Stress zilinifanya nihisi kuwa na tatizo la nguvu za kiume

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Wadau,

Nimeoa baba wa watoto 07 na mke1.

Katika kipindi miaka 02 iliyopita tuliingia kwenye mgogoro na mke wangu.

Sababu kubwa alipoteza uaminifu na mimi.
Hii ilitokana na aina yangu ya maisha na kazi ninayofanya ambayo kwa kipindi hicho ilinilazimu kurudi usiku wa saa 2 hadi 3 na nilikuwa natoka saa 12 asubuhi.

Mke wangu alianzisha Tabia zifuatazo:,

1. Kununa bila sababu.
2. Kuwa mkali kwangu,, watoto na binti wa kati MAKARIPIO MDA WOTE.
3. Kupekua simu yangu kila nikirudi (HII KITU UWA SIPENDI)
4. Kauli za kuudhi mda wote(Mfano naomba nipigie pasi nguo zangu Jibu lake sasa WAPELEKEE WALIOKUCHELEWESHA JANA.

Na mambo mengine mengi tu...
Kutokana na hayo maisha ilipelekea kutojisikia kufanya mapenzi 100%. Sikuwa najisikia hata kidogo.

WANAWAKE KUWENI MAKINI MNATUUMIZA SANA.

Nilikaa mwaka bila kumgusa ingawa mwenzangu alikuwa anajaribu kunigusa, alitumia njia zote lakini sikuwahi ku-erect hata kidogo.

Cha kushangaza usiku nikilala naerect vizuri, ila nikijaribu kumwingilia inalala nikiforce inazama ndani kabisa.

Hali hii ilizidisha mgogoro alihisi nina mwanamke nje. Ingawa mimi sina kawaida ya kuwa na michepuko.

Kitendo cha KUSHINDWA kusex na migogoro na wife kilinipa stress mno.
Sikuwa natamani kurudi Nyumbani hata.
Nikimuona wife moyo unalipuka. Sikuwa napenda kuwa nae karibu coz nilijua tutaishia kugombana au atahitaji show na mi siwezi kufanya.

Nilienda hospital kupima sukari na BP majibu nikapata vyote hivo sina. Nilianza kufanya mawasiliano na watu wa tiba mbadala ila nikashindwa dawa zao ni very expensive 1000k.

Lakini Mungu ni mwema nilijaribu kuwaza tatizo ni nini. Nikagundua tatizo ni STRESS nilikaa na wife nikamweleza tatizo langu.

1. Aache kuwa mkali kwangu bila 7babu.
2. Aachane na simu yangu.
3. Aache kuwafokea watoto bila 7bu.
4. Aache Tabia ya kuzusha vitu ambavyo zijafanya.,wife alinielewa coz hali ilikuwa mbaya.

Kuna muda nilimuona kaingiwa na huruma ila it's too late tayari mimi nilimuona ni Adui ni ngumu kuondoa hiyo hali kwa haraka.

Kuna wakati nilikuwa nasex Kwa kuvizia nikierect nawahi kumwingilia ila nikimkaribia tu inalala hapohapo.

Mimi ni mtu wa AMANI sana SIPENDI migogoro KABISA.

Ilinichukua miezi 3 kuwa sawa,kwa sasa nimerudi kama zamani sina stress Tena.

Kabla hujatafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume jitafakari kwanza. Muda mwingine STRESS, kuwa na mwanamke1 ni CHANZO.

Najua hii changamoto inawakuta watu wengi, shida yangu mimi sikuwahi kumwambia Mtu niliumia peke yangu sikuwa naona raha ya kazi tena.

Nilijawa na INFERIORITY 100%

NB: Sikushauri uchepuke OA KIJANA.
 
Pole Sana
Nyumba Tuzione Tu Lakini Zina Mambo Mengi Sana
Umetatua Tatizo Kwa Njia Nzuri Na Umeweka Thread Kama Msaada
Ni kweli,watu wengi tatizo kama ili ,bahati mbaya wamepata tiba za kuongeza nguvu kumbe tatizo liko kwake na mke wake
 
Ni kweli na wenyewe ilo hawalijui
Itabidi wanaume tuanze kujitetea Sasa nyuzi za kuwaumbua zishuhswe hapa Kama mchanga wajifunze na waelewe.

Asilimia 90 hawajui kabisa Kama chanzo NI wao.

Hawajui kuwa mwanamke akionyesha hata kudeka tu mwanaume mzuka unamjaa ila hata awe mzuri vipi akishakuwa na mdomo mrefu, kauli chafu, majibu mabaya uzuri wake wote unageuka takataka.
 
Ndio maana wengi wao wakitibiwa hawaponi na kuhisi wametapeliwa hela zao, kumbe chanzo kipo ndani so hata atumie dawa vipi hawez kupona anaishia kubadili tu dawa na kumaliza hela bure.
Ni kweli kbs...

Alafu wasichokijua wanawake ni kwamba ili mwanaume apige shoo nzuri inabidi awe na utimamu wa akili pia,ukiachana na mwili ambao ndy unahuzika ktk tendo,Kwa sababu kinachofanya mtu anasimamisha na kufanya sex vizuri ni utayari wa ubongo.Ndy maana wengi wao wakijitahidi bao moja hawezi kwenda la pili maana stress zimesharudi kichwani upya

Matokeo wanaanza kujihisi Wana mapungufu ya nguvu kumbe mke ndy mchawi.Muache visirani wanawake Kwa kweli,mnatufanya kengere zetu zionekane za kuvalia suruali Tu!!

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom