Nguvu iliyoko kwenye branding na kwa nini unatakiwa kujibrand bila ukomo

SantaPrint

Member
Nov 22, 2021
44
24
Umewahi kujiuliza pamoja na ukubwa wote kampuni kama ya coca cola kwa nini bado wanaendelea kujitangaza?
👉Idadi ya vinywaji vya Coca-Cola vinavyonyweka kwa siku moja ulimwenguni kote inakadiriwa kua billion 1.9 ila dunia ina watu zaidi ya billion 7 hivo Kuna watu billion 6.1 ambao wanakua hawajanywa coca cola hadi siku inapita na njia pekee yakuongeza idadi ya wanywaji kuvuka 1.9 billion kwa siku Ni kwa kutangaza zaidi.

Tanzania ina watu million 59 ila kufikia june 2021 watumiaji wa mtandao wa vodacom walkua million 15 hivo Kuna watu million 44 hawatumii mtandao wa voda na ndio sababu unaona mabango ya matangazo ya voda kila Kona yakiwasaka watu million 44 wasiotumia mtandao wa voda waone nakushawishika kuanza kutumia.

Vivyo hivyo kwako na kwangu kuna watu wengi bado hawaijui brand & bidhaa/huduma zako/zangu na hatuna budi kuendelea kuwekeza nguvu katika kujitangaza nakuboresha biashara katika namna mbalimbali.

Well kwa leo ningependa kukushirikisha brand yangu inayoenda kwa jina la SantaPrint

LOGO.png

SantaPrint Tunasaidia watu/makampuni na biashara mbali mbali kwenye upande wa branding kwa kutoa huduma ya designing & printing of branding materials,Our prints are quality and shipped at your door step.
banner30.jpg

See our portifolio below.
Nguvu ya bango!
Kukodi frame,kuleta stock kisha kukaa kusubiri mteja aje anunue peke yake haitoshi ni muhimu kuwekeza kwenye presentation ya biashara yako,
Bango lifafanualo bidhaa/hududma zitolewazo na biashara yako lina nguvu yakuwavuta wateja amabao wangekupita.

ea555863-b379-4d23-bff4-6b7544004431.jpg

51592c5b-1db8-440c-b74a-0ea798368508.jpg

Business cards
Linapokuja swala lakunetwork ni muhimu kunetwork like a pro ili watu wasikuchukulie poa!
Tunakudizainia,print na kukuwasilishia a memorable business card at affordable rates.

bcards x500-min.jpg

4 posting.jpg

  • One side printed 15,000 kwa 100pcs
  • Printed Two sides 25,000 kwa 100pcs
  • Laminated one side 25,000 kwa 100pcs
  • Laminated both sides 35,000 kwa 100pcs

Warranty cards
Mpe mteja wako sababu ya kukuamini ili anunue kwako kwa kumpatia "warranty cards" kwa kile atachonunua.
Hii ni muhimu kwa wauza electronic devices kama simu,tvs,computer,Machineries na products zenye kuhitaji warranty.
Tunakutengenezea warranty cards kama hii kwa Tshs 300 per piece.
4 posting.jpg

Branded package
Baada ya manunuzi mfungie kwenye kifungashio chenye brand yako ili atembeapo ameshikilia mfuko watu waone brand yako.
Lengo ni kuhakikisha unaongeza public visibility kwa namna mbali mbali because Innovation + marketing-cost= profit
FI1myUfXMAUr_FF.jpg

Installment Cards
Watanzania wengi uwezo wakununua bidhaa i.e 1 Million tagged product kwa cash on hand hatuna.
ila ukiuza kwa installment kwa baadhi ya bidhaa zako zenye bei iliyochangamka kidogo wengi tutaweza kuafford.
4 posting.jpg

Roll up banner
Ipe hadhi ofisi/biashara yako kwa kuweka roll up banner,vitu kama hivi husaidia
  • kukupa nguvu katika bargaining kwa kukumfanya mteja asikuchukulie local.
  • kuwaogopesha competitors wako kwa kuwafanya wasikuone kama mwenzao.
815f72df-24ff-4c75-ada2-45b71b32b427.jpg

Tunaprint T-shirts ambazo team yako ikiwa ofisini yaweza vaa kama uniform ili mteja ajapo iwe rahisi kuwatambua wahudumu katika ofisi yako.
Printing format tufanyazo

