nguvu

  1. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Watoto hawatelekezi baba mwenye nguvu ya kifedha na akili

    WATOTO HAWATELEKEZI BABA MWENYE NGUVU YA KIFEDHA NA AKILI Mara nyingi sana tunaona na kusikia visa na mikasa Ya jinsi wababa ambao wamesogea kiumri sana...🥸🥸🥸 Wakilalamika kukimbiwa na watoto pamoja na mke Yaani watoto wamejipata wanaungana na mama yao... Kukuweka wewe kando... Hata kama mko...
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Nchi zinazoongozwa Kidini au Dini inanguvu ya ushawishi

    Hapa kuna orodha ya nchi zinazoongozwa kwa sera za kidini au ambazo dini ina ushawishi mkubwa kwenye serikali na sheria za kitaifa. Nimezipanga kulingana na dini husika: 1. Uislamu (Nchi za Kiislamu) Nchi hizi zinafuata sheria za Kiislamu (Sharia) kikamilifu au kwa kiwango kikubwa katika mfumo...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tanzania sio Jamhuri, tuko chini ya Utawala wa Kijeshi. Ukiondoa Polisi na Wakurugenzi CCM hakuna!

    Wakuu, Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni. Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na kwamba CCM inatumia nguvu za kijeshi kubaki madarakani "CCM wapo kwenye uchaguzi huu kwasababu moja...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Gari Toyota Spacio New Model kukosa nguvu pindi ninapokutana na mlima

    Wakuu habari za Majukumu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, gari yangu hiyo aina ya Toyota Spacio hivi karibuni imekuwa ikikosa nguvu pindi inapoanza kupanda mlima hata kama ni kidogo pia inakuwa kama inamiss hivi sasa sijajua kama ni ishu ya Fuel Pump au maana hata nikijaribu piga ress...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Misiba bado ina nguvu sana Afrika

    Unaweza kucheza na vyote lakini sio msiba.. Misiba Afrika ni kama mila na desturi.. Ni utamaduni wenye nguvu bado Kuna muunganiko wa ajabu na wenye nguvu sana kwenye mila na desturi za Kiafrika na wageni wanautamani lakini hawawezi tena maana walishaharibu Nadhani ndio chimbuko la Ubhuntu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania hauna nguvu ya kuleta mabadiliko huu ndiyo ukweli.

    Zilikuwa Propaganda tu za kutojianda kwenye uchaguzi, wamethibitisha wenyewe mmeliona. Hadi muda huu hakuna chama kilichosusia uchaguzi kila chama kipo dimbani kwenye kampeni, CHADEMA wao wameamua kuchangisha kabisa na Fedha za ufunguzi wa kampeni kwa maana hiyo vyama vyote vimethibitisha...
  7. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Kuwa Nafsi yenye Nguvu

    Ukomavu ni pale ambapo hauwalazimishi watu kukuchagua wewe Kupanda ngazi moja katika mafanikio ni bora kuliko kutofanikiwa kabisa Weka mkazo kwenye mchakato wa mafanikio na sio mafanio yenyewe Ukimya wakati mwingine ni jibu lenye nguvu sana Hakikisha una nguvu ya kutosha kuweza kufanikiwa...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Elon Musk anafifisha dhana ya matajiri kuwa juu ya wanasiasa na taswira ya umwamba juu ya masuala ya dunia?

    Kuna baadhi ya matajiri duniani mfano George Soros na Bill Gates huwa wanatuhumiwa sana kuwa puppet masters wakiwaendesha wanasiasa kama vikaragosi vyao na kuwafanya watimize zinazodaiwa kuwa na ajenda zao ovu kama depopulation, mass control, ushoga n.k Sasa inakuaje Elon Musk tajiri namba...
  9. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Juhudi zifanyike wapenyezewe Al Hilal au CAF hii issue ya madawa (Sindano za kuongeza nguvu)

    Hapo vip!! Kwa uzito wa jambo hili kutokana na madhara yake kwenye ulimwengu wa soko sio swala la kufumbia macho au kuliongelea na kuliacha hewani,hewani. Nafikiri tuchukue hatua zaidi ya kuwadokezea Al Hilal au CAF inakuwa vizuri ili hii tabia ya kihuni kwenye michezo ikomeshwe kwa adhabu...
  10. kwisha

    JamiiForums Tanzania Hivi nchi za NATO hazina nguvu kabisa ya kijeshi?

