Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC)jana kupitia tamko LAO wameamua kuja na mashinikizo badala ya maridhiano,visasi badala ya kuponya, uchochezi badala ya amani.
Sijashangaa sana kwani huu ni utamaduni wao pale wanapoamua kulinda maslahi yao na makundi yao.
Nilitegemea baada ya...
Wapo wapi "Mystic figures" wa Kitanzania wakati huu?. Yapo wapi mafundisho na mafunzo ya kujitambua badala ya kutambulishwa? Wapo wapi watu watakaosaidia wasijua kusudi la uwepo wao kulijua kusudi hilo kama anavyofanya Sdhguru India?. Je tuna tayari wa kuwasikiliza?
Wapo wapi watu watakaofunua...
Kuna hulka moja kuhusu uongo!
Ukirudiwa mara nyingi huzoeleka na kuwa ukweli wa kulazimishwa!
Taratibu zote za uchaguzi mkuu zilizokiukwa kwa kiwango cha juu sana, zinaondoa uhalali wote na wowote wa uchaguzi wa tarehe 29.10.2025
Kampeni ya wanamageuzi na wazalendo wa Tanganyika ilikuwa ni...
Katika numerolojia maisha na matukio yake yanaweza kupunguzwa na kuonesha nguvu yake katika namba.
Angalia hii: Tarehe 29/10/2025=2+9+1+0+2+0+2+5
=11+1+4+5
=12+9...
Police militarization ni mchakato wa taasisi za polisi kuanza kufanana na jeshi kwa kutumia vifaa vya kivita, mbinu za kijeshi, na mienendo ya ukakamavu uliopitiliza katika kushughulikia masuala ya kiraia. Hali hii imezua mijadala duniani kuhusu usalama, haki za binadamu, na matumizi ya nguvu...
ushuhuda
Miaka ya 1960's ilitokea mkoa wa Mbeya eneo linaloitwa Mwakaleli
Alipokuwa anaishi mwinjilist huyu mwanamume kijana wa miaka 22 akiwa pia ni muajiriwa wa serikali kama meneja wa shirika la umma .Akiwa amefunga ndoa ya kanisani na mkewe wa miaka 20 ,maisha yalikuwa mazuri na kila kitu...
Wakati Shirika la Habari la China, CGTN (China Global Television Network), linaendelea kuonesha umahiri wake katika kukuza utamaduni, sanaa, na fikra za kitaifa kupitia filamu kama “The Legend of the Monkey King” na “Nezha”, Shirika la Utangazaji la Taifa Tanzania (TBC) linaendelea kutumia...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mahmoud Thabit Kombo, amekanusha madai ya matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji wanaopinga zoezi la Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29.
Akizungumza na kituo cha televisheni cha Al-Jazeera siku ya Ijumaa, Waziri Kombo amesema hadi sasa hakuna...
Haba na haba ujaza kibaba. Ndondondo si chururuu
Ni wazi kuwa sasa Watanzania wanataka mabadiliko na demokrasia ya kweli.
Wamechoka na kunyanyaswa na kuibiwa mali zao za umma. Matukio ya kuogofya na kuumizwa yamewachosha.
Huu ni mwanzo tu. Katika historia ya Taifa hili hatujawahi kushuhudia haya
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Huyu aliyekaa akawaza aitishe maandamano alicheza kama Eden hazard
Anaonekana atakauwa na nguvu sana ndani ya mfumo
Uchaguzi hauzungumziwi kinachozungumziwa ni maandamano
Tukimaliza kuchoma vituo vya kupigia kula tukutane barabarani...
USHUHUDA sehemu ya kwanza 01.
mapepo roho za nguvu za giza/majini wachawi na mawakala wa kuzimu wapo kazini masaa 24 siku zote wakiwinda roho za wanadamu,ili kuweza kupata uhalali wq kumuingia mwanadamu ni mpaka mwanadamu mwenyewe afungue mlango kuruhusu kuvamiwa na roho hizi chafu/mapepo...
Za usiku mnene
Nimekuja na wazo kama itafaa makanda wa mikoa yote waendeshe zoezi hata la siku 5 kuwapa mafunzo vijana tulio tayari kulinda amani ya nchi yetu
Hii itaongeza nguvu zaidi dhidi ya hawa manyumbu wanachochea fujo
Virungu tu vinatosha kuwakalisha hawa vijana wasiojitambua
Oktober...
Watekaji kihalisia wamezidi nguvu jeshi na Polisi iliyo zubaa. Yaani kama huwezi kulinda watu na ndiyo kazi yako hata kama una ndege ya kivita kama ndugu yangu anatekwa na watekwaji ambao wanajulikana hawafanywi kitu maana yake majeshi yetu sasa hayana maana.
Haki zetu zimebaki kwa nguvu zetu...
Mkutano wa Kimataifa wa Wanawake umefanyika wiki hii mjini Beijing kufuatia wito wa rais Xi Jinping wa China, na kuweka hatua mpya muhimu katika historia ya maendeleo ya wanawake.
Miaka 30 iliyopita, Mkutano wa Nne wa Dunia wa Wanawake wa Umoja wa Mataifa pia ulifanyika Beijing, ambapo Azimio...
Nimeshtuka hapa usingizini sasahivi natoa jasho mbaya, nimeota nipo chini ya ulinzi nmezungukwa na watu 6 nikiwa nimepiga magoti, mmoja amekaa kwenye kiti ananiuliza "ULE UJINGA WAKO ULIOKUA UNAANDIKA KULE JAMIIFORAM UMEONA ULIPOKUFIKISHA!"
hivi hawa jamaa ni mashetani kiasi hiki aisee wanakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.