Screen printing
Ni printing katika format itumiayo wino,hutumika sana kwenye uniform za wanafunzi.
Hakuna haja ya kwenda kariakoo mwishowe uuziwe low quality t-shirts kwa bei ya original,Tunayo stock ya T-shirts za form six za kutosha, we tupe details zinazotakiwa tukudizainie na kukuprintia upate T-shirts zikiwa printed.
20212-01-16.jpg

FHHe2CtXoAQ_BTh.jpg

ef17f08b-d930-409f-82b5-f6ac6789f7bd.jpg

Embroidery printing(yakudarizi)
Hii printing format ni yakudarizi na uzi haichakai,inadumu mpaka pale nguo itakapoisha.
Ni nzuri na inafit sana kwa corporate wear.
Tunayo stock ya quality form six T-shirts hakuna haja ya kwenda kariakoo.
10a9afd2-c5bf-433a-9f13-b7fb5492c853.jpg

Dtf/obm &Transfer
Hii ni printing format by heat press,huonyesha details za print vizuri.
Tunayo Stock ya quality T-shirts form six rangi zote zipo zakutosha
20211203_173550a.jpg

Branded tea cup(Heat press on mugs)
Ni branding nzuri kwa ajili ya makampuni pamoja na wenye biashara ya vyakula wanaotaka visibility ya brand yao.
3a999c68-096c-4531-a53a-ba25ab1f92ec.jpg

Branded watch yenye logo
Ukihitaji saa ya ukutani yenye logo ya kampuni/ofisi yako,we got you covered!
Tunakuprintia picha yako/logo ya ofisi yako nakukuwekea artwork hiyo kwenye frame ya saa inayosoma majira

20220119_192928.jpg

FIG-MIdWYAkVW8l (1).jpg

Spare tire cover
Nje nakuipa gari mvuto,Spare tire cover yaweza kua bango linalotembea kuitangaza biashara/kampuni yako
3c54eb22-8209-4af6-8ede-3d66916e4d82.jpg

We design,we print & we deliver we are SantaPrint.

đź“ŤTupo ubungo mawasiliano tumepakana na stend ya daladala(simu2000)

đź“ž0765 920 4349(whatssap and calls)

Tunapokea oda za mikoani.

Karibuni sana
 
Umewahi kujiuliza pamoja na ukubwa wote kampuni kama ya coca cola kwa nini bado wanaendelea kujitangaza?
Idadi ya vinywaji vya Coca-Cola vinavyonyweka kwa siku moja ulimwenguni kote inakadiriwa kua billion 1.9 ila dunia ina watu zaidi ya billion 7 hivo Kuna watu billion 6.1 ambao wanakua hawajanywa coca cola hadi siku inapita na njia pekee yakuongeza idadi ya wanywaji kuvuka 1.9 billion kwa siku Ni kwa kutangaza zaidi.

Tanzania ina watu million 59 ila kufikia june 2021 watumiaji wa mtandao wa vodacom walkua million 15 hivo Kuna watu million 44 hawatumii mtandao wa voda na ndio sababu unaona mabango ya matangazo ya voda kila Kona yakiwasaka watu million 44 wasiotumia mtandao wa voda waone nakushawishika kuanza kutumia.

Vivyo hivyo kwako na kwangu kuna watu wengi bado hawaijui brand & bidhaa/huduma zako/zangu na hatuna budi kuendelea kuwekeza nguvu katika kujitangaza nakuboresha biashara katika namna mbalimbali.

Well kwa leo ningependa kukushirikisha brand yangu inayoenda kwa jina la SantaPrint

View attachment 2078358
SantaPrint Tunasaidia watu/makampuni na biashara mbali mbali kwenye upande wa branding kwa kutoa huduma ya designing & printing of branding materials,Our prints are quality and shipped at your door step.

See our portifolio below.
Nguvu ya bango!
Kukodi frame,kuleta stock kisha kukaa kusubiri mteja aje anunue peke yake haitoshi ni muhimu kuwekeza kwenye presentation ya biashara yako,
Bango lifafanualo bidhaa/hududma zitolewazo na biashara yako lina nguvu yakuwavuta wateja amabao wangekupita.

View attachment 2078385

View attachment 2078387

Business cards
Linapokuja swala lakunetwork ni muhimu kunetwork like a pro ili watu wasikuchukulie poa!
Tunakudizainia,print na kukuwasilishia a memorable business card at affordable rates.

