Matukio Tanzania yanatisha sana. Sehemu ambayo iliona tukio la wavaa soski na bunduki tena ni serikali wakijua kuwa umeonesha walichokifanya basi umekwenda na maji.
Kwa sasa kabla ya kwenda kuteka watu wanachunguza nyumba za majirani kama zina CCTV na wakijua na wewe unakuwa mmoja wa kesi zao.
Uimarishaji wa Sekta Binafsi:
Sekta binafsi ndio chanzo kikuu cha ajira katika nchi nyingi duniani. Mfano, nchini Kenya, serikali imewekeza katika kuimarisha mazingira ya biashara kwa sekta binafsi kupitia mpango wa Big Four Agenda, ambapo viwanda vya ndani vimepewa kipaumbele. Tanzania pia...
Kuna nguvu inayotumika kwa gharama na kodi zetu kwa so called wahuni; ingawa nadhani huenda wahuni halisi wala hatuwagusi, nadhani busara ni kusikiliza hawa so called wahuni hoja zao kama zina mashiko, ukizingatia wahuni hao tunasema wengine wapo nje na wengine tayari wapo gerezani, lakini...
Kwa vita ipi na mapambano yapi kutumia nguvu yote hii kulipia maroboti yaje kujaza comment session, kama mtu ni mzuri na ni mwema haihitaji hata kutumia nguvu kubwa kuelezea uzuri wake. PLO Lumumba aliskika akisema. If you do something and you spent an hour explaining what you have done then you...
Leo X nimekutana na hii list ya most powerful people on earth nimekuta Samia yupo nafasi ya nne.
Mnaionaje hii list?
Japo aliyepost kaweka na profile picture ya Samia, inaonekana ni mwanaCCM
https://x.com/420Cousin/status/1997726092719693830?s=09
Mtu wa nje/jirani hawezi kujua ugumu unaopitia bali wewe mwenye nyumba ndio muhusika
Najua watu wengi wanatamani sunctions na international organizations kufanya jambo. Ni jambo zuri na la kheri katika kusaidia kupush mapinduzi tunayoyapigania. Lakini vinara wa kwanza wa haya mapinduzi ni sisi...
Harmonize tarehe 29 alipandisha ngoma mpya YouTube, badae ameona aifute kutokana Viewers kuwa chini ya 5k since then mpaka jana.
Wananchi especially Gen Z wameona sio tu show zao hata kuwasapoti kwenye platform mbalimbali ni kitu hakitakiwi kwasasa,
Wananchi wameamua kuwapuuza the so called...
Salaam!
Ilitabiriwa tangu 2020 kwamba uchaguzi wa mwisho secular ni ule wa Lowassa vs Magu.
Baada y hapo, kuanzia 2021 Hadi 2030 ni mkono wa chuma tu na kukimbizana.
Move background ni kuanzisha Dola ya Kushi. Kushi Empire, hii yaja na mabadiliko ya viongozi Afrika nzima.
Kiongozi wa mpango...
Hamjambo!
1. Nitaongea kidogo kifalsafa na kisayansi.
2. Kisayansi kuna law inasema survival of the fittest kwa tafsiri ya mwenye nguvu ndiye anaishi. Sikumbuki aliitoa Mwanasayansi Charles Darwin au Bwana Lameck. Kwa Wahenga wanasema Mwenye nguvu mpishe.
3. Nguvu ndogo haiwezi kuondoa nguvu...
Hamjambo!
1. Mwezi huu uwe mwezi wenye Baraka na Neema ya Mungu naam yule MUNGU Mwenye Nguvu nyingi aliyetuumba wote.
2. Mwezi huu Mungu atuepushe na Mabaya na kushindwa na adui zetu.
3. Wokovu wa Mungu uwe upande wetu. Naye atatupa Wokovu mkuu na ushindi kwa namna isiyoelezeka.
4. Adui zetu...
Toeni vitisho sanaaa
Toeni matangazo
Tumieni Propagandaaa
Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa.
Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi
Kagueni vitambulisho
Tangazeni hali ya Hatari
Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu...
Mimi binafsi naamini misemo hii baadhi haina nguvu hivi sasa, kwa mfano
-Aliejuu mngoje chini, Vijana wasasa hawana mda wa kupoteza wanakufuata hukohuko juu
-Mshika mawili moja humpokonyoka, kizazi cha sasa hawashiki moja maana wanaamini ni uvivu
Tiririka nawewe misemo ambayo unaona wahenga...
Hali ya sasa imefika mahali ambapo moyo wa kawaida umeshindwa kubeba. Tumekuwa tukipambana, tukitafuta angalau mwanga mdogo ili tuendelee kuishi, lakini ukweli mchungu ni kwamba hatuoni huo mwanga tena. Kwa sisi tunaoishi kwa kutegemea utalii maisha yamekuwa kama kupita kwenye jangwa bila hata...
Gen z waliwashinda nguvu polisi kwa asilimia 100% Oct 29 badala yake polisi walianza kuvizia makazi na vikundi vidogo lakini kwenye uwanja walikimbia.
Ikumbukwe polisi waliuwa maelfu ya gen z na wanawake oct 29 wengi wakiwa majumbani.
Je, Tutegemee nini #D9 polisi watakutana na visasi vya gen...
Hili ndilo litakuwa suluhisho la kudumu kuelekea kuwaondoa wanasiasa wote madarakani na viongozi wao ili kujipanga upya na kuleta HAKI kwa wote sivyo hamna kitu hapo.
Photo: fintechassociation.africa/
Kwa zaidi ya miongo miwili, tawala nyingi za mataifa mengi ya Afrika zimekuwa zikikabiliwa na lawama nzito kutoka kwa wananchi kuhusu ukosefu wa utawala bora, kuendelea kwa vitendo vya ufisadi na mifumo dhaifu ya uwajibikaji.
Hali hii imekuwa ikitazamwa kama...
Huu ni ujinga kila siku watu wanateseka kwa maovu na uonevu wa viongozi ndani ya Tz na huku watu wakijinadi kuwa wanauwezo wa kulipiza kwa nguvu za asili kila leo.
Ni wazi mungu wa biblia na quruan kashindwa kuwatetea waTz hivyo hawa watu wenye nguvu za asili za Mungu wakweli amkeni muwatete na...
Katika miaka ya karibuni, baadhi ya matukio ya utekaji na vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu yamehusishwa na kile kinachoitwa kikundi cha wasiojulikana nchini Tanzania. Ingawa taarifa zao ni za kusikika tu bila ushahidi wa wazi, mjadala kuhusu uwezekano wa kikundi hiki uongezeka na tishio...