ni kwanini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ni kwanini wakati huu serikali ya Iran imelazimika kupandisha mishahara ghafla kwa asilimia 60% ?

    Nini kio nyuma ya pazia ? Serikali ya Iran imetangaza hatua kubwa ya kuongeza mishahara. Waziri wa Kazi, Ahmad Midari, amethibitisha kuidhinishwa kwa ongezeko la asilimia 60 ya mshahara wa chini wa kitaifa. Kuanzia sasa, malipo ya mwezi yanapanda kutoka dola 75 (shilingi 190,000) hadi...
  2. M

    Ni kwanini watanzania bara wanachukia kuitwa wana visogo, kwanini tusiwe proud na jinsi tulivyo ?

    Ni kwanini tukasirike badala ya kujivunia tulivyo? Watanzania, wanaume kwa wanawake, mara nyingi tunaonekana kukasirika sana tukitajwa kuhusu maumbile yetu, kama vile kuitwa tuna visogo. Lakini tukijiuliza kwa utulivu, kuna ubaya gani kuwa hivi tulivyo ? Kujipenda ni kukubali kila sehemu ya...
  3. idiomer

    Hivi ni kwanini mtu akifa ndio husifiwa sana?

    Kipindi akiwa hai watu hulalamika hafai, mbaya ila akifa sifa lukuki. Au ndio marehemu hasemwi vibaya. Je ni sahihi binadamu kuwa aliwatendea mema watu wote? Uhuru wa maoni wa kusema huyu mimi alikua mbaya kuliko wote upo?
  4. J

    Je Unajua ni kwanini Israel Hawasumbuki Kumuwinda na Kumuua Masoud Pezeshkian, Rais wa Iran?

    Masoud Pezeshkian ni Rais wa Iran aliyechaguliwa kwa kura nyingi za Wairani wakitarajia labda kutokana na misimamo yake ambayo haichagizwi na allah na pia mafundisho (hadith) ya Muhammad anaweza leta unafuu ktk kujiamulia maisha yao kwa Uhuru. Pezeshkian aliongezewa ktk orodha ya wagombea urais...
  5. Tlaatlaah

    Unadhani ni kwanini wafuasi wa Tundu Lisu hawajai tena mahakamani, kuzua vurugu na kuchochea fujo kwenye viwanja vya mahakama kama ilivyozoeleka?

    Nini kimewachosha mapema hivyo na kuwafanya kukata tamaa? Au ni kwasababu ya nanma kibaraka lisu navyojitetea kilezy na kuashiria wazi kabisa kwamba hatoboi? Ni wazi muungwana amechoka kimwili na kiakili, na kabisa nae amekata tamaa na anaona wazi kutiwa hatiani. Gharama za ubinafsi zinamtesa...
  6. M

    Ni kwanini wageni wanaotoka mikoa mingine kuhamia kwenye majiji huwa wanafanikiwa kuzidi wenyeji ?

    Hii ni hali inayoonekana kwa mfano wazi kwenye majiji mfano Dar es Salaam, ambapo wenyeji wengi, licha ya kuwa wamezaliwa na kukulia hapa, bado wanakutana na changamoto kubwa katika kufikia mafanikio. Zaidi ya hayo, siku hizi hatuwezi kusema kuwa wenyeji wa Dar ni Wazaramo pekee kama ilivyokuwa...
  7. M

    Arusha ipo karibu na Nairobi yenye gereji za kisasa; kwanini bado hata matajiri wanasita kununua magari mapya ya Ulaya (0 km)?

    Kenya watu wanaojiweza wana magari latest kwasababu huduma za gereji zipo za uhakika. Arusha hadi Nairobi ni safari ya masaa tano tu unaweza kwenda na kurudi kwa mafuta lita 50 kwenye chombo kama BENZ gl 300. kwanini hata matajiri bado wanasita kununua vitu latest vya ulaya ?
  8. M

    Ni kwanini mkoa unaoongoza kwa watu wenye miili mikubwa upo nyuma sana kwenye maendeleo

    Mkoa ulikuwa na Airport ikafa Mkoa ulikuwa na Bandari haipo tena Mkoa ulikuwa na shule nzuri lakini zimebaki stori Mkoa ulikuwa na Viwanda vingi vya nguo, samaki, n.k. vimekufa Ni mkoa ambao hauna hata stendi Mkoa hauna chuo, tunasikiaga tu kipo kinachojengwa miaka mingi sasa Lawama hawawezi...
  9. M

    Ni kwanini watanzania wengi bado wanapenda magari ya zamani yenye gearbox za 4AT badala ya gearbox za kisasa yenye CVT ?

    Magari mengi yenye gearbox za 4at ni yamiaka zaidi ya 15 iliyopita Magari ya CVT ni ya kisasa zaidi na yanatumia mafuta kidogo Lakini unawakuta watu wapo radhi kununua gari yenye 4at yenye gharama kubwa zaidi kuzidi yenye cvt. Kwanini watanzania wanaogopa CVT ?
  10. Poker

    Ni kwanini wamiliki wa lodge na hotels ni wagumu sana kufanya marekebisho ya biashara zao?