View attachment 2078371

View attachment 2078401

  • One side printed 15,000 kwa 100pcs
  • Printed Two sides 25,000 kwa 100pcs
  • Laminated one side 25,000 kwa 100pcs
  • Laminated both sides 35,000 kwa 100pcs

Warranty cards
Mpe mteja wako sababu ya kukuamini ili anunue kwako kwa kumpatia "warranty cards" kwa kile atachonunua.
Hii ni muhimu kwa wauza electronics devices kama simu,tvs,computer,Machineries na products zenye kuhitaji warranty.
Tunakutengenezea warranty cards kama hii kwa Tshs 300 per piece.
View attachment 2078406

Branded package
Baada ya manunuzi mfungie kwenye kifungashio chenye brand yako ili atembeapo ameshikilia mfuko watu waone brand yako.
Lengo ni kuhakikisha unaongeza public visibility kwa namna mbali mbali because Innovation + marketing-cost= profit
View attachment 2078417

Installment Cards
Watanzania wengi uwezo wakununua bidhaa i.e 1 Million tagged product kwa cash on hand hatuna.
ila ukiuza kwa installment kwa baadhi ya bidhaa zako zenye bei iliyochangamka kidogo wengi tutaweza kuafford.
View attachment 2078414

Roll up banner
Ipe hadhi ofisi/biashara yako kwa kuweka roll up banner,vitu kama hivi husaidia
  • kukupa nguvu katika bargaining kwa kukumfanya mteja asikuchukulie local.
  • kuwaogopesha competitors wako kwa kuwafanya wasikuone kama mwenzao.
View attachment 2078437

Tunaprint T-shirts ambazo team yako ikiwa ofisini yaweza vaa kama uniform ili mteja ajapo iwe rahisi kuwatambua wahudumu katika ofisi yako.
Printing format tufanyazo
Screen printing
View attachment 2078446

Embroidery printing(yakudarizi)
View attachment 2078447

Dtf/obm &Transfer
View attachment 2078453

Branded tea cup(Heat press on mugs)
View attachment 2078441

Branded watch yenye logo
Ukihitaji saa ya ukutani yenye logo ya kampuni/ofisi yako,we got you covered!
Tunakuprintia picha yako/logo ya ofisi yako nakukuwekea artwork hiyo kwenye frame ya saa inayosoma majira
View attachment 2078439

Spare tire cover
Nje nakuipa gari mvuto,Spare tire cover yaweza kua bango linalotembea kuitangaza biashara/kampuni yako
View attachment 2078460

We design,we print & we deliver we are SantaPrint.

Tupo ubungo mawasiliano tumepakana na stend ya daladala(simu2000)

0765 920 4349(whatssap and calls)

Tunapokea oda za mikoani.

Karibuni sana
Daah nitakuja mnitengenezee business cards.
 
Taja bei ya business cards
Bei ni kwa 100pieces; -
-printed One side 15000 kwa 100pcs
- printed Two sides 25000 kwa 100pcs
-printede one side& Laminated one side 25000 kwa 100pcs
-Printed two sides & Laminated both sides 35000 kwa 100pcs
contant 0765920434
Ubungo Mawasiliano opposite daladala stendi Simu2000
 
Uko vizuri nitakutafuta
 
Naomba na gharama ya vipeperushi
 
Umewahi kujiuliza pamoja na ukubwa wote kampuni kama ya coca cola kwa nini bado wanaendelea kujitangaza?
👉Idadi ya vinywaji vya Coca-Cola vinavyonyweka kwa siku moja ulimwenguni kote inakadiriwa kua billion 1.9 ila dunia ina watu zaidi ya billion 7 hivo Kuna watu billion 6.1 ambao wanakua hawajanywa coca cola hadi siku inapita na njia pekee yakuongeza idadi ya wanywaji kuvuka 1.9 billion kwa siku Ni kwa kutangaza zaidi.

Tanzania ina watu million 59 ila kufikia june 2021 watumiaji wa mtandao wa vodacom walkua million 15 hivo Kuna watu million 44 hawatumii mtandao wa voda na ndio sababu unaona mabango ya matangazo ya voda kila Kona yakiwasaka watu million 44 wasiotumia mtandao wa voda waone nakushawishika kuanza kutumia.

Vivyo hivyo kwako na kwangu kuna watu wengi bado hawaijui brand & bidhaa/huduma zako/zangu na hatuna budi kuendelea kuwekeza nguvu katika kujitangaza nakuboresha biashara katika namna mbalimbali.

Well kwa leo ningependa kukushirikisha brand yangu inayoenda kwa jina la SantaPrint

View attachment 2078358
SantaPrint Tunasaidia watu/makampuni na biashara mbali mbali kwenye upande wa branding kwa kutoa huduma ya designing & printing of branding materials,Our prints are quality and shipped at your door step.