    Vita si jambo la kushabikia sana, lakini nchi kama Urusi, Iran, Korea Kaskazini, na China zinaonekana kushabikia vita. Wanafikiri pengine ni wao pekee wenye nguvu kubwa za kijeshi na silaha za maangamizi, wakipeana sifa kiasi hicho. Mara nyingi utasikia, "Korea itamshambulia Marekani," na...
  11. Kichuguu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaizer Chiefs Wanaitaka Yanga ya 22/23 kwa Nguvu Zote

    Kaizer Chiefs wameshamchukua Nabi, na sasa Kaze na bado wanamtaka sana Mayele na Aziz Ki kwa gharama zozote zile. Inaelekea Yanga ya 22/23 ilitisha sana
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Apongezwe Mtu wa Yanga SC aliyetoa siri kwa Watu wa Azam TV kuwa Yanga SC inatumia Dawa za Kuongeza Nguvu katika mechi zake

    Na leo waliogopa kuzitumia kwakuwa Watu wa Yanga SC walitonywa kuwa huenda TFF ikawashtukiza kupitia Watumishi wake kadhaa kufanya Uchunguzi Wachezaji wao. Kitendo cha mwana Yanga SC huyo mwenye Ushawishi mkubwa katika mpira wa Tanzania kuchoka Kutengwa na Mtu aliyemuamini (Rais wa Yanga SC)...
  13. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Iran isitumie nguvu kubwa Israel imeshatepeta ni ya kujipigia tu

    Waajemi wasitumie nguvu kubwa sana wakati wa kuidhibu Israel ambayo ni dhaifu sana imetepeta vibaya makombora ya Hizbollah yameiharibu kabisa na mifumo yao ya ulinzi imeparalaizi haina uwezo wa kupangua zaidi kulipuliwa ikiwa na air defence missile. Na tayari wameshaanza kufarakana ni jukumu la...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadogo zangu: Kamwe usijitese kwaajili ya Mwanamke. Wôte mchangie Ñguvu kuyaendesha Maisha Yenu. Hataki piga chini.

    WADOGO ZANGU: KAMWE USIJITESE KWAAJILI YA MWANAMKE. WÔTE MCHANGIE ÑGUVU KUYAENDESHA MAISHA YENU. HATAKI PIGA CHINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usiwe Mpumbavu. Usiwe mbumbumbu! Usiwe Lofa! Tumia Akili yako Vizuri mdogo wàngu Kamwe usijitese Kisa Mwanamke. Usiwe Yale majinga àmbayo ni...
  15. Surya

    JamiiForums Tanzania Kwasasa nikitongoza lazima niulize kama ana Nguvu za kike

    Tujuzane mapema una hisia na mimi za kunyanduana au umetamani tu wallet yangu sema mapema.. nijue. Unakuja na Shobo nyingii unaonesha unanitaka alafu kwenye mizagamuo unasema tufanye kidogo 😥
  16. K

    JamiiForums Tanzania Israel inapata nguvu kutoka nchi za Ulaya Magharibi na Marekani

    Israel inapata kiburi cha kuua watoto na wanawake kwa misaada ya magharibi. Bila hivyo isingelithubutu,… Msikiliza professor huyu akisema Iran ilikuwa imetengeneza silaha hizo kujihami na ubeberu wa Marekani sio Israel ambayo pekee yake sio kitu ingeteteleka muda wa wiki moja...
  17. Logikos

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Serikali; Mwananchi ni Mwenye Nchi, Nguvu Kazi au Kitega Uchumi (Chanzo cha Mapato) ?

    Nimeona niulize haya sababu kinachoendelea inabidi ukiangalie kwa macho yako na sio kusikiliza kinachosemwa.... Sababu Siasa zishakuwa Ulaghai; https://www.jamiiforums.com/threads/siasa-mamboleo-mdomo-unapojaribu-kulidanganya-sikio.2123568/ Je Mwananchi ni Mwenye Nchi ? Sidhani, huyu jamaa...
  18. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Ostadh Shaaban: Iran ina nguvu kuliko Marekani

    Wakuu jana jioni nimecheka sana. Yule jamaa aliyeongoza jopo la watu walionisomea Albadiri iliyogonga mwamba (Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana) jana kaja na mada nyingine anasema kuwa Iran inanguvu kuliko Marekani na imeizidi Marekani kwa kila kutu...
  19. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya kuongeza za dawa za kuongeza nguvu za kiume inatudhalilisha wanaume

    Jana nilimpelekea mtu moto mkaal eti baada ya mapuziko ananimbia kuwa mm natumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume," alisema mbna wee wa moto hv au umepaka mkongo nn" 🤣 😂 nikacheka akasema tena "utakuwa unatumia haya madawa ya kuongeza nguvu haiwezekani unikamatie hvyo dk 45 hukojowi tu akasme...
  20. DLc

    JamiiForums Tanzania Tiba ya nguvu za kike

Back
Top Bottom