    Unakuta mtu kajenga lodge au hotel yake nzuri kabisa, ila sasa kufanya marekebisho au renovation inakuwa mtihani sana. Kuna mkoa nilienda mwaka 2022, nikafikia lodge X, ilikuwa nzuri kabisa ila vitanda na shower zake zilikuwa zishachoka. Nilirudi tena mwaka 2025 na nikakuta shower na vitanda...
  11. Just Pray

    Padre aliyeongoza misa kumuaga Jenista Muhagama asikitika 'nilijiuliza ni kwanini kifo chake kitokee wakati huu?'

    Akizungumza wakati wa Misa Takatifu ya kuuaga mwili wa marehemu Jenista Mhagama, Padre Emmanuel Mtambo, Baba Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledóchowska, Kiwanja cha Ndege Jijini Dodoma, leo Desemba 13, 2025, amesema alipokea taarifa za kifo hicho kwa huzuni kubwa...
  12. Trainee

    Tangu internet izuiwe, baada ya kuruhusiwa mitandao inatupiga balaa sijui ni kwanini?

    Siku za nyuma hapo nimewahi kuunga vifurushi vya wiki mara nne kwa siku kama masihara vile. Nikicheki settings zangu ziko bomba nikipiga huduma kwa wateja wanang'ang'ana na hoja za kukariri tukaenda hivyo hivyo nadhani sijui kwajili nimewasumbia sana wakaacha ujinga wao (au niseme wakapunguza)...
  13. The mission 2017

    Ni kwanini Viongozi ambao inasemekana sio wazawa, ndo wameonesha wana uchungu na NCHI hii kuliko hawa wazawa?

    Wakuu, Amani iwe NANYI. Nimetafakari kwa kina, Sijapata majibu. Kwa nini hawa viongozi wanao semwa sio wazawa hivyo wapishe nafasi zao, Utendaji kazi wao ulionekana hauna mawaa, Hawana skendo za ufisadi, Matumizi mabaya ya madaraka nk. Ni viongozi ambao wamekua wakikubakika katika jamii hata...
  14. N

    Dr. Mwigulu Nchemba, jitokeze utuambie ni kwanini Tanzania imerudishwa kwenye kundi la nchi zenye uchumi duni?

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) – Ripoti ya 2025 Mtazamo wa Kiuchumi wa Kanda: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara limeiweka Tanzania kwenye orodha ya Nchi Masikini Zaidi Duniani (LDC). Serikali ya CCM na chawa wenu mnajinasibu uchumi unakua kwa kasi wakati Watanzania tunashuhudia uwekezaji...
  15. Wagumu Tunadumu

    Ni kwanini UKIMWI una nyota ya kupata hela?

    UKifatilia katika jamii zetu wale vijana waliopata ukimwi mapema chini ya miaka 40 wengi wao lazima wawe vizuri kiuchumi Bado hata watu wazima wengi na mishangazi,kila mshangazi wenye mapene ukiifatilia vizuri unagundua tayari imeshawaka Naanza kuamini ukimwi utakuwa na nyota ya hela
  16. Gang Chomba

    Je, unafahamu ni kwanini aliitwa Ice Cube?

    Akiwa Mdogo na Kaka yake, walikuwa Ndani huku wakicheza mchezo wa tiali bado. Ilipofika zamu yake kujificha, O’shea Jackson alifungua Friza na kudumbukia ndani kwa malengo ya kujificha. Kaka yake alimtafuta na kumkosa na kisha akaamua kutoka zake Nje na kwenda kujiunga na watoto wengine ba...
  17. O

    Ni kwanini wanawake hung'ang'ania kubaki na watoto baada ya mahusiano kuvunjika?.

    Kwa kipindi cha mda mrefu nimekuwa nikisikia na kushuhudia kesi zinazohusu ukwepaji wa matunzo kwa watoto zikiwakabili wanaume baada ya kutengana na wapenzi wao waliojaaliwa kupata mtoto au watoto pamoja. Wiki mbili zilizopita nilikutana na classmate wangu mmoja, bi dada flani hivi mwenye...
  18. Richard

    GE2025 Je, watanzania wale wanojiandaa kupiga kura ni wale ambao hawana cha kupoteza? Na ni kwanini wafanye hivyo?

    Kesho ni tarehe 1 Oktoba 2025 siku ya kwanza ya mwezi wa uchaguzi, mwezi muhimu na wenye kubeba mstakabali wa siasa za Tanzania. Mie nina suali kwa watanzania ambao wamekuwa wakijitokeza kudandia magari ya kukodi na kwenda kushabikia mikutano ya kampeni ya CCM na baada ya hapo kurudi majumbani...
  19. Sky Eclat

    Ni kwanini tunaagiza kuku kutoka Brazil wakati ardhi tunayo?

    Ghana is setting its sights on becoming the largest chicken producer in Africa within the next three years. Local farmers will be supported with day-old chicks, affordable feed, and modern processing facilities to scale up production nationwide. The goal is to drastically reduce reliance on...
  20. kadiri kasimba

    Eti wanawake; ni kwanini mwanaume akishinda nyumbani vitu huwa vinaisha ndani?

    Salam bandugu Je umeshakutana na hii? Umekaa zako w-end nyumbani labda unaangalia tv, hujakaa sawa unaambiwa mara Nido imeisha, na ni juzi tu ulinunua mara sukari haitoshi mwambie baba Yako akupe Hela,mara watu wa usafi nnje Jana walipita nikamwambia Leo ntawapa Hela, au ile, una 2000 hapo ya...
Back
Top Bottom