See our portifolio below.
Nguvu ya bango!
Kukodi frame,kuleta stock kisha kukaa kusubiri mteja aje anunue peke yake haitoshi ni muhimu kuwekeza kwenye presentation ya biashara yako,
Bango lifafanualo bidhaa/hududma zitolewazo na biashara yako lina nguvu yakuwavuta wateja amabao wangekupita.

View attachment 2078385

View attachment 2078387

Business cards
Linapokuja swala lakunetwork ni muhimu kunetwork like a pro ili watu wasikuchukulie poa!
Tunakudizainia,print na kukuwasilishia a memorable business card at affordable rates.

View attachment 2078371

View attachment 2078401

  • One side printed 15,000 kwa 100pcs
  • Printed Two sides 25,000 kwa 100pcs
  • Laminated one side 25,000 kwa 100pcs
  • Laminated both sides 35,000 kwa 100pcs

Warranty cards
Mpe mteja wako sababu ya kukuamini ili anunue kwako kwa kumpatia "warranty cards" kwa kile atachonunua.
Hii ni muhimu kwa wauza electronics devices kama simu,tvs,computer,Machineries na products zenye kuhitaji warranty.
Tunakutengenezea warranty cards kama hii kwa Tshs 300 per piece.
View attachment 2078406

Branded package
Baada ya manunuzi mfungie kwenye kifungashio chenye brand yako ili atembeapo ameshikilia mfuko watu waone brand yako.
Lengo ni kuhakikisha unaongeza public visibility kwa namna mbali mbali because Innovation + marketing-cost= profit
View attachment 2078417

Installment Cards
Watanzania wengi uwezo wakununua bidhaa i.e 1 Million tagged product kwa cash on hand hatuna.
ila ukiuza kwa installment kwa baadhi ya bidhaa zako zenye bei iliyochangamka kidogo wengi tutaweza kuafford.
View attachment 2078414

Roll up banner
Ipe hadhi ofisi/biashara yako kwa kuweka roll up banner,vitu kama hivi husaidia
  • kukupa nguvu katika bargaining kwa kukumfanya mteja asikuchukulie local.
  • kuwaogopesha competitors wako kwa kuwafanya wasikuone kama mwenzao.
View attachment 2078437

Tunaprint T-shirts ambazo team yako ikiwa ofisini yaweza vaa kama uniform ili mteja ajapo iwe rahisi kuwatambua wahudumu katika ofisi yako.
Printing format tufanyazo

Screen printing
Ni printing katika format itumiayo wino,hutumika sana kwenye uniform za wanafunzi.
Tunafanya na manunuzi ya T-shirt ili kudhibiti ubora kwa kuhakikisha mteja printing bora,Tshirt bora
View attachment 2078446

Embroidery printing(yakudarizi)
Hii printing format ni yakudarizi na uzi haichakai,inadumu mpaka pale nguo itakapoisha.
Ni nzuri na inafit sana kwa corporate wear.
Tunafanya na manunuzi ya T-shirt ili kudhibiti ubora kwa kuhakikisha mteja printing bora,Tshirt bora
View attachment 2078447

Dtf/obm &Transfer
Hii ni printing format by heat press,huonyesha details za print vizuri.
Tunafanya na manunuzi ya T-shirt ili kudhibiti ubora kwa kuhakikisha mteja printing bora,Tshirt bora
View attachment 2078453

Branded tea cup(Heat press on mugs)
Ni branding nzuri kwa ajili ya makampuni pamoja na wenye biashara ya vyakula wanaotaka visibility ya brand yao.
View attachment 2078441

Branded watch yenye logo
Ukihitaji saa ya ukutani yenye logo ya kampuni/ofisi yako,we got you covered!
Tunakuprintia picha yako/logo ya ofisi yako nakukuwekea artwork hiyo kwenye frame ya saa inayosoma majira
View attachment 2078439

Spare tire cover
Nje nakuipa gari mvuto,Spare tire cover yaweza kua bango linalotembea kuitangaza biashara/kampuni yako
View attachment 2078460

We design,we print & we deliver we are SantaPrint.

đź“ŤTupo ubungo mawasiliano tumepakana na stend ya daladala(simu2000)

đź“ž0765 920 4349(whatssap and calls)

Tunapokea oda za mikoani.

Karibuni sana
Nimependa sanaa jinsi ulivyotangaza biashara yako. Hii pia ni skill mojawapo walionayo wachache
 
Back
Top Bottom