tanzania Dola(katika siasa) kwa tafsiri ya Kiswahili ni nini? Kwa Kingereza "dola" inaitwaje?

    Hili neno huwa nasikia linatamkwa tu ila sijawahi kuelewa maana yake kwa Kiswahili au Kingereza, Dola ya Kirumi Dola ya Kimarekani Vyombo vya dola Kushika dola Kingereza cha "dola" ni nini?
  14. JamiiForums Tanzania Je, wajua asili ya jina Kizimkazi? Mzee Said Ramadhan, mwanahistoria mahiri kutoka Kizimkazi, yupo hapa kukupa maana na asili yake

    JE, wajua au umepata kusimuliwa asili ya jina Kizimkazi? Mzee Said Ramadhan, mwanahistoria mahiri kutoka Kizimkazi, yupo hapa kukupa maana na asili ya Kizimkazi. Kizimkazi jina linamanisha katika kujenga Msikiti walikuwepo Kiongozi wao alikuwa ni mtu anajitahdi kwa kazi wale wenyeji pale waka...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Niponipo sijui woga, uzembe au ni nini? Nishaurini kwenye hili nisije haribikiwa

    Hii ndio siri yangu ya mapenzi nimo JF kitambo ila nimeamua kuja kiufiche ili nipate kuwa huru Mimi ni kijana(Me) eary 20 na sijafikisha 22 bado, Sijawahi Sex kabisa hili ni moja ya jambo ambalo linanitatiza sana why this to me, unakuta kijana wa miaka 17 anapiga story jinsi anavyo tembeza...
  16. JamiiForums Tanzania Merit Scholarship ni nini?

    Hello JF members, Nimefanikiwa kuchaguliwa na moja ya vyuo vikubwa hapa nchini kujiunga na mwaka wa masomo 2024/2025 ngazi ya Cheti. Sasa kwenye account yangu ya maombi katika chuo hicho nimewekewa na option ya "merit scholarship" nikiaswa kuomba. Sasa nimefika hapa mbele yenu kwa wajuvi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Utani wa Simba na Yanga pembeni, bus la SIMBA kuingia kinyume nyume leo kwenye mechi ya kirafiki ilikua ni nini?

    Au ndio mazoezi ya Ulozi kuelekea Shirikisho, si unajua kombe hili la Luza ndio mlichoma Uwanja [emoji23] kule south Africa wanetu Mpaka bus la timu kufanya vitu kama hivi unajua kuna baraka za viongozi, una baki na maswali mengi mno kichwani, anyways tukutane mwisho wa msimu...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Hiki ni nini wana Yanga ?

    Hii ni kanuni ipi ?
  19. JamiiForums Tanzania Presha kwa Mjamzito na sababu yake huwa ni nini

    Habari Kuna jirani yetu mtaani hii mara ya 3 kila ikifika wiki 1 kabla ya kujifungua anapata presha kubwa kiasi cha kwamba inabidi mtoto atolewe kwa upasuaji na mara zote mtoto ana survive siku 1 tu kisha anafariki Mwaka huu walienda hospital kubwa kidogo kufanyiwa monitoring lakini issue...
  20. JamiiForums Tanzania Sare za mahafali elimu ya juu, kofia na gauni jeusi, kurusha juu kofia siku ya mahafali,( tossing graduation hats) asili yake ni nini?

    Habari za Leo wanaJF. Naomba mwenye kujua asili ya utamaduni wa wahitimu elimu ya juu ( degree, masters na PHD)siku ya mahafali kuvaa na kurusha juu kofia zao. Najua watu wengi hawajui, tutumie platform hii kuwajuza. Karibuni sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…